Kwanini wanafunzi wengi wa Pharmacy ngazi ya diploma wanafeli sana?

Cashman

JF-Expert Member
Jun 8, 2018
2,275
3,929
Je, walimu sio mahiri? Je, wanafunzi ni vilaza?Je masomo ni magumu? au je mitihani ndiyo migumu?

Mazingira ya ujifunzaji yanaridhisha? Je, kuna vitabu vya kutosha? Mitaala inakidhi viwango? Au ni ili mradi watu wamalize?Uwiano wa walimu na wanafunzi uko sawa?

Je, mfumo unaotumika ni upi? Ni competence based au knowledge based?

Mtaala unafuatwa?ama bora watu wakusanye ada?Ni nani anafuatilia iwapo mtaala unatekelezwa? Kama hakuna, usipotekelezwa nani anawajibika?

Waajiri wanawajali waalimu? Au kwa vile wapo wengi kwenye soko? Je, wanapata mafunzo kazini(CPD)? Au ndio wameshamaliza shule?Maslahi yao yakoje? Je, maslahi yana mchango wowote katika kufaulisha?

Wanaotunga mitihani wanafundisha? Au wanaoipitia ikiwa imetungwa wanaipima kwa umahiri kuona kama inafaa?

Vipi wanafunzi wanatunza notes wanazopewa? Kwa njia gani? Simu, kishikwambi? Au kompyuta mpakato? Au wanaandika kwenye counter book? Kama hivyo vyote hawana, je unatarajia wafaulu?

Au vigezo vya kujiunga viko chini sana? Vikipandishwa, ufaulu utaongezeka? Je, wenye ufaulu mkubwa huwa hawafeli?

Au wanafunzi wanaonewa na walimu?

Kama ni kweli kuna ushahidi wa hili?

Karibuni kwa mchango
 
Biology siyo ya mchezo mchezo labda.
Vigezo vya kujiunga ni vidogo.

Vyuo vingekuwa vinatunga vyenyewe mitihani wangefaulu kweli kweli
 
Je, walimu sio mahiri? Je, wanafunzi ni vilaza?Je masomo ni magumu? au je mitihani ndiyo migumu?

Mazingira ya ujifunzaji yanaridhisha? Je, kuna vitabu vya kutosha? Mitaala inakidhi viwango? Au ni ili mradi watu wamalize?Uwiano wa walimu na wanafunzi uko sawa?

Je, mfumo unaotumika ni upi? Ni competence based au knowledge based?

Mtaala unafuatwa?ama bora watu wakusanye ada?Ni nani anafuatilia iwapo mtaala unatekelezwa? Kama hakuna, usipotekelezwa nani anawajibika?

Waajiri wanawajali waalimu? Au kwa vile wapo wengi kwenye soko? Je, wanapata mafunzo kazini(CPD)? Au ndio wameshamaliza shule?Maslahi yao yakoje? Je, maslahi yana mchango wowote katika kufaulisha?

Wanaotunga mitihani wanafundisha? Au wanaoipitia ikiwa imetungwa wanaipima kwa umahiri kuona kama inafaa?

Vipi wanafunzi wanatunza notes wanazopewa? Kwa njia gani? Simu, kishikwambi? Au kompyuta mpakato? Au wanaandika kwenye counter book? Kama hivyo vyote hawana, je unatarajia wafaulu?

Au vigezo vya kujiunga viko chini sana? Vikipandishwa, ufaulu utaongezeka? Je, wenye ufaulu mkubwa huwa hawafeli?

Au wanafunzi wanaonewa na walimu?

Kama ni kweli kuna ushahidi wa hili?

Karibuni kwa mchango

Wafamasia Tanzania wanaonekana hawana tofauti na wauza mizizi na magome ya dawa za kienyeji .

Angalau babu Dr. Idris Mtulia alijitahidi na kuacha legacy ktk fani ya pharmacology:
Pharmacology & therapeutics: A manual for medical assistants and ...
Pharmacology & therapeutics: A manual for medical assistants and other rural health workers (Rural health series) [Mtulia, I. A. T]

Wafamasia wanashindwa kueleweka umuhimu wao ktk jamii ya kiTanzania tofauti na fani zingine zinazoheshimika na kufahamika kama za manesi na madaktari wa binadamu . Na hii inajionesha Hata ka website cha school of pharmacy MUHAS Publications kana sikitisha.
 
Miongoni mwa kozi za afya zilizokua zikiongoza kwa ufaulu ni nursing pamoja na pharmacy kwa level ya diploma ola upepo umegeuka ndani ya miaka miwili ilopita na kozi ya pharmacy kuonekana kama trik baada ya serikali kuweka dought...kinachosanabisha hii hali kutokea kwanza, qupification ya kusoma hii koz ilikua chini sana ukilinganisha na kozi zingne za afya yan ww uwe na D mbili tu chem & bios hta kama ina div 4 ya mwisho tayar unasoma ukija kuangalia koz ya pharmacy imekua kama koz yeboyebo za hotel management ambazo hazna kash kash kwa kudahili wanafunzi wengi wasionauwezo, pili masomo sio magumu kabisa ila sera ya serikali imebadili mfumo wa marks za ufaulu juu kwa juu wanafunzi wanapewa taarifa tayar wameshafanya mitihani kwa mwaka jana hawakuwa wamejiandaa kwa hilo, mwisho chuo pia kinachangia kwa maana ya uongozi kwa ujumla.
 
Tasnia ya pharmacology yavamiwa

22 April 2022

MADUKA YASIYO NA SIFA YAFUNGIWA MSAKO MTAA KWA MTAA "LAZIMA TUWAHAKIKI"

Source : millard ayo
 
Back
Top Bottom