wananchi

This article lists political parties in Tanzania. The country operates under a dominant multi-party system with the ruling party being in power since the nation attained its independence in 1961. It first governed as the Tanganyika African National Union, before merging with the Afro-Shirazi Party to form the Chama Cha Mapinduzi.

View More On Wikipedia.org
  1. gimmy's

    JamiiForums Tanzania Waziri Ummy Mwalimu, waeleze wananchi kwamba ugonjwa uliogundulika Lindi ni rahisi zaidi kusambazwa na mbwa pia

    Salaam, Hivi majuzi kulitokea taharuki ya ugonjwa uliosababisha sintofahamu kwa wakazi wa Lindi baada ya kusababisha vifo vya watu kadhaa. Dalili zilizoonekana kwa wagonjwa ilikua ni pamoja na homa kali,kuumwa viungo vya mwili pamoja na kutokwa na damu puani. Mwanzoni ugonjwa huu haukuweza...
  2. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Mitungi ya gesi anaigawa bure January Makamba kwa wananchi wa Kanda ya Ziwa ni mradi endelevu?

    Nimefuatilia biashara anayoifanya Makamba kanda ya ziwa, kugawa mitungi ya gesi kwa wananchi na sijatambua kama biashara hiyo ni endelevu. Iwapo mitungi hiyo gesi itaisha ni nini hatma ya mradi huo? Je, mitungi anayoigawa fedha ni kodi ya wananchi au ni fedha za CCM? Je, Makamba ametumwa au...
  3. vnn

    JamiiForums Tanzania Serikali ya CCM mmeamua kutusaliti wananchi, Tunaenda kukumbwa na njaa kubwa hali ni mbaya

    Serikali ya CCM chini ya Rais Samia Imeamua kwa makusudi kutuacha watanzania na kuangali maslai yao. Hali ni mbaya sana mtaani vyakula bei hazishikiki. Vyakula vinavushwa mipakani na kwenda nje ya nchi sisi hatupati. Imefika hatua sasa hivi mabwenyenye wananunua mzigo bado upo shambani...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Dkt. Samizi na kazi ya kutatua kero za wananchi jimboni

    Mbunge wa Jimbo la Muhambwe Mkoani Kigoma Mhe. Dkt. Florence George Samizi na ziara yake Jimboni kwake kuendelea kusikiliza kero za Wananchi na kuzitatua, kusisitiza watu kujitokeza kwa wingi kuhesabiwa kwenye Sensa na mambo mengine mengi.
  5. beth

    JamiiForums Tanzania Rais wa Sri Lanka, Gotabaya Rajapaksa ajiuzulu

    Rais Gotabaya Rajapaksa amewasilisha barua ya kujiuzulu Urais wa Nchi hiyo Spika wa Bunge, Mahinda Yapa Abeywardenena. Taarifa ya Bunge inasema wasilisho limefanya kupitia Baruapepe Inadaiwa ametuma Barua hiyo baada ya kuwasili Singapore. Taifa hilo limesema Rajapaska ameruhusiwa kuingia kwa...
  6. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Wananchi wa Mwanza walalamikia kuondolewa kwenye maeneo bila kulipwa fidia na kuuzwa kwa Vigogo wa Serikali

    Eneo hilo lenye viwanja 39, linalalamikiwa na wananchi kuwa lilichukuliwa bila wao kulipwa fidia na kuuzwa kwa vigogo hao wa serikali. Dk. Mabula pia amemwagiza Katibu Mkuu wa Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Dk. Allan Kijazi, kuunda tume huru ambayo itafanya uchunguzi wa kina...
  7. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Njombe: Wananchi washauriwa kutumia baridi kama Utalii wa ndani

    Kiongozi mmoja sijamkata jina na cheo huko Njombe ameongea (nimemuona kwenye taarifa ya habari ITV) akiwashauri wananchi kutumia baridi kama kivutio cha utalii wa ndani. Baridi linaloendelea limetajwa kuathiri afya za watu na mazao. Nimonia kwa watu na ukungu kwa mazao ni kati ya magonjwa...
  8. Rashda Zunde

    JamiiForums Tanzania Rais Samia amewafungulia njia wananchi wa Msomera

    Rais Samia Suluhu amewajali sana na kuwathamini wananchi waliohamia Msomera kwa kiasi kikubwa hawakuwahi kufikiria siku moja watakuja kumiliki mashamba makubwa ambayo ni ekari 5, nyumba za kuishi ambazo zina maeneo makubwa ya ekari 2 na nusu na kujengewa miundombinu yote ikiwemo umeme, maji...
  9. MakinikiA

    JamiiForums Tanzania Kwa wale wenye fitina Rais Putin alishapewa baraka na wananchi kubakia Ikulu mpaka 2036

    Hii ilifanyika 2021 The Russian president has signed legislation that gives him the right to run for two more consecutive terms. The constitutional amendment was approved by referendum last year. Russian President Vladimir Putin on Monday signed legislation that could theoretically mean he stays...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Kauli za jeuri na dharau za viongozi wetu kwa wananchi ni matokeo ya Katiba yetu mbovu

    Katiba bora huwafanya viongozi kutimiza wajibb wao ipasavuo na kuwaheshimu wananchi ambao ndiyo wenye nchi. Hivi unadhani katiba yetu ingekuwa bora, Samia angetoa hoja dhaifu kuwajibu wananchi wanaokosoa wingi wa safari zake za nje? Anafanya hivyo kwasabb katiba mbovu imempa nyenzo na mamlaka...
  11. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Unaweza kuita bajeti ya 2022/2023 ni bajeti ya wananchi kutokana na mambo sita makubwa yaliyozingatiwa

    Tuseme tu ukweli mama ameupiga mwingi kwenye swala la bajeti. Kwa ushauri zaidi. PM au Email: menejawamakampuni@gmail.com Let be smart in seriously issues.
  12. JF Member

    JamiiForums Tanzania Bei ya Mafuta: Rais Samia, badili uongozi wa juu ili wananchi tupate ahuweni

    Chonde Rais Samia, utuonee huruma wananchi wako. Tunaonba sana, kwa aina ya uongozi wa Juu kabisa uliouweka kwenye nishati, na kama ukiendelea kuwepo tutaumia na kuishia kukulaumu wewe kila uchao. Pamoja nar udhuku unayo toa, italiwa na mafuta yatazidi kupaa na bei za Vitu vingine vitapanda...
  13. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Wananchi Mwanza walalamika vigogo kupendelewa viwanja

    Baadhi ya wananchi walioomba kuuziwa viwanja eneo la Luchelele na Isamilo, jijini Mwanza, wamelalamika kukosa viwanja hivyo na kudai viongozi wa serikali na wabunge kuviwahi. Halmashauri ya Jiji la Mwanza ilitangaza kuuza viwanja hivyo na kuwataka wanaovitaka kuchukua fomu kuanzia Juni 2 hadi...
  14. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Video: Kombe la ASFC waliloshinda yanga limeharibika

    Aisee kweli Yanga walimiss kushinda makombe, huwezi amini kwa lile shangwe lao kombe la Shirikisho la Azam tayari limeshakatika. Wacha niselete maneno mengi tazama hapa chini.
  15. beth

    JamiiForums Tanzania Katavi: Idara ya TAMISEMI yalalamikiwa zaidi na Wananchi TAKUKURU

    Malalamiko 57 ya Rushwa yalifikishwa TAKUKURU Mkoani humo kati ya Januari - Machi 2022. Aidha, katika kipindi hicho Malalamiko mengine 4 ambayo hayakuhusisha Rushwa yalipokelewa Uchunguzi wa Majalada 55 bado unaendelea, na Majalada mengine mawili Uchunguzi wake ulikamilika na Watuhumiwa...
  16. P

    JamiiForums Tanzania Huduma katika hospitali za umma ni mbovu sana na zinatesa wananchi!

    Hali ni mbaya katika hospital za serikali, Huduma ni za taabu sana, Jamani, binadamu kukaguliwa na homa, ni hali ya kawaida, Ila Inapotokea hali hiyo mtu umekaguliwa, basi angalau ukutane na huduma ya haraka! Kwa sasa, mgonjwa kukaa masaa 6 mapokezi ni hali ya kawaida na masaa manne akisubiri...
  17. beth

    JamiiForums Tanzania Macau: Maambukizi yaongezeka, Wananchi watakiwa kukaa nyumbani

    Mamlaka zinapambana kudhibiti mlipuko mkubwa zaidi wa CoronaVirus Jijini humo tangu janga hilo kuanza. Wakazi wote wametakiwa kupima kila siku na kukaa nyumbani mara nyingi iwezekanavyo Ndani ya Wiki moja, upimaji kwa Wakazi zaidi ya 600,000 umeshafanyika mara tatu na watu wapatao 7,000...
  18. W

    JamiiForums Tanzania Loliondo, Ngorongoro, Hayaruhusiwi kuendelezwa | Serikali na wananchi walikubaliana - Wakili Mkuu wa Serikali Gabriel Malata

  19. Mtini

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkenda na RC Kagera, kwanini watoto wanarudishwa majumbani kwa mzazi kushindwa kulipa mchango? Je, elimu bure ni kuhadaa wananchi?

    Leo limetokea tukio la kustaajaabisha sana hapa katika shule ya msingi Tumaini iliyopo manispaa ya Bukoba, watoto wamerudishwa majumbani kwa kuwa wazazi hawajalipa mchango wa Tuition ya jioni. Kinachoumiza ni kumrudisha mtoto asubuhi nyumbani, yaani akose vipindi vya msingi vya asubuhi kisa...
  20. J

    JamiiForums Tanzania Jaji Warioba: Kikosi kazi cha Profesa Mukandala kikusanye maoni ya Wananchi wa kawaida siyo Watu maarufu pekee

    Jaji Warioba amekitaka Kikosi kazi cha Profesa Mukandala na Zitto Kabwe kukusanya maoni ya Wananchi wa kawaida badala ya kualika wasomi na Watu maarufu pekee. Jaji Warioba amesema makundi ya Kikanda, Kidini, kikabila na kisiasa vikiachiwa na kuchekewa vitaligawa taifa. Chanzo: ITV habari
Back
Top Bottom