A
Anonymous
Guest
Mkoani Arusha, Shule ya Secondary KIUTU haina maabara mpaka sasa Machi 2026, form four wanatarajia kuhitimu na shule haina maabara.
Haina Walimu wa kutosha, wapo Walimu 10 wa 11 ni Mkuu wa Shule! Hii imekuwa changamoto kubwa sana na ukiangalia form 3 wapo wanafunzi 315, hapo bado form four, bado form 1 na 2.
Tunaomba halmashauri pamoja na Mkuu wa Mkoa wa Arusha ashughulikie hilo jamani! Wanafunzi wametoka chekechea mpaka wanamaliza Kidato cha 4 hawaijui maabara, hii siyo hali kabisaa!
Wanafunzi wanaotegemea kutumia Maabara hawaendi popote pale wapo tu wanaishia kufundishwa kwa maneno tu pasi vitendo!