Je, walimu sio mahiri? Je, wanafunzi ni vilaza?Je masomo ni magumu? au je mitihani ndiyo migumu?
Mazingira ya ujifunzaji yanaridhisha? Je, kuna vitabu vya kutosha? Mitaala inakidhi viwango? Au ni ili mradi watu wamalize?Uwiano wa walimu na wanafunzi uko sawa?
Je, mfumo unaotumika ni upi? Ni...