wananchi

This article lists political parties in Tanzania. The country operates under a dominant multi-party system with the ruling party being in power since the nation attained its independence in 1961. It first governed as the Tanganyika African National Union, before merging with the Afro-Shirazi Party to form the Chama Cha Mapinduzi.

View More On Wikipedia.org
  1. K

    JamiiForums Tanzania Jacqueline, Wananchi Chala, Sumbawanga wafurahia Vifaa Tiba Vya 312m vilivotolewa na Serikali

    Wananchi wa Halmashauri ya Wilaya ya Nkansi, Manispaa ya Sumbawanga na Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Rukwa, Jacqueline Mzindakaya, wameeleza kufurahishwa na jitihada za Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan za kuimarisha huduma za afya, huduma za uchunguzi...
  2. figganigga

    JamiiForums Tanzania Mifumo ya awamu ya sita imeparalyse, Fikria Usafiri umekwama, hakuna mabasi. Rais Samia wao kajificha

    Hapa ndo utamkumbuka Lowassa, Lukuvi na Makamba. Migomo kama hii haimalizi masaa matatu inakuwa imepatiwa majibu. Sasa hivi waliopo madarakani wanaangalia matumbo yao. Wananchi Mteseke msiteseke mtajua wenyewe. Hadi mjue umuhimu wa kupiga kura kwa watu watakao watumikia. Samia yupo zake...
  3. Parabolic

    JamiiForums Tanzania Serikali yasisitiza wananchi kuendelea kusikiliza wataalamu athari za El Nino

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhandisi Hamad Yussuf Masauni akizungumza na wananchi wa Kata ya Muhonda na Sungaji wakati akiwa kwenye ziara Wilaya Mvomero mkoani Morogoro, Septemba 28, 2026. Serikali imeendelea kutoa wito kwa wananchi kuendelea kusikiliza...
  4. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Wakati CCM inajiimarisha kimkakati na kujizatiti kuendelea kua chama tawala Tanzania, viongozi na wafuasi wa vyama vingine vya siasa wanatukana tu.

    Halafu matokeo yake sasa,wakati muafaka wa kikatiba hususani wa uchaguzi ukifika, mayowe, visingizio na vilio vya mabadiliko vinaanza. Ooh tume huru ya uchaguzi ibadilishewe, mara sijui sijui yafanyike mabadiliko madogo ya katiba na uchaguzi usogezwe mbele n.k, badala ya kujipanga na kujiandaa...
  5. Wizara ya Ardhi

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Wilaya ya Musoma awahamasisha wananchi kushiriki Kliniki ya Ardhi

    Mkuu wa Wilaya ya Musoma mkoani Mara, Juma Chikoka, amewahimiza wananchi wa Wilaya hiyo kujitokeza katika Kliniki ya Ardhi inayofanyika katika Viwanja vya Mara Sekondari, ili kupata elimu na huduma mbalimbali zinazohusiana na masuala ya ardhi. Aidha, Chikoka amesema kuwa yeye binafsi atashiriki...
  6. Kaka yake shetani

    JamiiForums Tanzania Madhara yake ni mfano tosha tu south afrika waliotengeneza makaburu wakati wakiwa madarakani kwa wananchi wake.

    Tunapo kemea na kutaka sheria na haki kufatwa linaonekana jambo la wapinzani na si la wangine. Mambo yanayotengenezwa na kuwa na baraka kama utekaji,ufisadi,uchawa,unyamazishaji,ubabe,kejeli na n.k ndio yalifanywa south afrika ili watawala wabaki kwa njia yoyote japo walitoka. Historia ya...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Licha ya Wakristo kuzidi 70%, Waislamu hupewa nafasi sawa hata wanapokosa sifa(empowernment). lakini teuzi mpya zenye Waislamu wengi zinaibua maswali.

    Tupo katika nchi ambayo Wakristo ni zaidi ya 70%. Hili linaweza pia kuonekana katika baadhi ya makundi makubwa ya kikabila nchini, ambayo kwa kiasi kikubwa yana Wakristo, wakiwemo Wasukuma, Wanyamwezi, Wachagga, Wahaya, Wagogo, Waha, Wanyakyusa, Wahehe, Wakurya, Wabena, Wafipa, Wangoni na...
  8. THE FIRST BORN

    JamiiForums Tanzania Cheo cha msemaji wa Jeshi la Wananchi [JWTZ] kishakoma au Msemaji yupo nje na Mkuu wa Majeshi?

    Kuna kauli imetoka kwa kigogo wa ccm akisema vyombo vyote vya ulinzi na usalama ni CCM na JWTZ ikatajwa. Yamepita masaa 24 hadi sasa hakuna tamko kutoka kwa jeshi la Wananchi JWTZ kukanusha hilo. Au msemaji nae yupo na Mkuu wa Majeshi Nje ya Nchi? Au hicho cheo cha usemaji hua ni kwa ajili ya...
  9. uhuruborn

    JamiiForums Tanzania SASA TUKISEMA CCM NDIYO ILIUWA WANANCHI OCTOBER 29, TUNAKOSEA WAPI?

    Siku zinavyozidi kwenda wauwaji wa 29 Oktoba 2025 wanazidi kujilikana
  10. Wizara ya Ardhi

    JamiiForums Tanzania Kliniki ya Ardhi Mbeya yahudumia wananchi 227, hati 57 zagawiwa

    Chunya, Mbeya Wananchi mkoani Mbeya wanaendelea kupata huduma kwenye Kliniki ya Ardhi Kidjiti inayoendelea wilayani Chunya, ambapo jumla ya wananchi 227 wamepata huduma, Hatimiliki 120 zimesajiliwa huku Hati 57 zikitolewa kwa wananchi. Kwa upande wa mapato, mkoa wa Mbeya kwa kipindi cha...
  11. A

    JamiiForums Tanzania KERO Wananchi Halmashauri ya Biharamulo tunalazimishwa kufanya usafi huku tukilipa fedha za usafi kila mwezi

    Halmashauri ya Wilaya ya Biharamulo imekuwa ikitoza ada ya usafi kwa kila kaya, ofisi na wafanyabiashara. Wananchi wamekuwa wakilipa fedha hizo kwa matarajio kwamba zitatumika kuboresha usafi wa mazingira katika maeneo mbalimbali ya umma, ikiwemo kusafisha mifereji ya maji na maeneo mengine...
  12. A

    JamiiForums Tanzania KERO Wananchi Ubungo Kibangu tunadai hati za viwanja, Manispaa ya Ubungo inatuzungusha

    Wananchi tulinunua viwanja katika eneo la Ubungo Kibangu Jeshini mwaka 2020, wakati Jeshi lilipokuwa linaweka mpaka kati ya maeneo ya wananchi na eneo la Jeshi, Kikosi Na. 671. Katika zoezi hilo la upimaji na uwekaji wa mipaka, vilipatikana viwanja kadhaa ambavyo vilifanyiwa demarcation na...
  13. BigTall

    JamiiForums Tanzania Ado Shaibu: Kama naenda kasi katika kuwasemea Wananchi niambieni nipunguze

    Wananchi wa Kijiji cha Kidodoma, Tunduru, wamemtaka Katibu wa ACT Wazalendo na Mbunge wa Tunduru Kaskazini, Ado Shaibu Ado kuendeleza kasi ya kuwasemea Wananchi na makundi mbalimbali, hususan katika masuala ya haki, utekaji na changamoto zinazowakabili wananchi. Wamesema hayo Septemba 23, 2026...
  14. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Wanakijiji wa Machemba - Tunduru wamwambia Ado Shaibu kuwa hawana huduma ya maji safi

    Wananchi wa Kijiji cha Machemba, Wilaya ya Tunduru wameiomba Serikali kuwapatia vyanzo salama vya maji baada ya kueleza kuwa wanategemea kisima ambacho, kwa mujibu wao, hakikidhi viwango vya usalama kwa matumizi ya kila siku. Ombi hilo limetolewa Seotemba 23, 2026 baada ya Mbunge wa Tunduru...
  15. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Responded TRC: Wananchi wawe na subira Kituo cha SGR Ruvu hakitumiki, kuna uboreshaji wa miundombinu

    Septemba 22, 2026, Mdau wa JamiiForums.com aliandika “Kituo cha SGR Ruvu hakifanyi kazi kwa karibu ya mwaka sasa, ni lini TRC itakifungua?” Katika maelezo yake Mdau aliendelea kueleza kuwa “TRC ituambie Kituo cha SGR Ruvu lini kitarejesha huduma ya kupandisha na kushusha abiria, kwa kuwa sasa...
  16. Wizara ya Ardhi

    JamiiForums Tanzania Wananchi Mwanza waendelea kuufaika na huduma za ardhi kupitia ardhi kliniki

    Wananchi mkoani Mwanza waendelea kunufaika na huduma mbalimbali zinazotolewa kupitia Kliniki ya Ardhi, ikiwemo elimu, ushauri na utatuzi wa changamoto zinazohusu masuala ya ardhi. Kliniki hiyo inaendeshwa katika mikoa yote Tanzania Bara ambapo ilianza Septemba 22 na itahitimishwa Oktoba 03...
  17. DodomaTZ

    JamiiForums Tanzania Wananchi Kondoa Watoa Madai Kuhusu Kutokuwepo Kwa Mbunge Jimboni

    Baadhi ya wananchi wa Jimbo la Kondoa Mjini, Dodoma wameeleza hisia na madai mbalimbali kuhusu kutokuwepo kwa Mbunge wao katika shughuli za jimbo, huku taarifa zisizothibitishwa zikisambaa katika baadhi ya makundi ya mitandao ya kijamii Mjadala huo umeibuka katika baadhi ya makundi ya WhatsApp...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Misukosuko mikubwa inamkuba, wananchi wanazidi kumchukia. Huyu rais atamaliza 2030?

    Tangu tupate uhuru hakuna rais ambae amekumbwa na kadhia ya kuchukiwq na hata kutawala kwa kulazimisha tu. Je, atamaliza hii ngwe mpaka 2030? Amechukiwa sana zaidi hata ya Hitler wa Ujereman
  19. M

    JamiiForums Tanzania Hekaya za Muuza Kangala: Wananchi wanasema jezi zinafaa, Waziri anasema ni mbaya kunani?

    Kati ya watu mil 67 wanaoishi hapa Tanzania wamekubali na kusema kuwa jezi alizotengeneza Sandaland kwa mkataba halali ni nzuri na zinafaa. Ila mtu mmoja tu ambaye ni waziri anadai kwenye macho yake ni mbaya na hazifai. Kuna nini? Kuna ka ten pasenti kamempita kushoto?
  20. Boss la DP World

    JamiiForums Tanzania Makonda: Wananchi Mnaichanganya Serikali

    Amesema kuwa wananchi wanaichanganya serikali kiasi kwamba inashindwa kujua iwafanyie nini😂 Yani ni kama anasema hata wao wamevurugwa😂 Hii nchi ngumu sana, sasa kama umevurugwa si uachie kiti?
Back
Top Bottom