Soko kubwa la Wamachinga Afrika Mashariki lajengwa Dodoma. Wakuu wote wa Majiji waenda kujifunza kwa RC Mtaka

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,028
142,088
Wakuu wote wa majiji ya Tanzania wako Dodoma kwa mwaliko rasmi wa waziri wa Tamisemi mh Bashungwa kujifunza namna ya kujenga masoko bora ya wamachinga.

Wameitwa RC Homella, RC Makalla, RC Malima, RC Gabriel na RC Mongella wakiwa na mwenyeji wao RC Mtaka.

Masoko hajo yakijengwa katika majiji yote basi uchumi wa Tanzania utapaa, amesisitiza Bashungwa.

machinga.jpg

Source: ITV habari!
 
Hivi hawa Machinga Products zao wanatoa wapi?

Isijekuwa tunaongeza middle men wa low products kutoka China, Kukuza uchumi wa kweli sio kuongeza wachuuzi / middle men pekee bali pia production

Wasisahau kuongeza magulio na kuwasaidia wakulima kupata masoko, Sina uhakika sana kama tatizo ni masoko bali supply ya machinga ni kubwa kuliko demand
 
Ukikaa sokoni ukauza vitu basi sidhani kama unafaa kuitwa machinga, maana machinga ni mtu anaye move from place to place akiuza vitu na ndio maana uwa mara nyingi hawakubali kukaa sehemu
 
Hivi hawa Machinga Products zao wanatoa wapi?

Isijekuwa tunaongeza middle men wa low products kutoka China, Kukuza uchumi wa kweli sio kuongeza wachuuzi / middle men pekee bali pia production

Wasisahau kuongeza magulio na kuwasaidia wakulima kupata masoko, Sina uhakika sana kama tatizo ni masoko bali supply ya machinga ni kubwa kuliko demand
We endelea kuhoji wenzako wanachukua hatua, ukiona gape na watu wanalitumia na wanafanikiwa litumie.
 
We endelea kuhoji wenzako wanachukua hatua, ukiona gape na watu wanalitumia na wanafanikiwa litumie.
Wenzako wanachukua hatua?

Pesa yako na yangu ndio zinachukua hatua kwahio kwa kufanya vitu ambavyo sio sustaible unadhani ni faida au hasara ya nani?
 
Haya masoko yajengwe KILA kata jirani na stand. Stand kubwa zote za mwendokasi zizungushiwe uzio wa maduka.

Mfano stand ya mwendokasi ya gerezani pale zinatoka frem 2000,kodi iwe laki 3 zitajaa zote wataingiza milioni 600 kwa mwezi kwa mwaka bilioni 7.2 inatosha kununua mabus 30 mapya KILA mwaka, pili itasaidia machinga kupata eneo.

Stand ya mwendokasi ya mbagala unapata frem elf 5000.

Yafaa nini kuwa na ukuta usiozalisha. Stand ya ubungo wanapata frem elf 5.Achilia stand zingine.

Makusanyo tu ya pango za frem wanaingiza mabus 100 mapya kwa mwaka.

Hauwezi mtenganisha machinga na stand,watunga sera chukueni hilo.

Makusanyo tu
 
Machinga hajingewi soko
Machinga hafuatwi na wateja kwenye kizimba isolated
Machinga ni kama ng'ombe na wale ndege weupe machungani ..Machinga anahitaji uwepo wa msongamano wa mafanyabiashara wa jumla wakubwa
 
Back
Top Bottom