wanafunzi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    Likizo kwa wanafunzi iwe ni lazima

    Kipindi cha likizo ni lazima mwanafunz aende likizo. akae mbali na darasa na akae karibu na nyumbani. Akae mbali na waalimu, na karibu na wazazi au walezi. Kutaka kuwapa masomo ya zaidi. Ni Tamaa ya fedha au kiashirio Cha uzembe wa walimu: Uzembe kwa maana ya kushindwa kukutumia muda wa...
  2. Chuo Kikuu cha Iringa chawafukuza wanafunzi zaidi ya 50 kwa kudukua Mfumo wa Malipo ya Ada

    Chuo Kikuu cha Iringa kimelazimika kuwafukuza wanafunzi zaidi ya 50 baada ya kudukua mfumo wa malipo ya ada na kugoma kulipa ada ya kozi ya teknolojia ya habari (IT). Makamu Mkuu wa Chuo, Prof. Ndilirio Urio amesema wanafunzi 256 walifanya udanganyifu wa malipo na Chuo kiliagiza matokeo ya...
  3. R

    Waziri wa Elimu, wasaidie Wanafunzi SUA mwaka wa Kwanza hawajapata fedha zao toka HESLB

    Prof. Mkenda wasaidie wanafunzi mwaka wa kwanza SUA wapate hela zao toka HESLB. Tangu wafungue muhula hawajapata fedha zao mpaka sasa. Hawana pa kwenda , mamlaka za chuo zinawazungusha bila kuwapa ukweli wa nini kinajiri.
  4. Case study: Tangu nikiwa mdogo ni kawaida kukuta watoto wa kikristo wana malezi ya wazazi wote ila kwa waislam ni mama tu, nini chanzo?

    Walengwa ni watoto ambao wazazi wao walifunga ndoa, Ukweli familia nyingi za kiislamu watoto kukua na mama bila baba kuwa karibu ni kawaida sana Nilianza kuyaona haya nilipofika darasa la tano, nakumbuka nikiwa naenda kwenye nyumba ya rafiki yangu wa kiislam kwenda kucheza game namkuta mama...
  5. M

    SoC03 Kupiga Hatua za Mbele katika Elimu: Kuvunja Mipaka na Kuunda Kizazi cha Wanafunzi Wenye Ubunifu

    Utangulizi Katika uchambuzi huu, tunazingatia mabadiliko yanayohitajika katika sekta ya ubunifu na uvumbuzi, kuanzia shule za msingi mpaka vyuo vikuu. Lengo ni kuchochea uwajibikaji na kuleta mabadiliko chanya kwa jamii na nchi kwa ujumla. Tutapendekeza hatua za kukuza ubunifu na uvumbuzi...
  6. Tetesi: Shule ya wasichana ya Huruma iliyopo Dodoma yazuia wanafunzi kurudi likizo

    Katika , hali ya kutatanisha , shule ya masister inayomilikiwa na Kanisa katoliki mkoani DODOMA iitwayo HURUMA secondary school, imezua vurugu miongoni mwa wazazi wa vijana wa kidato cha nne . 1. Shule hiyo inadaiwa kuondokewa na waalimu wao mahili katikati ya maandalizi ya NECTA ijayo ...
  7. A

    Andiko kuhusiana na suala zima la kudhibiti utoro wa wanafunzi mashuleni

    Utoro wa wanafunzi mashuleni ni tatizo kubwa ambalo linahitaji kushughulikiwa kwa dhati katika suala la utawala bora na uwajibikaji. Tatizo hili linasababisha athari mbalimbali ikiwemo kupungua kwa ufaulu, kuongezeka kwa idadi ya watoto wanaoacha shule na kuathiri maendeleo ya taifa kwa ujumla...
  8. NHIF Na Wanafunzi wa shule za msingi na sekondari

    Bima kwa Wanafunzi Overview NHIF offers health insurance services to students of higher or any other learning institutions. A student who is a member of NHIF will access medical services with his/her card at any health facility certified by the Fund throughout Tanzania. Students with NHIF...
  9. Naomba kuuliza, hivi ni lini wanafunzi waliofanya vizuri mitihani ya form four 2023 watatowa selection ya shule walizopangiwa A level?

    Anajuwa humu kuna wadau wa mambo yote, matokeo ya form four yalishatoka na kila muhusika anajuwa ana division gani. Sasa nataka kujuwa ni lini serikali itatangaza selection ya shule za serikali kwa waliofanya vizuri?
  10. Kabla ya kuilaumu Law School, watanzania wanajua kwamba baadhi ya wanafunzi vyuo binafsi huwaandalia" fungu" waalimu ili wafaulu?

    Hii ni issue niliyoambiwa na mmoja ya waalimu wa chuo kikuu binafsi aliyekuwa anafundisha sheria. Aliingia chuo hicho (sikitaji) akiwa na bidii kubwa,. Anaingia Kila kipindi kwa wakati, anakuwa mkali pale wanafunzi wanapochelewa, na katika mtihani alikuwa hana mzaha. Mmoja wa wanafunzi...
  11. B

    Wanafunzi Law School mnayo nafasi ya kujipigania

    Yamekuwa yakisikika matokeo yasiyo na tija Law School. Kwamba wanafaulu wanafunzi chini ya 3%? Kwamba wanafunzi bado mpo tu kama makondoo mmetulia kumsubiri nani kuwapigania? Shule zinaposhindana ubora kwa kufaulisha, kwa nini Law School wao wanajinasibu ubora kwa kufelisha? Kwamba hawa wa...
  12. K

    Mabilioni yanusuru wanafunzi kukosa madarasa na madawati mkoani Arusha

    Kaimu Mkurugenzi wa halmashauri ya jiji la Arusha, Hargney Chitukuro amesema kuwa mwaka huu hakuna mwanafunzi aliyekosa kuingia darasani kwa kukosa chumba cha darasa au dawati. Amesema wamefanikiwa kuepukana na adha hiyo kutokana na uamuzi wa serikali kutoa zaidi ya Sh. bilioni mbili kwa ajili...
  13. DOKEZO Arusha: Wanafunzi almanusura wasombwe na maji wakivuka mto kuelekea shule

    Wanafunzi wanaosoma katika shule ya sekondari Lemara pamoja na shule ya msingi Lemara zote za serikali wamenusurika kusombwa na Maji ya mto Themi wakati wakienda shule. Mwaka jana wanafunzi watatu wa shule ya msingi Lemara waliokolewa baada ya kuzidiwa na maji wakati wakivuka mto huo kwenda...
  14. Forex: Sandile Shezi kutoka South Africa kawapiga na kitu kizito wanafunzi wake yeye huyo Asia

    Mwaka 2017 May ni mdau niliye shawishika sana kujiunga na jamii forum, kabla ya hapo nilikuwa nasoma tu na kupita hivi na sikuwa member. Ikaja thread moja kutoka kwa kijana machachali ontario kuhusu forex nikasoma na nikashawishika sana, kwa kipindi hicho nilikuwa mwa watatu chuo so kuna course...
  15. H

    Kuna wanafunzi wa shule za umma bado wanakaa chini

    Nafikiri ifike mahala watu wamalize hii changamoto jamani. Hivi unajionaje uko mjini unatembelea usafiri wa Nguvu halafu kule kijijini ulikotoka Watoto wanakalia mawe darasani? Na kuna mikoa ina misitu na inauza mbao nayo eti inamatatizo ya madawati; Ni aibu! Naamini hili la madawati na vyoo...
  16. Tazama picha ya gari lililotengenezwa na wanafunzi wa UDSM

    Samaleko! Hii ni picha ya gari lililotegenezwa na wanafunzi wa Chuo Kikuu cha UDSM. Vipi maoni yako kuhusu huu ubunifu tutawafikia Wachina, Wajapani na German huko mbeleni au tuendelee na huu ubunifu uliojaa utundu.
  17. Mbunge Juliana Shonza awafariji Wanafunzi wa kike Vwawa kwa kuunguliwa na Bweni

    Mbunge wa Viti Maalum Wanawake (UWT) Mkoa wa Songwe Mhe. Juliana Daniel Shonza ametoa Tracks Sut 64 na Pedi 128 zenye thamani ya Milioni 1,600,000 kwa Wanafunzi wakike 64 waliounguliwa na Bweni Shule ya Sekondari Vwawa. Mhe. Shonza amesema yeye Kama Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Songwe anao...
  18. CAG abaini wanafunzi 23,000 kukatisha masomo kwa mimba, Kinondoni kinara

    RIPOTI ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) ya mwaka 2021/22, imebaini katika Mamlaka 19 za Seri kali za Mitaa, , wanafunzi 23,009 wamekatisha masomo yao shule za sekondari kutokana na ujauzito, huku Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni ikiongoza. Katika shule za msingi...
  19. Nyalikungu Sekondari wilaya ya Maswa mkoa wa Simiyu wanafunzi wajificha wakigoma kwenda shule

    Napita hapa mnadani wilayani Maswa nakuta wanafunzi wamekaa sita wa kike wamekaa vibandani. Nawauliza kulikoni hamuendi shule? Wananijibu "jana tulipigwa na leo tusipopeleka hela ya waalimu tutapigwa". Watoto wa kike wakubwa wamekosa elfu 2 ya kulipia walimu wanaojitolea. Nimewaambie warudi...
  20. Shule zaagizwa kuwasilisha Orodha ya Mabasi ya Wanafunzi, Vitambulisho na Leseni za Madereva

    Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA), imezitaka shule zote nchini kuwasilisha orodha ya mabasi yanayotumika kubeba wanafunzi, sambamba na majina, namba za Kitambulisho cha Taifa (NIDA) na leseni za madereva wake, ili wasajiliwe kwa lengo la kuongeza udhibiti. Hatua hiyo imekuja baada ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…