wananchi

This article lists political parties in Tanzania. The country operates under a dominant multi-party system with the ruling party being in power since the nation attained its independence in 1961. It first governed as the Tanganyika African National Union, before merging with the Afro-Shirazi Party to form the Chama Cha Mapinduzi.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Wenyeviti wa Vijiji wanusurika kushambuliwa na wananchi Mtwara

    Jeshi la polisi wilaya ya Mtwara limeombwa kuongeza ushirikiano na viongozi wa vijiji katika kuimarisha ulinzi kufuatia wenyeviti wa vijiji viwili kunusurika kushambuliwa na wananchi likiwemo tukio la mwenyekiti wa kijiji cha Mtemba kubomolewa nyumba yake wakati akimwokoa mtuhumiwa anayedaiwa...
  2. JamiiForums Tanzania Ni wakati wa CCM kuandaa Chama kingine cha Upinzani maana waliopo sasa Wananchi walishaona hawajitambui

    Nadeclare interest kuwa mimi mpaka sasa sina kadi ya chama chochote cha siasa. Ila nafuatilia masuala ya siasa zinazoendelea hapa nchini kwa ukaribu. Ni wazi kuwa CHADEMA, CUF, ACT-Wazalendo na vyama vingine vya siasa vilivyopo hapa nchini japokuwa ni opposition parties lakini ni kambi ndogo za...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Wamachinga waondolewe kando ya barabara kuepusha magonjwa ya milipuko na ajali za barabarani

    Labda itakua vigumu kueleweka lakini nimeonelea ni bora nikatoa ushauri kwa manispaa na halmashauri zetu kuwaondoa mama lishe, Wamachinga na vibanda vya kuuza kadi na kusajili simu vilivyoko mabarabarani. Sababu kuu ni kuwa utakuta wanauza chakula, matunda n.k kwenye vumbi na zinaponyesha mvua...
  4. JamiiForums Tanzania Tujitafakari: Kwanini wananchi wanyonge wamlilie Hugo Chavez na hayati Magufuli?

    Chozi la mnyonge halina thamani? Hapana Mungu huwa analiona. Kwa nini Hugo Chavez na Hayati Magufuli waliliwe na wanyonge kiasi cha kushangaza dunia? Mbona George Bush snr hakuliliwa na wanyonge? Siasa zina mambo mengi sana. Ila mengi ni mabaya.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Serikali kuahirisha Mechi ya Simba na Yanga ili kuwalazimisha wananchi wafuatilie tukio la Uzinduzi wa Kitabu cha Mzee Mwinyi ni kitendo cha aibu

    Unajua kuna wakati unaweza ukajiuliza hivi tuna viongozi wa serikali wa namna gani. Inafahamika wazi kuwa ratiba ya Ligi inapangwa muda mrefu na bila shaka kwa kuzingatia matukio mbalimbali makubwa ya Kitaifa na kwa kanuni za Ligi Sasa inashangaza Leo, mchezo ukiwa umebakisha masaa mawili tu...
  6. JamiiForums Tanzania Shinyanga: Watoto waokota bomu ambalo halijalipuka lililoachwa na wanajeshi waliokuwa katika mafunzo ya kivita

    Wananchi wa Vijiji vya Nyiboko, Borenga, Machanchari na Maremboto vilivyopo Kata ya Kisaka wilayani Serengeti wameliomba Jeshi la Wananchi (JWTZ) kukagua na kuondoa mabomu yaliosalia maeneo ya makazi baada ya Watoto kuokota bomu ambalo halijalipuka mara baada ya kuhitimisha mafunzo ya kivita...
  7. JamiiForums Tanzania Ni wakati wa Rais Samia kuziangalia bidhaa zilizopanda bei kutokana na matamko ya kisiasa na kuumiza wananchi wa hali ya nchi

    Nakumbuka mwaka 2016 bei ya sukari ilikuwa shilingi 1,800 kwa kilo. Bei ya mfuko wa cement ilikuwa 11,000 hadi 12,000. Bei ya mafuta ya kula nayo ilikuwa chini sana lakini baada ya kuwekwa zuio la kutoingiza hizo bidhaa bei ilipanda kwa zaidi ya 60% na imekataa kushuka licha ya kutangaziwa kuwa...
  8. JamiiForums Tanzania Doroth Kilave: Serikali ijenge shule mpya jimboni kwangu kwani wananchi wanazaana sana

    Mbunge wa Jimbo la Temeke (CCM), Dorothy Kilave ameihoji Serikali ina mpango gani wa kujenga shule katika jimbo la Temeke kwa sababu wana watoto wengi wa darasa la kwanza akidai wanatokana na wananchi wa eneo hilo kuzaliana sana. Habari kamili ndio kama mnavyoona
  9. JamiiForums Tanzania Charles Mwijage: Wananchi wananiona kama mchawi kutokana na Wanafunzi kufariki kwenye Mitumbwi wakati wa kwenda Shuleni

    Mbunge wa Muleba Kaskazini, Charles Mwijage, amesema Wananchi wanamwona kama mchawi kutokana na Wanafunzi kufariki wakisafiri kwenye Mitumbwi wakati wa kwenda Shuleni kwasababu yeye ndiye aliyehamasisha Watoto kupelekwa Shule Ameiomba Serikali kupitia Wizara ya Elimu na TAMISEMI kupeleka fedha...
  10. JamiiForums Tanzania Ushauri: Serikali kupitia TRA iwakamate wananchi wanaotoka kununua vitu bila risiti

    Sheria ya kuwakamata wanunuzi wasio na risiti waliobeba mzigo izingatiwe maafisa wa TRA wawe wanakaa mtaani kufanya operation za watu wanaonunua halafu hawapewi risiti isiangaike na maduka iangaike na wananchi. Yaani unamkamata unamuweka ndani then anatoa pesa kulingana na mzigo alionunua...
  11. JamiiForums Tanzania Rais Samia kutembelea Kenya kwa ziara ya siku mbili

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa TanzaniaSamia Suluhu Hassan anatarajia kufanya ziara ya siku mbili nchini Kenya Anatarajia kufanya ziara hiyo kuanzia Mei 4, 2021 ambapo atapokelewa na Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya Ziara hii ya Rais Samia Suluhu Hassan itaambatana na ufunguzi wa kongamano la...
  12. JamiiForums Tanzania Niliyoona Hospitali ya Taifa Muhimbili: Serikali isicheze na afya za Wananchi maskini

    Leo nimemtembelea ndugu hospitali ya Taifa Muhimbili. Gharama alizonieleza imebidi nione haja ya Serikali yetu kufanya Jambo katika hili. Wacha gharama za usafiri wa mgonjwa na wauguzi kutoka wilayani, bado kuna gharama za malazi na matibabu. Na gharama za matibabu nilivyoziona, mwananchi wa...
  13. JamiiForums Tanzania Ilikuwa busara kufungia Twitter, kujinaisha (criminalise) matumizi ya VPN na bado unawasiliana na wananchi kupitia Twitter?

    Hilo jambo bado linasumbua akili yangu kuona mamlaka inafungia Twitter, halafu inaweka kuwa kutumia VPN ni kosa la jinai. Halafu yenyewe inatumia VPN kuwasiliana na wananchi ambao hawatakiwi kutumia VPN kuifikia Twitter. Nionavyo mimi, matumizi ya VPN yawe halali kisheria kwa sababu mamlaka...
  14. JamiiForums Tanzania Apoteza maisha kwa kushambuliwa na tembo, Handeni

    Mtu wa pili amepoteza maisha ndani ya wiki moja baada ya kushambuliwa na tembo wanao endelea kuzurura hovyo kwenye makazi ya watu katika mtaa wa malezi wilayani Handeni mkoani Tanga. Akiongea na ITV akiwa hospitali ya wilaya ya Handeni ulipohifadhiwa mwili wa marehemu ambaye amejulikana kwa...
  15. JamiiForums Tanzania Mbunge Kikoyo: Sheria ya Bima ina matatizo makubwa, hatuwatendei haki wananchi

    Dkt. Oscar Kikoyo Ishengoma amesema Sheria ya Bima hususan kwenye makosa yanayotokana na ajali za barabarani ina matatizo makubwa. Amesema, "Ukisoma hii Sheria, ajali inapotokea barabarani Jeshi la Polisi watapima, Kesi itapelekwa Mahakamani Hukumu itoke kisha Mhanga aiambitishe ili kwenda...
  16. JamiiForums Tanzania Bilioni 2 zatengwa kwa wananchi watakaovamiwa na wanyama pori

    Serikali imesema imetenga shilingi bilioni mbili katika mwaka wa fedha 2021/2022 kwa ajili ya kifuta jasho kwa wananchi wote watakaovamiwa na wanyama pori. Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii Mheshimiwa Mary Masanja amesema hayo bungeni wakati akijibu swali la Mbunge wa Namtumbo Mhe.Vita Kawawa...
  17. JamiiForums Tanzania Mdee, Gekul, Silinde, Nassari, Butiku, Bulaya, Katambi, ndio wamenifanya niamini kwamba siasa Tanzania ni kuchumia tumbo tu sio kuwatumikia wananchi

    Tuliwaona ni makamanda walioiva mno, waliokuwa tayari kufa kwa ajili ya kutetea, haki za binadamu, demokrasia, katiba na n.k Lakini mmoja baada ya mwingine wakaanza kusaliti kambi ya mapambano. Wakathamini fedha na madaraka kuliko kuwatetea wananchi, Aisee!! Halafu leo utakuja kuniambia kuna...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Si dhambi kama kuna hoja ya msingi Serikali kukiri kuwa kwa sasa 'imepigika' kiuchumi kuliko kutumia 'Misiba' kama utetezi kwa Wananchi

    "Ndugu washiriki kwa busara za mama yetu Rais Samia Suluhu Hassan baada ya kufanya uamuzi kwamba mwaka huu tuuadhimishe muungano kwa kufanya kongamano, ameagiza kwamba fedha zilizokuwa zitumike kwenye sherehe ya muungano mwaka huu zitagawanywa kwenda pande zote mbili za muungano na kila upande...
  19. JamiiForums Tanzania Makamu wa Rais, Dkt. Mpango: Changamoto hazimaanishi Muungano sio imara au hauna manufaa kwa wananchi

    Makamu wa Rais, Dkt. Philip Mpango amesema changamoto ambazo zimekuwa zilijitokeza mara kadhaa hazimaanishi Muungano sio imara au hauna manufaa kwa Wananchi. Amesema, "Serikali zetu zimekuwa zikibainisha changamoto hizo na kufanya jitihada za dhati kwa pamoja kuzipatia ufumbuzi kwa wakati na...
  20. J

    JamiiForums Tanzania Je, kuna umuhimu wa wananchi kujulishwa afya za viongozi ili pakitokea lolote tusianze kutafuta mchawi?

    Kwa mfano Rais wa Marekani inajulikana ana matatizo kadhaa ya kiafya hivyo anapopepesuka au kupoteza kumbukumbu wananchi wa Marekani wala hawashangai bali wanamuombea kwa Mungu. Hapa Tanzania mtu kama Tundu Lisu wala hatujaelezwa kama kamaliza matibabu yake huko Ubelgiji, tukaona tu anachukua...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…