wananchi

This article lists political parties in Tanzania. The country operates under a dominant multi-party system with the ruling party being in power since the nation attained its independence in 1961. It first governed as the Tanganyika African National Union, before merging with the Afro-Shirazi Party to form the Chama Cha Mapinduzi.

View More On Wikipedia.org
  1. R

    JamiiForums Tanzania Wananchi wataja uchumi kuwa ni tatizo kubwa zaidi linalosumbua kaya zao

    Aidan Eyakuze, Mkurugenzi Mtendaji wa TWAWEZA wakati wa uzinduzi wa utafiti mpya wa Sauti za Wananchi, Agosti 25, 2022. Matatizo makubwa matatu yaliyotajwa kuwasumbua zaidi wananchi kwenye kaya zao yote ni matatizo ya kiuchumi. Kati ya hayo, tatizo kubwa zaidi ni kupanda kwa bei za bidhaa na...
  2. Boqin

    JamiiForums Tanzania SI KWELI TWAWEZA yaahirisha uzinduzi wa matokeo ya utafiti mpya wa Sauti za Wananchi, leo Agosti 25, 2022

    Kufuatia kutangazwa kwa tukio la uzinduzi wa takwimu za shirika lisilo la kiserikali la TWAWEZA East Africa linalotarajiwa kufanyika leo tarehe 25 Agosti, 2022, kumekuwepo madai/uvumi kuwa tukio hilo limeahirishwa. Taarifa hizo ambazo zimekuwa zikisambazwa katika makundi sogozi ya WhatsApp...
  3. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Utafiti wa TWAWEZA Waonesha Gharama za Maisha, Ukosefu wa Ajira/Kipato na Uhaba wa Chakula Kuwa Mambo Makubwa Yanayowaumiza Watanzania

    Shirika lisilo la Kiserikali la TWAWEZA East Africa linafanya uzinduzi wa matokeo ya utafiti mpya wa Sauti za Wananchi. TWAWEZA itashirikisha umma matokeo hayo yenye uwakilishi wa kitaifa kutoka Sauti za Wananchi - ambalo ni jukwaa la kupigia kura kwa njia ya simu ya mkononi. Utafiti huo mpya...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Ndio zao

    Wanaanza kwa kukujaza upepo mpaka unajiona umenona, wewe ndio wewe, Mfalme. Wanakulainisha na kukulegeza mpaka miguu inakosa nguvu, huwezi kusimama. Wakianza kuingiza huna cha kuzuia, umekwisha. Kwani michezo yao si tunaijua?! Kila siku tunaisikia na kuicheza, lakini ikifika muda wa kuchambua...
  5. Ahaz1863

    JamiiForums Tanzania SoC02 Ushiriki wa wananchi katika kudai uwajibikaji sekta ya kilimo

    Utangulizi Kwa kipindi kirefu kumekuwa na changamoto ya ushiriki wa wananchi katika kufuatilia na kuwajibisha viongozi wa serikali katika jamii zao. Hii imepelekea ufujaji wa radimali za umma katika sekta ya kilomo na kudhohofisha usalama wa chakula. Wananchi ni nguzo muhimu sana katika maeeleo...
  6. Frumence M Kyauke

    JamiiForums Tanzania Mapokezi ya lambalamba za benki kwa baadhi ya wananchi

    Wadau mapokezi ya tozo za benki kwa wananchi yamepokelewa kwa namna tofauti, hivi sasa tunavyozungumza wapo baadhi ya wananchi wameshasafisha account zao za benki na kupeleka fedha zao kusikojulikana na kuacha account zao nyeupe kabisa wakihofia lambalamba.
  7. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Mahakama ya Iraq yasitisha shughuli zake Wananchi wakisisitiza kuvunjwa kwa Bunge

    Mahakama nchini Iraq imezisimamisha shughuli zake ikiwa ni baada ya wafuasi wa kiongozi wa kidini mwenye ushawishi mkubwa Moqtada al-Sadr kuongeza shinikizo lake kutika kuvunjwa kwa bunge, ukielezwa kuwa mgogoro mkubwa tangu uvamizi wa Marekani. Katika siku za hivi karibuni kiongozi huyo...
  8. U

    JamiiForums Tanzania Kuna ubaya gani Serikali ikawaambia ukweli wananchi kwamba nchi inaelekea kufilisika?

    Pamoja na kwamba, mwananchi ndio mjenga nchi, lakini kwa uelewa wangu mdogo, naona kwa Tanzania mambo ya tozo yamezidi. Ni bora serikali iwaambie ukweli wananchi kwamba, nchi inaelekea kufilisika ili tuanze kujifunga mkanda, kuanzia viongozi mpaka wananchi. Kinachoendelea sasa Tanzania ni...
  9. Dr Matola PhD

    JamiiForums Tanzania Ni kweli hali ya maisha imekuwa ngumu, na pia ni kweli hizi tozo hazikubaliki, sasa wananchi tuseme kwa vitendo imetosha

    Kwa lugha rahisi tu wananchi sisi ndio wenye nchi na huyu Mwigulu Nchemba na mama sisi ndio mabosi wao, sisi siyo vijakazi wao hili lieleweke dhahiri shairi. Kwakuwa ugumu huu wa maisha hauchagui itikadi za vyama au wasiokuwa na vyama, kupitia thread hii tukusanye maoni ya wananchi jinsi ya...
  10. Dr Msaka Habari

    JamiiForums Tanzania Umilikishaji wa hati kuwa inua wananchi wa Temeke kiuchumi

    Na. Mwandishi wetu, Dar Kamishina Msaidizi wa ardhi kanda ya Dar es Salaam Bw. Idrisa Kayera amesema serikali imesisitza kuwa lengo kuu la umilikishaji hati miliki za ardhi litafanya kila kitu kuwa na uhakika wa usalama wa umiliki wa ardhi na hivyo kuwainua wananchi kiuchumi Kwa kuwa hati...
  11. Dr Msaka Habari

    JamiiForums Tanzania Umilikishaji wa hati kuwainua wananchi wa Temeke kiuchumi

    Na. Mwandishi wetu, Dar Kamishina Msaidizi wa ardhi kanda ya Dar es Salaam Bw. Idrisa Kayera amesema serikali imesisitza kuwa lengo kuu la umilikishaji hati miliki za ardhi litafanya kila kitu kuwa na uhakika wa usalama wa umiliki wa ardhi na hivyo kuwainua wananchi kiuchumi Kwa kuwa hati...
  12. J

    JamiiForums Tanzania CHADEMA huwatetea wananchi kwenye mambo gani?

    Kila kona ni kilio cha Tozo kiasi kwamba Watu hawaelewi kinacholiliwa ni nini hasa Binafsi najiuliza Chadema hujinasibu kuwa wao ni watetezi wa wananchi, je huwa wanatutetea kwenye mambo gani? Mungu ni mwema wakati wote!
  13. Rashda Zunde

    JamiiForums Tanzania Serikali inathamini wananchi wake, mfano ni Wanamsomera

    Miaka ya 1970 wananchi walihama kutoka sehemu moja hadi nyingine ili kurahisisha upatikanaji wa huduma za kijamii. Sasa wananchi wanatoka Ngorongoro kwenda Msomera kwenye huduma bora za kijamii zilizowekwa na Serikali ya Awamu ya 6. Wanapohamia Msomera wanaenda kuwa maisha bora na kupata...
  14. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Kilosa: Serikali yakabidhi mashamba 11 yaliyoshindwa kuendelezwa kwa Wananchi

    RIDHIWANI AKABIDHI MASHAMBA 11 YALIYOSHINDWA ENDELEZWA KWA WANANCHI KILOSA KWA NIABA YA RAIS SAMIA ,ASISITIZA YATUMIKE KWA AJILI YA KILIMO. Na Mwandishi wetu... Naibu Waziri wa Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi , Ridhiwani Kikwete amewahimiza viongozi wa Wilaya ya Kilosa kusimamia...
  15. cupvich

    JamiiForums Tanzania SoC02 Dini inapogeuka kichaka cha kujificha kwa watawala wasiotimiza wajibu wao kwa wananchi

    UTANGULIZI. Nafungua kamusi yangu ya kiswahili na Kutambua kuwa Neno "DINI" ni neno la kiarabu lenye maana ya jumla ya imani ya binadamu pamoja na mafundisho wanayotoa kuhusu yale ambayo wanayazingatia ama kuyasadiki, yaani mambo ya roho, kama vile kuhusiana na Mungu, maisha na uumbaji (...
  16. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Licha ya Rais kujitahidi kuchapa kazi lakini bado Wananchi hawamuelewi!

    Sabato Njema! Tangu Rais arithi kiti cha Urais mwaka Jana hajapumzika wala sijasikia Kama alipata likizo. Anachapa kazi, Leo yupo huku kesho yupo Kule. Anachapa kazi. Lakini licha ya jitihada zake zote katika kulitumikia taifa hili bado Wananchi hawamuelewi. Hii inasababishwa na nini? Kuna...
  17. N

    JamiiForums Tanzania Wananchi wengi wanaunga mkono tozo, maneno ya maadui na vibaraka wa mabeberu yapuuzwe

    Baada ya kuona nchi inapiga hatua kwa kasi chini ya Rais mpendwa wa awamu ya sita, madaui wa taifa kupitia vibaraka wao wameibuka kwa kasi sana Mama hata halali kabisa akiwaza jinsi ya kuwaletea maendeleo hili lilithibitishwa na Gerson Msigwa lakini bado kuna wajinga wanalalamika tu Tozo...
  18. Tajiri wa kinyankole

    JamiiForums Tanzania Tozo za miamala zimekuwa kero kwa wananchi, serikali imeshupaza shingo

    Ni kilio cha kusaga meno kila kona ya nchi tozo imekuwa mwiba mkubwa kwa wananchi kila kona wanalia hata hivyo baadhi ya wafanyakazi wa umma hasa manesi na walimu wanalalamika sana kuona wanalipa kodi huku tena kuendelea kukatwa fedha zao zaidi ya maratatu kupitia tozo ambazo imeweka serikali...
  19. T

    JamiiForums Tanzania Serikali ambayo haikuchaguliwa na Wananchi haiwezi kujali Wananchi

    Kwa sasa huwezi kuwasikia walamba asali wakisema chochote kwa sababu wako kwenye mizinga ya nyuki wakilamba asali. Serikali hii ya kikatiba ambayo haikuchaguliwa na wananchi haina uchungu na matatizo ya wananchi. Maisha magumu kila kitu kimepanda bei, tozo kila kukicha, tozo kila kona. Maisha...
  20. S

    JamiiForums Tanzania Nape aanza nyodo kwa wananchi. Anatoa majibu ya shombo

    Nape anashiba na kusaza awamu hii. Mama alishamtoa wasiwasi Nape na mawaziri wengine kwamba hatowatumbua hata wakikosea. Hivyo hawana hofu tena. Nape anaulizwa kuhusu TOZO mpya za miamala ya kibenki anajibu kwa nyodo. Majibu yake yananuka shombo la ulevi wa madaraka. Nchi hii jamani! Acha tu.
Back
Top Bottom