wananchi

This article lists political parties in Tanzania. The country operates under a dominant multi-party system with the ruling party being in power since the nation attained its independence in 1961. It first governed as the Tanganyika African National Union, before merging with the Afro-Shirazi Party to form the Chama Cha Mapinduzi.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania Wananchi watozwa faini na kijiji kwa kosa la kushindwa kulima mazao ya biashara

    Wananchi watozwa faini na kijiji kwa kosa la kushindwaazao ya biashara Na Amiri Kilagalila,Njombe Wananchi wa kijiji cha Usililo kata ya Luwumbu wilayani Makete mkoani Njombe,wameilalamikia serikali ya kijiji hicho kwa kuwatoza shilingi elfu 3 mpaka elfu 5 kutokana na kushindwa kulima mazao ya...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Barua maalum kwa Kanisa Katoliki na Kanisa la Kilutheri: Tusaidieni kupata Katiba Mpya na kutetea haki za kikatiba za kila mtu

    Ndugu Maaskofu wetu. Amani ya Bwana iwe nanyi. Sina wasiwasi na Viongozi wetu wa dini wa Kanisa Katoliki na Kanisa la Kilutheri kuwa soon mtatupa muongozo wenu, kuhusu suala hili la katiba mpya ambalo serikali ya CCM inajaribu kulikwepa. Mababa askofu nawaandikieni barua hii kwa sababu CCM...
  3. W

    JamiiForums Tanzania Baada ya kukataliwa na wananchi, CHADEMA wanajigeuza mgambo

    Ndugu zangu, Ni dhahiri sasa Chadema wamefikia hatua ya kujigeuza migambo. Wanataka kila wasemalo au watakalo lifanyike. Wanajiona wao ndio wanastahili "attention" ya wananchi. Rais Samia anajitahidi kukutana na makundi muhimu katika jamii kama vile wazee, wakinamama, vijana, viongozi wa dini...
  4. M-mbabe

    JamiiForums Tanzania Sababu za wananchi kukosa matumaini ya mabadiliko kwenye utendaji wa haki chini ya Rais Samia

    I) POSITIVES Tangu ameingia madarakani, tumeona mabadiliko kidogo sana yenye mwelekeo chanya. Nimetumia expression ya "kidogo sana" kwa vile si mambo yaliyohitaji kutumia effort kubwa sana kuyatekeleza bali yanahitaji self-restraint pamoja na busara ya kawaida tu ya kiuongozi. 1. Kutotumia...
  5. beth

    JamiiForums Tanzania Maelfu ya wananchi waandamana Burkina Faso

    Maelfu ya watu wameandamana wakitaka Serikali kuchukua hatua kali dhidi ya matukio ya mashambulizi na mauaji ambayo yameyumbisha Taifa hilo miaka ya hivi karibuni. Shinikizo limeongezeka kwa Rais Roch Kabore kudhibiti na kumaliza mzozo wa kibinadamu ambao umepelekea zaidi ya watu Milioni moja...
  6. Lord OSAGYEFO

    JamiiForums Tanzania CHADEMA inadai Katiba mpya kama TANU ilivyodai uhuru kwa niaba ya Wananchi

    Kuna dhana imejengeka kwa baadhi ya WanaCCM kupinga katiba mpya wakiamini ni CHADEMA ndio wanataka katiba mpya kuwa na dhana hiyo ni upungufu mkubwa sana wa fikra. Swali la msingi. Je, Rais Mstaafu Jakaya Kikwete wakati anaanzisha mchakato wa katiba mpya alisema katiba ni kwa ajili ya CHADEMA...
  7. Chagu wa Malunde

    JamiiForums Tanzania Profesa Kabudi, wananchi wanahitaji katiba mpya zaidi ya unavyodhania. Unajiabisha kudai ipo madhubuti kulinda mipasuko ya kisiasa

    Ni aibu kubwa kwa mawanasheria nguli tena Profesa kukomaa bila hata aibu eti hii katiba ni madhubuti kisa tu baada ya msiba wa Hayati JPM hakukutokea rabsha. Hivi kama tungekuwa na katiba inayohitaji uchaguzi ufanyike baada ya Rais kufariki kungetokea maasi? Watu wasingefuata katiba...
  8. May Day

    JamiiForums Tanzania Huu wimbo wa "katiba mpya" ni manufaa ya Wanasiasa na Wanaharakati zaidi kuliko Wananchi

    Siku za hivi karibuni kumezuka Wanasiasa na Wanaharakati wanaohanikiza kupatikana kwa katiba mpya, huku wakijaribu kuiaminisha jamii ya Watanzania kwamba kupatikana kwake ndio itakuwa mwisho wa Matatizo ya nchi hii. Kwa muda wote ninajaribu kuwasikiliza mmoja baada ya Mwingine na bado sioni ni...
  9. BestOfMyKind

    JamiiForums Tanzania Nisaidieni umuhimu wa Katiba mpya kwa CCM na wananchi wasio na itikadi ya kisiasa

    Natamani niwe na mzuka na katiba mpya ila ari haipo kabisa na ninaona wanaotaka katiba mpya wengi ni wapinzani. Je, hitaji hili ni la kisiasa na si haki kama inavyotangazwa? Kwanini wanaCCM hawana mzuka na katiba mpya? Kwanini wananchi tusio na vyama hatuna maoni juu ya katiba mpya? Katiba...
  10. Shujaa Mwendazake

    JamiiForums Tanzania Mbowe: Tunamkumbusha Rais Samia hao wabunge na madiwani hawakuchaguliwa na wananchi

    "Mama anasema wabunge wafanye mikutano kwenye maeneo yao, mambo yaleyale aliyetueleza Mwendazake, tunakumbusha Mama Samia hao wabunge na madiwani hawakuchaguliwa na wananchi"-Freeman Mbowe
  11. P

    JamiiForums Tanzania Hofu ya Rais Samia ni wapi bajeti ya Katiba Mpya itoke. Je, Pesa ikichangwa na wananchi, CCM wataridhia mchakato kuanza?

    Ni swali dogo na fupi tu, Kunahofu ya uchumi kudolora kiasi cha kufanya iwe hofu ya baadhi ya mambo mhimu kufanyika kama ukamilishwaji wa Katiba Je, ikiwa wananchi wataamua kuchangia bajeti yote ya mchakato wa katiba mpya, Bado CCM watazuia jambo hili?
  12. P

    JamiiForums Tanzania Mwl Nyerere aliambiwa kwanini wananchi wanamsukuma Mrema na gari yake Dar hadi Kibaha

    Enzi hizo watu walidhani Mwl Nyerere ataamuru majeshi. Akawambia waacheni wasukume gari la Mrema, wakichoka wataacha wenyewe. Hivyo upinzani muwaache waongee kwenye mikutano, wananchi watawachoka au watawaelewa. Hakuna haja yakutumia nguvu bila sababu, hata hiyo mikutano itakuwa ya Amani zaidi...
  13. EINSTEIN112

    JamiiForums Tanzania Kwanini nchi zilizochanja wananchi wake na kuchukua tahadhari zote ndio zinaendelea kuongoza kwa maambukizi na COVD-19

    Juzi Rais wa Rwanda katangaza kufunga vyuo na shule kuanzia 01.07.2021. Kenya curfew imekuwa extended for 60 more days Uganda Ligi kuu imelazimishwa kumalizika coz ya Covid. Burundi, India, Brazil na nyingine mambo ni yaleyale. Japan wametangaza WIMBI LA TANO...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Katika kudai Katiba Mpya, tuwe na Katiba Day kila mwaka na iwe ile tarehe ambayo Mzee Warioba aliwasilisha maoni ya Wananchi juu ya Katiba Mpya

    Habari Wakuu, Katika harakati za kudai Katiba Mpya kutoka kwa watawala, napendekeza moja ya mkakati ni tuwe na siku maalumu ya kitaifa kila mwaka ambapo tutaitumia siku hiyo kutoa elimu kwa umma juu umuhimu wa Katiba Mpya na kuhamasisha madai ya kutaka Katiba Mpya. Siku hiyo ikifika kila...
  15. J

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Tanzania kuna wagonjwa zaidi ya 100 wa Corona. Chanjo itakuwa ya hiyari

    Rais Samia amesema wafanyabiashara wengi wa Kitanzania wameshachanja chanjo ya Corona wengine Dubai, SA na Nairobi. Rais amesema baraza la mawaziri limekaa na kuamua tukubaliane na chanjo na iwe ni hiyari. Serikali imeshatenga usd 470 milioni kukabiliana na covid 19. Nawasalimu kwa jina la...
  16. Profesa

    JamiiForums Tanzania NYARAKA: Katiba Inayopendekezwa Oktoba, 2014 (Tanzania's Proposed Constitution)

    Hii hapa wadau...
  17. Countrywide

    JamiiForums Tanzania Siasa na Pesa: Wananchi wengi wamechagua Pesa

    Mambo ni zaidi ya moto, Mama anaupiga mwingi sana. Nilijua na najua kuwa Mama Samia ana akili nyingi sana Ila sikujua kwa kiwango hiki. Ana IQ kubwa sana. Kitendo cha kukataa mabaradhuli kuzunguka mtaani kupiga porojo za siasa ikiwa wananchi wake hawana Pesa ni kitendo cha kishujaa na kinapaswa...
  18. K

    JamiiForums Tanzania Polepole unaposherekea kubomolewa kwa nyumba za wananchi Kimara -Kibamba unajua tulipoteza ndugu zetu kwa mshtuko?

    Nimeona mabishano yanayoendelea Kati ya Kigogo na Polepole, ukisoma ujumbe wa Polepole ni dhahiri anafurahia kitendo cha ndugu zetu kupoteza maisha, kuparalize na wengine kupoteza kabisa dira baada ya serikali ya Magufuli kuvunja nyumba za wananchi kupisha upanuzi wa barabara ya Kimara to...
  19. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Waziri Kalemani: Siku 100 za rais Samia, Sekta ya nishati imepeleka neema kwa wananchi, Vijiji 400 vimepata Umeme

    SIKU 100 ZA RAIS SAMIA, UMEME VIJIJI 400 Na. Georgina Misama - MAELEZO Waziri wa Nishati Dkt. Medard Kalemani amesema katika siku 100 za Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, Sekta ya nishati imepeleka neema kwa wananchi wa maeneno mbalimbali huku akitaja kuwa...
  20. P

    JamiiForums Tanzania Mtu kupita bila kupingwa ndani ya Jimbo na Kata ni kunyima uhuru wa Wananchi

    Haiingii akilini kutangazwa MTU kapita bila kupingwa. Kila uchaguzi iwepo kanuni ya uwepo wa mgombea zaidi ya mmoja hata kama ni chama kimoja endapo vyama vingine havisimamishi kwasababu mbalimbali.
Back
Top Bottom