TAMBUA KWAMBA:-
🔰🔰🔰🔰🔰🔰🔰🔰🔰
AHADI ZA WANACHAMA WA CHAMA CHA MAPINDUZI
(1) Binadamu wote ndugu zangu na Afrika ni Moja.
(2) Nitaitumikia nchi yangu na watu wake wote.
(3) Nitajitolea nafsi yangu kuondosha umaskini, ujinga, magonjwa na dhuluma.
(4) Rushwa ni adui wa haki, sitapokea wala kutoa...
Wakuu siku hizi nyapu zimekuwa rahisi sana, sio pisi kali za kitaa ama zile zinazofanya biashara
Waliopo kwenye mji mikubwa ukiwa na buku jero unapata nyapu faster, kiufupi sisi tulioanza kula nyapu zamani kidogo, tunaona kabisa siku hizi nyapu zimezagaa, miaka ile kumfukuzia demu inaweza...
Kwa mda mrefu mjadala wa katiba mpya umekuwa ukitumia pesa nyingi lakini masilahi ya vyama badala ya utaifa kwanza umekuwa kikwazo kupata katiba mpya.
Yupo mzalendo Warioba ambaye akiongezewa wajumbe 19 nayeye wawe 20 tutapata katiba mpya isiyo na mvutano. Kwanza tutakuwa tumeokoa fedha nyingi...
Mabibi na mabwana kumekuwa na kasumba ya kuwafungamanisha wajumbe mitandaoni na vyama vya siasa labda kulingana na maudhui ya mabandiko yao.
Dhana hii kwa hakika ni potofu sana, hasa pale wajumbe husika wanapokuwa hawajijitanabaisha hivyo wazi wazi na kwa IDs zilizokuwa verified.
Itoshe kusema...
Niko napitia gazeti la The East African hapa ukurasa wa tatu wanasema Tanzania tunaomgoza kwa kuwakaribisha watu wa nchi wanachama kuja nchini mwetu KUISHI na KUFANYA KAZI. Kwa ufupi ni kwamba Tanzania tunaongoza kutoa vibali vya kazi na makazi katika EAC. Kenya wanafuatia wa tatu ni Burundi...
Tayari Mafunzo hayo yameanza kwenye Kanda imara ya Nyasa na kwamba yatakuwa yanafanyika kwenye maeneo mbali mbali
Mafunzo haya hayana uhusiano wowote na Operesheni haki , haya ni mafunzo ya kuwaongezea maarifa na uwezo viongozi na wanachama wa Chadema nchi nzima , hasa ikizingatiwa kwamba kwa...
Kihistoria tulizoea kuona oparesheni mbalimbali za Chadema zikivuna wanachama wengi toka vyama vingine.
Mbona hatutangaziwi kuwa operation imeshavuna wanachama wangapi toka vyama vipi?
Kwa maoni yangu mafanikio ya chama cha siasa ni kudumisha na kutetea itikadi yake na kuongeza idadi ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.