wameshindwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania CCM wameshindwa kufanya mabadiliko ya katiba ya nchi, Wameamua kubadili katiba ya chama ili kumbeba mgombea aliyepitiahwa kwa njia HARAMU.

    Mimi nampenda sana rais Samia Suluhu Hassan lakini anachotaka kukifanya ni UDIKTETA. Tafadhali sana ndugu Samia elewa kwamba tumekuchoka, nenda ukapumzike tu kizimkazi wakati sisi tunawashughulikia matapeli wa bandarini, KIA na bonde la Ngorongoro.
  2. JamiiForums Tanzania Kuna Member hapa kaja na uzi wenye kuhitaji Akili Kuuelewa akisitika kuwa Mama yake anaendesha Familia yao vibaya, Watu wameshindwa kwenda nje ya Box

    Na ninajua huko aliko anawacheka tu Watu waliokurupuka Kuujibu bila ya kutumia Akili Kubwa kuuelewa na kumuelewa.
  3. JamiiForums Tanzania Kama ambavyo Mrusi na Mchina wameshindwa kumsaidia Mu-Iran, Vivo hivo hawataisaidia CCM baada ya Marekan na Ulaya Kutoutambua Uchaguzi 2025

    CCM endeleeni kushupaza Shingo !! Mtaelewa tu hapo Baadae !!.
  4. JamiiForums Tanzania Wasomi Bongo Wameshindwa Kufahamu Street English: Je, Lugha ya Mtaa ni Makosa au Maarifa ya Mjini?

    Listen up, vijana wa Bongo: Mna-labda kusoma sana vitabu, kusuiti, kujiita graduates, lakini mnaposikia mtu anadrop street lingo kama: "Yo, I been grindin’ since day uno, no cap." "I’m outchea makin’ moves, stackin’ that cheddar, lowkey tho." "Shorty tryna flex but she ain’t got no sauce."...
  5. JamiiForums Tanzania Wasomi Bongo Wameshindwa Kufahamu Street English: Je, Lugha ya Mtaa ni Makosa au Maarifa ya Mjini?

    Listen up, vijana wa Bongo: Mna-labda kusoma sana vitabu, kusuiti, kujiita graduates, lakini mnaposikia mtu anadrop street lingo kama: "Yo, I been grindin’ since day uno, no cap." "I’m outchea makin’ moves, stackin’ that cheddar, lowkey tho." "Shorty tryna flex but she ain’t got no sauce."...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Manabii, Mitume, so called watumishi wa Mungu wa kufaya MIUJIZA/UPAKO wameshindwa kufanya miujiza mvua zikanyesha!

    Kuna ukame ambao unatishia maisha ya watu na mali zao. Akina Mwamposa and Co. Ltd wamejinasibu na kufanya miujiza kurekebisha mambo kama magonjwa, bahati kuondoa mikosi , kuleta utajiri etc etc. Najiuliza, mbona sasa hawafanyi miujiza mvua ikanyesha? Tunao zaidi ya 400
  7. H

    JamiiForums Tanzania Kweli Waafrika wameshindwa kutambua Ukristo na Uislam siyo kwaajili yao?

    Jabarini, Hivi kweli hata wasomi wa Kiafrika wenye Phd wamegoma kabisaaaa kutambua kuwa Ukristo na Uislam siyo kwaajili yao bali ni kwaajili ya warabu na wazungu/wakoloni. Yaani wameelezwa kuwa Waafrika wametokana na manyani na wakati huohuo wameelezwa kuwa wametokana na udongo pia wametokana...
  8. E

    JamiiForums Tanzania Ibenge kala hela za watu na wameshindwa kufikia malengo

    Kiuhalisia safari ilibidi iishie Sudani , mgonjwa akaongezewa drip kidogo ndugu wakapata matumaini Ibenge mtu m bad sana
  9. JamiiForums Tanzania Kitu gani kiliwafanya wazungu wa zamani waweze kuishi Afrika maporini lakin hawa wazungu wa leo hawawezi na wameshindwa?

    Aman iwe kwenu watumishi Wazungu wa zamani tulizoea kuwaona vijijin maporini kabisa wa kifanya kazi Hasa kazi kama utawa, upadre, udakitari, kilimo, na hata uwindaji Hakika waliweza na walifanikiwa Lakin basi kitu gan kimewakumba hawa vijana wa leo wa kizungu kushindwa kumudu kuishi Africa ...
  10. G

    JamiiForums Tanzania Hakuna ubaguzi wa rangi wala mfumo dume, Democrats wameshindwa kihalali kwasababu wameiharibu mno marekani na wangeharibu zaidi wangeshinda

    Kilichopigiwa kura zaidi ni sera ya kuilinda Marekani, Sera za Democrats zimeiharibu sana Marekani, Haya ni baadhi ya mambo waliyofanya Bidden na Haris kwenye awamu yao, Trump kashinda kwasababu kaapa anaenda kuyafuta na kuyarekebisha. Mfumuko wa bei na maisha kuwa juu, vyuma vimekaza...
  11. JamiiForums Tanzania Madaraka Nyerere na ndugu zake wameshindwa kulitumia vizuri jina la baba yao kujipatia riziki, wapewe mbinu

    Bob Marley tangu afariki imepita miaka zaidi ya 40 lakini familia yake bado wanakula bata kupitia loyarities na JIna la baba yao. Michael Jackson family, Tupac family, Kennedy family pia ni miongoni mwa wanufaika wa jina. Tukija hapa nchini, Karume, Kikwete, Mwinyi. Hawa familia zao vizazi na...
  12. JamiiForums Tanzania Wanasayansi wameshindwa nini kutengeneza moyo bandia ili usaidiane na moyo halisia

    Huwa na waza sana, kwamba ili mtu awe hai ni lazima moyo uendelee kufanya kazi na kusuply damu maeneo yote ya mwili. Sasa wanasayansi wanashindwa vipi kutengenezea moyo bandia ili usaidiane na moyo halisi, ili itapofika muda moyo halisi umeshindwa kufanya kazi basi moyo bandia unaendelea...
  13. JamiiForums Tanzania Israel wameshindwa na Iran, wameelekea Rafah.Wameharibu mazao mashariki ya eneo hilo

    Harakati za kijeshi za Israel eneo la Rafaha zimeongezeka sana katika siku mbili zilizopita. Hilo linatokea wakati dunia ilihofu sana kwamba angejibu kwa nguvu shambuio la Iran lililopiga kambi zake mbili kuu za kijeshi hapo Jumamosi iliyopita. Taarifa zinaonesha kuwa idadi ya vifo katika eneo...
  14. JamiiForums Tanzania Waarabu ni wanafiki na waoga mno, wameshindwa kuisaidia Palestina na Iran

    Kila mara na kila wakati tumekuwa tukisema hapa JF, uislamu hauwezi kuwaunganisha waarabu na haujawahi kuwaunganisha waarabu (kwa sababu waarabu sio waumini wazuri wa kiislamu japokuwa hutumia uislamu kama utamaduni wao wa kujitambulisha, kujisambaza duniani na kufunikia mambo yao). Ni rahisi...
  15. JamiiForums Tanzania Biblia zenye maudhui ya Ushoga zadaiwa kuingia nchini

    Wakati serikali, wanaharakati na wapenda amani wakipambana dhidi ya kuenea kwa vitendo vya kishoga na kisagaji, mashabiki wa mambo ya ushoga na usagaji wameanza kuingiza vitendo hivyo hapa nchini kupitia kwenye biblia kwa kasi ya kutisha. Biblia hizo zimenyofolewa baadhi ya vifungu vyenye...
  16. JamiiForums Tanzania Kuna mtu kawauliza swali wanaosema "Mungu hafananishwi na kitu chochote" wameshindwa kujibu wanamtukana na kumpa vitisho. Mpeni majibu tafadhali

    Ilikuwa kwenye mjadala kuhusu maoni ya Harmonize kwamba katika miaka ishirini aliyo ishi duniani amegundua kwamba huenda Mungu ni mwanamke.. Wenye dini zao wanasema Harmonize apigwe mawe kwa sababu amekufuru na kwamba " Mungu hafananishwi na kitu chochote kile" Swali la jamaa lilikuwa: 1...
  17. JamiiForums Tanzania KERO Responded Barabara Tegete A ni kero, kama wameshindwa kuboresha watuambie Wananchi tujichange

    Wakazi wa Tegeta A (maarufu kwa Bedui) tuna kero ya Barabara, huu ni mwezi wa tano sasa unaelekea wa sita, barabara ni mbovu na inatuumiza Watumiaji. Barabara ninayoizungumzia hapa ni ile ya vumbi kutoka kwenye lamı ya kwenda Madale mpaka Centre maarufu kwa jina la Bedui. Barabara imechimbika...
  18. JamiiForums Tanzania Wanasiasa wameshindwa kuwa na tafsiri moja ya nani ni machinga?

    Mtu ana mtaji wa shilingi milioni tatu lakini anaitwa mmachinga Kwa kuwa anapanga bidhaa zake barabarani na Halipi Kodi! Mwingine ana mtaji kama huo huo lakini kwa kuwa anauza bidhaa zake kwenye fremu, anaitwa mfanyabiashara na Anatozwa Kodi. Hivi kigezo cha kuitwa mmachinga ni jinsi mtu...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Ni dhahiri CCM na Serikali yake wameshindwa kuongoza nchi. Taifa letu limegeuka "A Failed State"

    Huhitaji kuvaa miwani ya uoni mkubwa kuweza kuona dhahiri shahiri kuwa nchi yetu imefeli, tena imefeli kila idara. Hakuna jambo lenye nafuu katika nchi yetu. Kila kitu ni bora liende, nchi inaporomoka kwenye korongo na ni kama hakuna anayejali. 1. Miaka zaidi ya 60 bila ya umeme wa uhakika...
  20. JamiiForums Tanzania Mwanamke akikuomba pesa, muulize umefanya kazi gani au wewe ni ombaomba?

    Labda iwe kwa makubaliano kuwa mnafanya biashara, na biashara yoyote lazima mapatano kwanza kisha biashara ndipo ifanyike. Kama biashara ya mwili wake ni heri aseme kabisa kuwa yeye ni kahaba. Asijifiche kwenye mwavuli wa kuitana wapenzi. Biashara ya ukahaba ni kongwe, tangu enzi za agano la...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…