wananchi

This article lists political parties in Tanzania. The country operates under a dominant multi-party system with the ruling party being in power since the nation attained its independence in 1961. It first governed as the Tanganyika African National Union, before merging with the Afro-Shirazi Party to form the Chama Cha Mapinduzi.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania GE2020 Wananchi wa Kijiji cha Mpeta, Tarafa ya Nguruka, Wilayani Uvinza, Kigoma wasimamisha msafara wa Bi. Hamida Abdallah Huweishi

    WANANCHI WA KIJIJI CHA MPETA TARAFA YA NGURUKA WILAYANI UVINZA MKOANI KIGOMA WAMESIMAMISHA MSAFARA WA MAKAMU WA RAIS, BI. HAMIDA ABDALLAH HUWEISHI NA KUELEZA CHANGAMOTO ZAO KATIKA TARAFA YA NGURUKA. TUSIFANYE MAKOSA IFIKAPO OCTOBA 28,2020 TUMCHAGUE PROF.LIPUMBA AWE RAIS WA NCHI HII TUPATE...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Wananchi wengi wajitokeza kuiaga CCM

    Sio siri tena ,wananchi wengi hujitokeza kuiga CCM kwa sherehe ,sherehe ambazo zinatokea kwa kufanywa matamasha ya muziki,asie na mwana abebe jiwe kumuona Raisi wa mwisho wa CCM, muungano wa vyama viwili vilivyotupatia uhuru. Wengi wakisema mwaka huu kila kitu ni historia hivyo kushiriki kwake...
  3. JamiiForums Tanzania GE2020 Mitano ya Magufuli, Serikali imeshughulikia kero mbalimbali za wananchi

    Na Debora C. Kiyuga ✍🏽 Mitano ya Magufuli, Serikali imeshughulikia kero mbalimbali za wananchi, hususan wakulima, wavuvi, wafugaji, wafanyabiashara, wafanyakazi, wajasiliamali na bila kusahau migogoro ya ardhi. Mitano ya Magufuli, kwa upande wa wakulima, wavuvi, wafugaji na wafanyabiashara...
  4. JamiiForums Tanzania GE2020 Special Thread: Taarifa za Kampeni za mgombea Urais kupitia CHADEMA, Tundu Lissu na Salum Mwalimu

    Jiji la Dar es Salaam ambayo ni ngome Kuu ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo linatarajiwa kusimama kwa siku tatu kupisha uzinduzi wa kihistoria wa mgombea Urais wa Chama hicho. Mgombea Urais wa Tanzania kupitia Chadema Tundu Lissu atazindua Rasmi kampeni zake kuelekea Ikulu ya Magogoni na...
  5. JamiiForums Tanzania GE2020 Yaliyojiri mkutano wa kampeni za Mgombea wa CCM Dkt. Magufuli akiwa Bukoba, Kagera

    MGOMBEA Urais kwa tiketi ya CCM, Dkt John Pombe Magufuli, leo Septemba 16, 2020 ameendelea kupiga kampeni, ambapo baada ya kumaliza wilayani Chato, mkoani Geita, Muleba leo yupo Bukoba Mjini mkoani Kagera Uwanja wa Gymkana. MGOMBEA Ubunge jimbo la Bukoba Mjini Stephen Byabato amewaomba...
  6. JamiiForums Tanzania GE2020 Ilani ya The Civic United Front (CUF - Chama cha Wananchi) ya Uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani 2020 - 2025

    Yaliyomo 1. SEHEMU YA KWANZA ...................................................................... 4 1.1.Kuunda Serikali ya Umoja wa Kitaifa .......................................... 8 1.2.Kufuta Umasikini Katika Nyanja Zote........................................... 8 1.3...
  7. JamiiForums Tanzania GE2020 Video: Hii hapa kampeni ya Ester Matiko Kata ya Nyamisangura, Wananchi wamshangilia vibaya

    Kiukweli kampeni za mwaka huu zaweza kuwa fundisho kubwa sana kwa dunia, kwamba unaweza kudhibiti watu kwa kutumia polisi na wakakuangalia tu kama mabwege hivi lakini kumbe wamekutega mahali fulani ili unase, CCM kwisha habari yake
  8. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 SAU: Tukishinda deni la Taifa halitagawanywa kwa wananchi bali wananchi watagawiwa utajiri wa nchi deni ni la viongozi

    Kiukweli uchaguzi wa mwaka huu tutasikia mengi. Mgombea urais wa SAU Mh Mutameghwa amesema endapo atachaguliwa basi deni la taifa halitagawanywa kwa wananchi bali viongozi na wananchi watagawiwa utajiri wa nchi. Pia vivuko kama pantoni havitatoza nauli itakuwa bure kwa sababu vivuko ni sehemu...
  9. JamiiForums Tanzania Pendekezo: Wananchi wachague Wabunge, Madiwani ila Rais achaguliwe na Bunge

    Nimewaza na kuona bora Rais awe anachaguliwa na bunge kwa sababu wabunge wanajuana zaidi na hakutakuwa na malalamiko wala hofu ya amani kuvunjika. Hapo ndio majimboni kutakuwa na siasa ya kukata na shoka,hii ni kwa sababu nawaonea huruma wagombea urais wanafanya kazi kubwa kuzunguka nchi nzima...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Ufahamu wa kuzidiwa kwa CCM, ni kama wanatoa buriani kwa wananchi

    Bado kuwaachia mashehe wa Kiislamu tu, sasa tunaona CCM wanajitahidi kuweka na kuziba au kutia viraka sehemu zao,mara walimu, mara pembejeo, mara afya, mara 'ishuwarensi'. Yaani wanahangaika na kurusha madaluga vibaya sana. Walikuwa wapi tokea tupate Uhuru, walikuwa wapi miaka mitano iliyopita...
  11. JamiiForums Tanzania Video: RPC wa Songwe ajiangalie, Wananchi wa Tunduma waangusha maombi mazito hadharani na kumshitakia Mungu

    Kwa sasa hakuna eneo ambalo wanachama na viongozi wa CHADEMA wanakamatwa kama kuku kama wanavyokamatwa wanachadema wa Tunduma, Kwa jinsi polisi inavyotumwa na CCM ndivyo inavyotekeleza bila hata kuchuja. Wagombea kadhaa wa udiwani wa CHADEMA Akiwemo Meya wa halmashauri Mstahiki Ally Mwafongo...
  12. JamiiForums Tanzania GE2020 Tundu Lissu aanza kukumbana na wananchi wakitaka maendeleo ya vitu

    Nimewasikia wananchi wa eneo moja huko Mufindi kama sikosei kwenye mkutano wa ndugu Tundu Lisu kuwa hawana barabara pamoja na maji na wamesema wanaomba akichaghuliwa awatengenezee hivyo vitu. Nikajiuliza kwa nini hao watu hawahitaji maendeleo ya watu wao wametaka maendeleo ya vitu? Majibu ya...
  13. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Askofu Gwajima: Naimudu Kawe. Mimi sio kilaza, nilienda Marekani mwaka jana na nimeshaandika vitabu 5 kwa kijapani, vipo Amazon

    Akiongea katika ufunguzi wa kampeni zake askofu Gwajima amesema jimbo la Kawe ni jepesi sana halihitaji serikali wala manispaa kujiendesha. Gwajima amesema pindi atakapoapishwa ataanza kugawa magari ya wagonjwa kila kata yeye mwenyewe ili wananchi wakewawaishwe hospitali pindi wanapougua...
  14. JamiiForums Tanzania GE2020 Wananchi wa Lamadi wana neno lao kwa mgombea Urais kwa tiketi ya CCM ndugu Magufuli

    SALAAM KUTOKA LAMADI KWENDA CHATO ALIKOPUMZIKA MGOMBEA WA CCM NDG. MAGUFULI. Ndg, mgombea na Mh. Rais salaam sana. Hivi majuzi umekuwa kwenye ziara ya mikutano yako ya kampeni kwa mikoa ya kanda ya ziwa. Watu wamekusanyika kwa hiyari yao na wengine kwa kushawishiwa ili wakusikilize. Mh...
  15. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mtanzania amka: Wasanii kazi yao ni usanii, Kampeni za Uchaguzi Mkuu si usanii, hatuhitaji maigizo wala kukatiwa mauno!

    Msikilizeni huyu kijana. Baadhi ya wasanii walikuwa wakifanya mambo machafu. Mambo yasiyoendana na maadili ya Watanzania. CCM iwe makini katika kuchagua wasanii wa kufanya kampeni. ======= Kila baada ya miaka mitano ukichagua hovyohovyo itakugharimu wewe, mke wako, mdogo wako, mama yako...
  16. JamiiForums Tanzania GE2020 Video: John Heche akishangiliwa na wananchi wa kata ya Nyanshicha kijiji cha Nyantira kwenye kampeni, CCM kwaherini

    Mbinu pekee ya CCM kushinda Uchaguzi huu ni miujiza tu, hali yao si tu ni mbaya bali ni dhooofuli hali. Jionee mwenyewe.
  17. JamiiForums Tanzania GE2020 CHADEMA miradi ya ujenzi mnayoiponda ni wananchi wa maeneo husika ndio waliiomba, kuiponda ni kuwatukana

    CHADEMA imekuwa ikiponda ujenzi wa Miradi mbalimbali kuanzia reli, zahanati, mashule, mabarabara nk Wasichokijua siku ni nini ? Lakini hio miradi ni wananchi waliiomba kupitia wabunge wao walioko bungeni. Kuiponda ni kuwaponda wananchi wapiga kura ambao ndio waliohitaji hiyo miradi. Hiyo...
  18. JamiiForums Tanzania GE2020 Ushauri: Ahadi za wanasiasa ziwe supported na 'Indemnity' ili wananchi wawe na uhakika wa utekelezaji wake

    Tumeshuhudia wanasiasa wakituahidi mambo mengi sana kipindi cha kampeni, laiti kama kwa miaka 15 iliyopita, ahadi za wanasiasa (Rais, Wabunge, na Madiwani) zingetekelezwa walau kwa asilimia 50 tu, hii Tanzania ingekuwa ni ya tofauti sana na hii tunayoiona hapa. Mfano ahadi kama ya Milioni 50...
  19. JamiiForums Tanzania GE2020 Uchambuzi wa ilani ya CCM 2020-25 kwenye kupambana na umaskini na uwezeshaji wa wananchi kiuchumi

    Na Bwanku M Bwanku. Baada ya mafanikio makubwa ya awamu ya kwanza ya miaka mitano ya Serikali ya CCM katika kupambana na umaskini na kuwawezesha wananchi ikiwemo kusaidia vikundi vya wajasiriamali kimafunzo, kisera na kimikopo, wafanyabiashara wadogo na kuwawezesha vijana pamoja na mpango wa...
  20. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Askofu Bagonza aitaka NEC isitumike kudhulumu Watanzania

    *Lwakalinda Kalikawe Bagonza kaandika hivi:* NEC WAHURUMIENI WANANCHI NEC WAHURUMIENI VIONGOZI. Kuna jambo haliko sawa. Kama liko sawa, basi kuna jambo haliko sawa ndani yangu. 1. Ni mzigo na adhabu kubwa kwa Wananchi kuongozwa na kiongozi ambaye hawakumchagua. Ni kuwatesa wananchi, ni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…