wananchi

This article lists political parties in Tanzania. The country operates under a dominant multi-party system with the ruling party being in power since the nation attained its independence in 1961. It first governed as the Tanganyika African National Union, before merging with the Afro-Shirazi Party to form the Chama Cha Mapinduzi.

View More On Wikipedia.org
  1. MIMI BABA YENU

    JamiiForums Tanzania GE2020 NEC yahimiza wananchi kujitokeza kupiga kura, yahakikisha usalama, usawa na uwazi

    TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imesema kuwa uchaguzi mkuu wa Oktoba 28 utakuwa wa huru, haki na wenye kufuata katiba na hiyo ni pamoja na kuruhusu watazamaji wa ndani na nje ya nchi ambapo hadi sasa Tume imetoa vibali kwa Asasi za kiraia na Taasisi 97 za ndani ya nchi na makundi 16 ya...
  2. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 VIDEO: Wananchi walivyojitokeza kwa wingi Korogwe kumlaki Lissu wakiimba mkombozi amerudi

    Inakuwaje wanaJF! RAIS anayesubiri kuapishwa kalakiwa kiaina yake Korogwe huku umati wa watu wakirukaruka na kuimba mkombozi amerudi
  3. matunduizi

    JamiiForums Tanzania je! ikitokea nusu ya wabunge wakatoka upinzani na raid CCM itabidi Kodi za wananchi wote zihudumie nusu ya nchi?

    Mara kadhaa nimesoma humu kuwa mgombea wa CCM anadai kutoleta maendeleo kwa watu ambao hawatamchagulia Wabunge ( kama sio kweli Uzi ufutwe) Najiuliza ikitokea surprise nusu ya Wananchi wakachagua ubunge upinzani. Kisha Kodi ya nchi nzima ikapelekwa kwa nusu ya wananchi licha ya ukweli kwamba...
  4. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania GE2020 Songwe: Dkt. Magufuli afanya kampeni Tunduma, afuta tozo ya mama kamandoo

    Dkt. Magufuli anaendelea na kampeni mkoa wa Songwe na sasa yuko Tunduma. MAGUFULI: Ninafamu kuna kero moja kwa kinamama inaitwa kampeni ya mama kamandoo ambapo wamama wanapochelewa kwenda kliniki wanatozwa 50,000. Naifuta leo moja kwa moja hiyo tozo. Kwa hiyo pasitokee mtu yoyote kutoka wizara...
  5. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Halima Mdee, fedha za mfuko wa jimbo umepeleka wapi?

    HALIMA MDEE, FEDHA ZA MFUKO WA JIMBO UMEPELEKA WAPI? Bunge la JMT limetunga Sheria iliyoanzisha na kusimamia fedha za mfuko wa Jimbo kwa lengo la kurahisisha na kumsaidia Mbunge wa kuchaguliwa Jimboni kupata fedha hizo kwa lengo la kurahisisha kutatua changamoto mbali mbali za Maendeleo...
  6. Q

    JamiiForums Tanzania GE2020 Lushoto, Tanga: Wananchi wamkataa na kumfukuza mgombea wa CCM, Shabani Shekilindi (Boznia)

    Sasa ni dhahiri kwamba hali ya wagombea wa CCM kuanzia ngazi ya urais hadi udiwani ni ngumu. Inasemekana huyu ni mgombea ubunge wa CCM jimbo la Lushoto Mjini Bosnia amekataliwa wazi wazi bila chenga na wakazi wa jimbo lake. ====== Mgombea Ubunge kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Shabani...
  7. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania GE2020 CCM mwaka huu kubalini kuwa Wananchi wamewakataa

    Mmelazimisha sana ushindi, kupelekea Mawaziri waandamizi kupita bila kupingwa kwenye majimbo yao. Madiwani wengi wamepata bila kupingwa. Unapomshinda mpinzani wako kwa 90% ni dalili ya kuwa mashindano yalikuwa na matatizo. Kuna kila dalili ya kuwa mshindani mmoja alitumia nguvu na mabavu...
  8. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Ubunge unatafutwa kwa hali na mali, Kuna maslahi si kuwa taarishi wa wananchi tu

  9. D

    JamiiForums Tanzania GE2020 Njombe: Dkt. Magufuli aomba kura kwa kupiga magoti mbele ya Wananchi

    Dah mambo magumu jamani!
  10. D

    JamiiForums Tanzania GE2020 CHADEMA, ACT Wazalendo vyapigwa marufuku kunadi wagombea wasio wa vyama vyao. Waambiwa kufanya hivyo ni kuwachanganya Wananchi

    Wakuu mkistaajabu ya tume ya uchaguzi basi jiandae kuona ya msajili. Jana kumbe Sisty kuwahi kote huko na boda boda pale makao makuu ya Chadema ni kupeleka barua ya katazo kuwa kuwanadi wagombea wa nje ya vyama vyao ni kukiuka maadili ya uchaguzi hivyo wamepigwa marufuku. Yani hii ofisi ya...
  11. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Dkt. Magufuli sera ni mali ya chama lakini si msaafu katika kampeni zako ongezea na yanayopendwa na Wananchi

    Kwanza nakupa pongezi kwa kazi kubwa uliyoifanya kwa miaka mitano ya kutujengea miundombinu ambayo itakapokamilika itakuwa nyenzo nzuri ya maisha kwa wananchi wa kawaida ambayo kwa sasa wengi wao wanajifanya hawaioni, mladi kama bwawa la mwalimu nyerere utakaopunguza gharama za...
  12. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Shehe alhad Mussa Salum wa DSM ataka wananchi wachague wagombea Wanawake, adai Mwanamme ni zao la mwanamke, Mdee apiga makofi!

    Ni katika kongamano la Mtandao wa Jinsia lililozungumzia nafasi ya mwanamke katika uchaguzi mkuu. Mgeni rasmi alikuwa RC Kunenge na lilihudhuriwa pia na wajumbe wa kamati ya amani mkoa wa DSM na wagombea akiwemo Halima Mdee anayegombea Kawe. Shehe wa mkoa wa DSM alhad Musa Salum amesema nafasi...
  13. CUF Habari

    JamiiForums Tanzania GE2020 Prof. Lipumba akiwa Msalala: Nitasimamia maendeleo ya kiuchumi nchini

    PROF. LIPUMBA AKISALIMIA WANANCHI WA MSALALA KATIKA STENDI YA KAKOLA AKIELEKEA KAHAMA NITASIMAMIA MAENDELEO YA KIUCHUMI NCHINI "PROF.LIPUMBA" Serikali ya umoja wa kitaifa chini ya CUF itajenga uchumi wa kisasa wenye ushindani wa kitaifa na kimataifa na utakaohimili misukosuko ya utandawazi...
  14. Q

    JamiiForums Tanzania GE2020 Baada ya Lissu kusema, Rais aagiza ekari 24,000 Moro zirudishwe kwa wananchi

  15. CUF Habari

    JamiiForums Tanzania GE2020 Prof. Lipumba akiwa Nkome Geita Vijijini: Nichagueni niwe Rais wa nchi hii tumalize tatizo la wavuvi

    NKOME, GEITA VIJIJINI WANANCHI WA NKOME WANANYANYASWA KWA KUPOKONYWA NYAVU NA KUWEKWA NDANI NICHAGUENI NIWE RAIS WA NCHI HII TUMALIZE TATIZO LA UNYANYASAJI"PROF. LIPUMBA" Mgombea Urais wa jamhuri ya muungano wa tanzania Prof. Lipumba amesema hayo katika mkutano wa kampeni uliyofanyika kata ya...
  16. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Lissu baada ya kuiteka ngome ya Kanda ya Ziwa, una kazi moja tu ya kuiteka Dar es Salaam umalize biashara hii mapema

    No doubt Ngome ya kisiasa ya raisi Magufuli ya Kanda ya Ziwa imetikiswa sana na mashambulizi ya kampeni ya Lissu Hii kanda ndiyo iliyokuwa muhimu sana kumsaidia Magufuli kubalance nguvu za upinzani katika kanda ya kaskazini na miji mikubwa ya Dar na Mbeya, huku akitegemea mikoa loyal kwa CCM...
  17. N

    JamiiForums Tanzania Yale majimbo ambayo ccm walipita bila kupingwa, wananchi bado mnatakiwa mjitokeze kupimgia kura Tundu Lissu

    Yale majimbo ambayo ccm wamejipa ushindi, wananchi October 28, 2020 nendeni mkampigie kura Tundu Lisu Kwasababu ccm tayari wameshajipa ushindi, hawachaguliki Kumbukeni wao watateuana na ndio utamaduni wao Tundu Lisu anaomba kura zenu, msije ziharibu kwa kuwapigia ccm ambao wamesha shinda...
  18. Fantastic Beast

    JamiiForums Tanzania GE2020 Huwezi kuwatishia wananchi ambao hawana cha kupoteza

    Baba yangu ni mkulima wa alizeti toka miaka ya 1980 kipindi ambacho hakukuwa na barabara za lami kabisa. Toka miaka hiyo kipindi hamna lami mpaka sasa pana lami maisha yake hayana tofauti sana katika kuuza mazao yake. Hakuna mwaka hajawahi kukosa kuuza mazao yake kisa ubovu wa barabara. Wala...
  19. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania GE2020 Video: Mwamba Freeman Mbowe atikisa kata ya Masama Sonu, Jani Isare lanyanyuliwa juu na wananchi

    Hii ndio habari inayozunguka huko Hai kwa sasa, ni katika Mikutano ya kampeni ya Mgombea ubunge wa Jimbo hilo Mh Mbowe, Waziri Mkuu ajaye ambaye pia ni Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa anayeitwa Kaka wa Taifa. Nisimalize uhondo, jionee mwenyewe
  20. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania GE2020 Yaliyojiri kwenye kampeni za Mgombea Urais wa CHADEMA Mhe Tundu Lissu Mkoani Mwanza

    Wakuu natanguliza salamu , kama mjuavyo kampeni za uchaguzi mkuu bado zinaendelea , sasa basi leo tena yule mgombea urais anayeongoza kura za maoni atakuwa Mkoa wa Mwanza kunadi sera za chama chake na kuomba kura za ndio. Endelea kufuatilia hapahapa JF kwa taarifa za uhakika ========...
Back
Top Bottom