Mabibi na mabwana kumekuwa na kasumba ya kuwafungamanisha wajumbe mitandaoni na vyama vya siasa labda kulingana na maudhui ya mabandiko yao.
Dhana hii kwa hakika ni potofu sana, hasa pale wajumbe husika wanapokuwa hawajijitanabaisha hivyo wazi wazi na kwa IDs zilizokuwa verified.
Itoshe kusema...
Niko napitia gazeti la The East African hapa ukurasa wa tatu wanasema Tanzania tunaomgoza kwa kuwakaribisha watu wa nchi wanachama kuja nchini mwetu KUISHI na KUFANYA KAZI. Kwa ufupi ni kwamba Tanzania tunaongoza kutoa vibali vya kazi na makazi katika EAC. Kenya wanafuatia wa tatu ni Burundi...
Tayari Mafunzo hayo yameanza kwenye Kanda imara ya Nyasa na kwamba yatakuwa yanafanyika kwenye maeneo mbali mbali
Mafunzo haya hayana uhusiano wowote na Operesheni haki , haya ni mafunzo ya kuwaongezea maarifa na uwezo viongozi na wanachama wa Chadema nchi nzima , hasa ikizingatiwa kwamba kwa...
Kihistoria tulizoea kuona oparesheni mbalimbali za Chadema zikivuna wanachama wengi toka vyama vingine.
Mbona hatutangaziwi kuwa operation imeshavuna wanachama wangapi toka vyama vipi?
Kwa maoni yangu mafanikio ya chama cha siasa ni kudumisha na kutetea itikadi yake na kuongeza idadi ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.