wanachama

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Ukiona chama tawala hakitaki kukosolewa na wanachama wake kwa makosa kinayofanya basi anguko lake lipo karibu

    Kunaguka kwa chama tawala ni pamoja na kupoteza imani kwa wananchi. Wananchi ndio huwa wanapima na kuona mwenendo wa chama walichokiweka madarakani. Kwa jinsi taifa letu na wananchi walivyo masikini wanapokosa msaada wa chama tawala ili kuwalinda dhidi mafisadi na wakora wa malk ya umma basi...
  2. I

    JamiiForums Tanzania John Heche: CHADEMA ina wanachama milioni nane

    Mbunge wa zamani wa Chadema jimbo la Tarime amesema hivi sasa chama hicho kimepata mafanikio makubwa kutokana na kampeni ya Chadema digito inayoendelea. Amesema hayo leo tarehe 4 Disemba 2021 kupitia kipindi cha Medani ya Siasa cha Star TV kinachoendeshwa na Odemba. Amesema kupitia kampeni hiyo...
  3. JamiiForums Tanzania CHADEMA DIGITAL balaa, CCM yaanza kutumia Polisi kuidhibiti

    Tulionya tangu mapema sana kwamba huu mpango wa Chadema wa kusajili wanachama kwa njia ya kisasa ya kidigital utaua cccm na mamluki wake , hii ni kwa sababu Wananchi wengi sasa wamefahamu kwamba Chadema ndio Mkombozi wa kweli wa dhiki na tabu zao . Masuala ya Tozo , mgao wa maji na umeme ...
  4. JamiiForums Tanzania Chadema Tunasajili wanachama kidijital huku hatushiriki chaguzi ni kama tunapoteza muda

    Tumeshapanga kuwa hatutashiriki uchaguzi wowote ule mpaka tume huru ya uchaguzi ipatikane. Sasa kama tunasajili wanachama kidijital tutajua vipi kama tumefanikiwa au la? Maana ili kujua tuna mafanikio lazima tushiriki chaguzi ili kujua kama tunasapoti ya wapiga kura au hatuna kupitia wanachama...
  5. JamiiForums Tanzania Ni wakati sasa Mashirika ya hifadhi ya jamii kutoa mikopo kwa wanachama wao

    Wanajamii Forum, Naomba niwape Salam zanguu wote bila ya kujali ya Rangi ,Kabila na dini. Na baada ya Salamu nisiwachoche maana najua shughuli Mingi mwisho wa wiki kujiandaa kwa mapambano ya wiki nyingine. Leo nina hoja, kwa hapa nchini mwetu kwa sasa tuna mifuko miwili ya Hifadhi ya jamii...
  6. JamiiForums Tanzania CHADEMA haitalipa kisasi kwa unyama na mateso makubwa wayopitishwa viongozi na wanachama wake

    Sisi tunaamini kwamba baada ya muda mfupi ujao tutatwaa madaraka ya nchi yetu kwa njia ya halali kabisa, ninamaanisha kwamba tutaiondoa CCM madarakani na kuchukua uongozi wa nchi hii huku wananchi wakishangilia sana kwa kumshinda Mkoloni mweusi nchi nzima, hili halipingiki, kama ulikuwa hujui...
  7. JamiiForums Tanzania Ombi kwa wanachama na wakereketwa wa upande wa pili

    Nitangulize shukrani zangu za dhati kwa wale wote watakao pitia/pita katika uzi huu. Nawashukuru nyote/wote. Ni matumaini yangu kuwa nyote/wote mko "buheri" wa afya na naendelea vyema "kupambana" kupata mkate wa siku, kwa walio wengi, nakupata mpake wa siku na ziada kwa wale wachache. Mimi...
  8. JamiiForums Tanzania Nchi wanachama wa UN waishauri Tanzania kuondoa sheria kandamizi na tozo

    Nchi wanachaama wa Umoja wa Mataifa (UN) zimeishauri Tanzania kubadili sheria kandamizi ikiwemo Sheria ya Ndoa ambapo wametaka umri wa mtu kuingia kwenye ndoa uanzie miaka 18 kama ilivyo mataifa mengine. Kuondoa adhabu ya kifo na kuwa na adhabu mbadala, pia kuruhusu Haki ya Kusanyika ili kukuza...
  9. K

    JamiiForums Tanzania CCM, picha za umwagaji damu Uchaguzi 2020 zinazosambazwa mitandaoni na wanachama wenu kupongeza waliomwaga damu, si dalili njema

    Tuna vyombo vya dola na chama dola, wenzenu kuanzia jana wanatoa makovu yaliyotokana na uchaguzi wa mwaka jana. Zipo tuhuma za kupigwa Risasi kukatwakatwa na kulazimishwa kwa watu kurejea CCM na walipokataa walimwagwa damu. Wakati Taarifa hizi zikisambaa kwa kasi zikiwa na majina na maelezo...
  10. JamiiForums Tanzania Kuna wanachama wa Upinzani 400 gerezani halafu mnasema kuna utulivu?

    Nasikitishwa sana na wanaosema eti Tanzania kuna amani na utulivu wakati wanachama wa chama wa CHADEMA takribani 400 na zaidi wako gerezani kwa kesi mbali mbali za kubambikizia za mauaji na uhujumu uchumi, huo utulivu unatokana na nini? Haikutosha mmeamua kumtupia kesi ya Ugaidi mwenyekiti wao...
  11. R

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada kwa wenye uzoefu mikopo ya Azania bank kwa wanachama wa NSSF

    Wakuu nawasalimu. Naomba kama Kuna mtu ana uelewa na Hili anisaidie. Azania bank wanatoa mikopo kwa wanachama wa NSSF. Kama mtu aliachishwa kazi kipindi cha janga la Corona kwa sababu kampuni iliamua kupunguza wafanyakazi na hakutoa mafao yake NSSF na ameamua kutokuajiriwa tena anaweza kupata...
  12. B

    JamiiForums Tanzania CCM Ina wanachama Milioni 9+ lakini bado wanaiba kura

    CCM Ina Wanachama Zaidi Ya Millions 9 Lakini Bado Kwenye Uchaguzi Wanaiba Kura; Hii Inaniambia Na Kunipa Maana Ya Kwamba Mioyoni Mwa Hao Wanachama Huenda Wapo Nao Physically But Mentally Ni WapinzaniπŸ˜‡πŸ‘πŸΏπŸ‡ΉπŸ‡Ώ Wengi Tupo CCM Sio Kwamba Tunakipenda Chama Na Mambo Yake. Hapana Tupo ndani Ya Chama...
  13. JamiiForums Tanzania Jenerali Ulimwengu: Chama Cha Mapinduzi (CCM) kina zaidi ya wanachama milioni 8, lakini kina mawazo ya kufikiri yasiyozidi matatu

    MWANDISHI wa Habari Mkongwe, Jenerali Ulimwengu leo Septemba 21,2021 amezindua Kitabu chake RAI YA JENERALI jijini Mwanza na kuhudhuriwa na Askofu Benson Bagonza. 𝗛𝗔𝗬𝗔 π—‘π—œ π—•π—”π—”π——π—›π—œ 𝗬𝗔 π— π—”π—‘π—˜π—‘π—’ 𝗬𝗔π—ͺπ—”π—Ÿπ—œπ—¬π—’π—­π—¨π—‘π—šπ—¨π— π—­π—” π—ͺπ—”π—žπ—”π—§π—œ π—ͺ𝗔 π—¨π—­π—œπ—‘π——π—¨π—­π—œ 𝗛𝗨𝗒.... "Chama Cha Mapinduzi (CCM) kina zaidi ya wanachama milioni 8...
  14. JamiiForums Tanzania CCM imechoka ikachokwa ikachochekana ! Wanachama wenye uwezo wa kuongoza wamebaki wachache mno! Orodha yenyewe hii

    Pamoja na Kwamba CCM imechoka ikachokwa na kuchokekana Lakin wapo baadhi ya vijana na wazee wenye uwezo wa kuongoza japo ni wachache tutajie unao Ona wamebaki mi orodha yangu ni hii 1. Prof Mussa Assad 2. …………..
  15. JamiiForums Tanzania IMF kutoa dola bilioni 650 kwa wanachama wake kupambana na Covid-19

    Mkurugenzi wa Shirika la Fedha Duniani (IMF) Kristalina Georgieva, amesema watatoa kiasi cha dola bilioni 650 kwa wanachama wake kupitia mpango mpya maalumu utakaosaidia juhudi za ulimwengu za kupambana na janga la Covid-19. . IMF pia itatoa fedha za ziada kwa ajili ya uchumi wa dunia, kuongeza...
  16. S

    JamiiForums Tanzania IGP wa Zambia aliwaonya wapinzani kuhusu kuandamana mwaka 2019, leo kiongozi wao ni Rais Mteule

    IGP wa Polisi Nchini Zambia Afande Kakoma Kanganja (Pichani) tarehe 25.11-2019 aliwaonya wanachama wa Chama cha Upinzani nchini Zambia( UPND) kuwa Wakijaribu Kuandamana polisi wake WATAWAKUNG'UTA sawasawa pamoja na kiongozi wao Hakainde Hichilema ambae rasmi ni Rais Mteule Zambia. HII IMEKAAJE SASA
  17. JamiiForums Tanzania Updates: Kukamatwa kwa Wanachama wa CHADEMA Kanisani Mwanza

    Wakuu, nimepata hii updates ila kwa kweli hata kama Polisi wetu wanatumwa basi at least watumie hata akili. Why wanalazimisha kujenga chuki isiyomithilika kwenye jamii?? Was it necessary? Aliyekuwa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Itigi na baadhi ya Askari Wanyama pori wanaozea gerezani kwa kufanya...
  18. S

    JamiiForums Tanzania CCM ina wanachama wengi sana kupita maelezo

    Ni kweli CCM ilikuwa na wanachama wengi kupita maelezo na kwa sasa kusema kweli imepoteza nguvu na wanachama waliobaki ni waganga njaa ,sio wenye imani kama ilivyozoeleka, Leo hii CCM imefikia kutegemea Tume ya Uchaguzi ambayo ni lazime iwe inatokana na wao kwa maana isiwe Tume huru, wanajua...
  19. JamiiForums Tanzania Kuna tofauti kati ya wafuasi na wanachama

    WAFUASI na WANACHAMA ..POLISI WANAFANYA KAZI NZURI Kuna tofauti kati ya wafuasi na wanachama. Bwana Yesu alikuwa na wafuasi (disciples). Kanisa lina wanachama (members) na wafuasi wachache. Kazi ya Kanisa ni kubadilisha wanachama kuwa wafuasi. Kazi ya shetani ni kubadilisha wafuasi kuwa...
  20. JamiiForums Tanzania Mbeya: Polisi wadaiwa kuwakamata wanachama wa CHADEMA zaidi ya 30

    Polisi Jijini Mbeya imewakamata wanachama wa CHADEMA zaidi ya 30 usiku huu. Waliokamatwa ni Pamoja na -Joseph Mbilinyi (Sugu) -Emmanuel Masonga (Katibu wa Kanda ya Nyasa) -Paschal Haonga( Alikuwa Mbunge wa Mbozi) na Viongozi na wanachadema wengine wengi.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…