Tanzania ni Moja Kati ya nchi zenye taasisi ndogo ndogo za mikopo ya fedha nyingi zinazokadiriwa kufika zaidi ya makampuni 500. Malengo makubwa ya kampuni hizi za mikopo ni kuisaidia jamii ( wajasiriamali) kuweza kupata huduma za mikopo midogo midogo ambayo hawawezi kupata katika Benki. Hizi...
Rais Samia Suluhu Hassan anaitambua nguvu ya mwananmke ndio maana ameteua wanawake wengi kwenye uongozi wake ile dhana ya mwanamke hawezi imefutika na hii ni maana halisi ya haki sawa.
Kwa sasa Tanzania ina Wakuu wa Mikoa wanawake 8 tena wenye uwezo sana. Hii ni rekodi ya kuwa na Wakuu wa Mikoa...
CHADEMA KATIKA MKAKATI WA KUMGOMBANISHA RAIS SAMIA NA WAMACHINGA
Utulivu wa Wamachinga katika majiji umezidi kukipa wakati Mgumu Chama Cha CHADEMA maana walishajipanga kuhakikisha Wamachinga wanaingia Barabarani kupinga utaratibu wa Serikali katika kuwapanga Wamachinga ili wafanye biashara kwa...
Na Mwandishi Wetu,
Kutoka Babati.
KATIBU wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM, Itikadi na Uenezi, Shaka Hamdu Shaka, amesema uamuzi wa serikali kuwapanga vyema wafanyabiashara wadogo hauna lengo la kuwatia umasikini bali kuwajengea mazingira mazuri ya kujiongezea kipato.
Amesema kutokana...
Nimefuatilia mijadala ya Wabunge wiki hii; wengi wa waheshimiwa Wabunge wanatetea hatua zilizochukuliwa ikiwemo kuwaweka MACHINGA kwenye maeneo maalum ya biashara. WENGI wa hawa Waheshimiwa wabunge wanapendekeza machinga waruhusiwe ETI KUWAFUATA WATEJA.
Tukiruhusu hiki kinachopendekezwa na...
Hivi jamani kuna mtu ameshawahi kupita maeneo ya Karume sokoni opposite na TFF akakutana na wale jamaa wanaouza Juice?
Yaani jamaa wale ni wajinga sana kuna siku nimepita pale kwa mguu jamaa muuza juice akanichangamkia as if ananijua ananiongelesha Mambo vipi we jamaa? Habari za siku nyingi...
Awali ya yote nipende kuwasalimu nyote mtakao pata nafasi ya kupitia uzi huu.
Binafsi nimeshangazwa na uamuzi uliofanya na Benki ya NMB leo, kutoa Kompyuta mapaka yaani laptops kwa wamachinga. Nimepata maswali mengi sana, je wamepewa ili wauze ama ziwasaidie katika biashara zao?. Na kama ni...
Wakuu wote wa majiji ya Tanzania wako Dodoma kwa mwaliko rasmi wa waziri wa Tamisemi mh Bashungwa kujifunza namna ya kujenga masoko bora ya wamachinga.
Wameitwa RC Homella, RC Makalla, RC Malima, RC Gabriel na RC Mongella wakiwa na mwenyeji wao RC Mtaka.
Masoko hajo yakijengwa katika majiji...
Sio vizuri kutimuana kila wakati kwakuwa zoezi la kutimua watu linazaa kelele na bughudha nyingi kwa wananchi. Tulifurahia kuona watanzania wenzetu wafanyabiashara ndogondogo wameziachia barabara za magari na njia za miguu za watanzania wenzao walizokuwa wamezivamia kwa maslahi yao binafsi...
Wakuu Habari,
Hali isiyokuwa ya kawaida uongozi wa taifa wa Shirikisho la Machinga umeingia katika mgogoro mkubwa juu ya nani wa kuzamini na kusimamia Machinga SACCOS Kati ya NMB na CRDB kutofautiana huko kumesababisha kutokea mpasuko mkubwa wa kimaslahi Kati ya Pande hizo kinzani na...
Wana JF
Ukifika mwenge unaweza kustaajabu jengo lililokuwa linajengwa kwa kasi ya ajabu mwenge kutelekezwa baada ya kifo cha Hayati MAGUFURI huku wamachinga wakihaha kufukuzwa huku na kule, najiuliza hivi machinga wa kariakoo na karume ndio machinga mihimu tu, kwanini ndio wanaotoa jumuiko la...
Nimesikia kwamba wamachinga wamewekwa kwenye wizara inayoshughulikia wanawake,wazee, watoto na kundi Maalumu (walemavu).
Nafahamu kuna baadhi ya wamachinga wachache ni walemavu na wanaweza kufall kwenye hiyo wizara kusaidiwa.
Nafahamu pia sio walemavu wote hawajiwezi kuna baadhi yao wachache...
Sasa naona Katibu mkuu wa UVCCM Kenani Kihongosi ameamua kuingia mstari wa Mbele kuongoza mapambano dhidi ya wamachinga. Bavicha tunalaani vitendo hivyo na tutaongoza mapambano ya kudai #KatibaMpya itakayotoa Uhuru wa vijana kufanya biashara bila bugdha.
Hayati JPM alikuwa na mapungufu yake ila pia alikuwa na mambo mazuri.
Sisi wapinzani huwa tunakosoa kwa kuangalia shilingi upande mmoja tu
Sasa tokea amefariki huyu hayati JPM wamachinga ni watu wa kuumizwa tu. Kuhamishwa hovyo bila hata mikakati, masoko yao kuungua huku wengine wakila...
Nani kachukua soko lao? Si limeungua? Kwanini hawataki uchunguzi ufanyike wajue chanzo au wanakijua tayari ndo maana wanataka waruhusiwe waendelee na mishe zao?
By the way uchunguzi utachukua siku 14, zitaongezwa 7 kisha wataambiwa wanatafutiwa eneo lingine pale panawekwa kitu kingine ama stand...
Ni wazi viongozi wa serikali wamekuwa watumwa wa wamachinga, wanawaogopa. Tanzania imekuwa ikishuhudia matukio ya moto kuunguza masoko na shule, jambo moja la kushangaza ni pale soko liunguapo, viongozi wa serikali wanaacha kazi zao na kwenda msibani! Pole na ahadi za kila aina zitatolewa...
MAKAMU MWENYEKITI WA CHADEMA TUNDU LISSU, AFICHUA UOZO WA KATIBA INAYOPENDEKEZWA NA BARAZA LA VYAMA VYA SIASA, TUNAPIGWA TENA
Kufuatia taarifa ya Prof. Rwekaza S. Mukandala kubainisha kuna hoja 5 katika hoja 80 zilizoibuliwa zinazohitaji uharaka wa kufanyiwa kazi, baada ya mkutano wa wadau...
Kusema ukweli sioni sababu ya kuwaondoa wafanyabiashara ndogo ndogo waliokuwepo huku pembezoni mwa mji kwenye vituo vya daladala kama vile Banana, Mombasa, Gongo la mboto, Mbagala, Mbezi etc.
Huku pembezoni walikuwa wanaathiri nini mpaka mumewaondoa pia? Kuwaondoa katikati ya mji kama Posta na...
Marry Christmas to you all, Sina mengii Ila napenda kufahamu baaada ya wamachinga kufukuzwa eneo la mwenge ,ni wapi wadada wanapata now viatu ,maana Mimi mwenge ndio
Ilikuwa sehemu yangu pendwa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.