Katiba mpya itaundwa tu.
Utawala wa awamu ya 5 ndiyo umeleta chachu na hamu ya uhitaji wa kuundwa kwa Katiba mpya. Kila kundi katika jamii linahitaji Katiba mpya. Wanaccm, Wapinzani, Wanaharakati, n.k.
Wananchi wa makundi mengi katika jamii hawakufurahishwa na mwenendo wa mwendazake lakini...