wamachinga

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JAYJAY

    Wamachinga Kimara wamehama wenyewe

    Nimepita hapa Kimara mwisho nimeshuhudia mwenyewe kuwa wamachinga wanaiheshimu hii serikali mpya na kutii maagizo ya kuhama wenyewe. Huu ndio uharibifu nilioushudia, sijui kwa nini wamachinga hawa wameamua kuharibu mabanda na maki zao pia. Anayejua anaweza kunisaidia kwa nini? Maana pamekuwa...
  2. ommytk

    Wenyeviti serikali za mtaa mkoa dsm msaidie mkuu mkoa na serikali kwa jumla kwenye hili la wamachinga wamerudi upay

    tuwaombe wenyeviti serikali za mtaa mkoa dsm wamsaidie mkuu mkuu mkoa dsm pamoja na serikali kwa jumla kwenye hili la wamachinga ni ngumu mkuu mkoa kuzunguka kila mtaa kujua wamachinga ambao wamerudi upya katika maeneo ambayo waliondoka wenyewe kwa hiyari .maeneo ayo yote kuna viongozi wapo na...
  3. J

    Suala la Wamachinga: Leo ni zamu ya Mwenge, SUMA JKT wamefanya usafi na kuondoa meza zote -- sasa panapendeza!

    Wale mliokuwa mnategemea kununua bidhaa ndogo ndogo kwa wamachinga pale Mwenge mjue leo ndio mwisho eneo lile limesafishwa na hapatakiwi kuonekana mtu yoyote anafanya biashara. Maendeleo hayana vyama!
  4. kavulata

    Hata wamachinga sasa wanasifia usafi wa mitaa

    Kwa mara ya kwanza leo nimemsikia kwa masikio yangu mfanyabiashara aliyeondolewa kando ya barabara akisifia usafi ulioaza kujitokeza kandokando ya barabara zetu. Nilikuwa na rafiki yangu aliyekuwa anauza matikiti ya kukata vipande pale Banana Ukonga jirani na taasisi ya Hali ya Hewa akisifia...
  5. ommytk

    Ni maeneo yapi ambapo wamachinga wamerudi baada kuondolewa?

    Kwanza pongezi kwa serikali kwa kutenga maeneo ya wafanya biashara ndogo ndogo maarufu kama machinga na kuendesha zoezi kuwaondoa maeneo ambayo sio maalum na kuwapeleka maeno maalum kwa biashara zao. Cha kusikikitsha kuna ambao sio waungwana wamerudi tena sasa weka hapa eneo mtaa wilaya na mkoa...
  6. Erythrocyte

    Nani anachoma moto masoko na vibanda vya wafanyabiashara?

    Recently kuna Vibanda vya wamachinga vimeteketea Mabibo Hostel , Mwenge na leo Tunduma , hatujui kesho ni wapi ? Ni nani anayechoma moto vibanda na masoko haya na kwa faida ya nani ? tafadhali usije na majibu uchwara kama huna majibu Shut up .
  7. Trubarg

    Suala la Wamachinga: Uongozi Dar es Salaam ukajifunze Jijini Arusha

    Suala la udhibiti wa Wamachinga linaonekana kufanikisha kwa kiasi nikubwa Jijini Arusha. Mitaa na maeneo yote Ingekuwa kusafi na wananchi pia wametii maagizo ya viongozi wao. Suala hili lineinekana kupwaya sana ndani ya Jiji la Dsm na ninashauri uongozi ifanye safari ya kikazi ata ya siku Moja...
  8. ndenga

    Baada ya zoezi la kuwapanga wamachinga, na hili liangaliwe...

    Nianze kwa kuipongeza serikali ya awamu ya sita kwa zoezi liloratibiwa vizuri sana la kuwapanga Wamachinga. Hili zoezi linaweza kuwa na lawama chache lakini ukichukulia tulipokuwa na tulipofikia kiukweli tumefanikiwa kwa kiasi kikubwa. Ombi kubwa katika hili ni kuhakikisha hawa Wamachinga...
  9. P

    Baada ya wamachinga, malori Kariakoo ni shida mpya

    Mamlaka zisipoliangalia hili kwa sasa basi baadae itakuja kuwa ngumu kama ilivyokuwa kwa wamachinga. Mitaa husika hasa ni mtaa wa agrey, masasi, magila, narun'gombe na tandamti, yote ni kati ya mtaa wa ndanda na muheza, hapo kuna kero ya kufa mtu kwa wakazi wa maeneo hayo na hata wapita njia...
  10. 2019

    Asante serikali kwa kuwapanga wamachinga, lakini je umejipanga kukabiliana na uhalifu mpya mtaani?

    Kwanza nampongeza serikali kwa uamuzi iliofanya wa kuweka miji safi na kuona mbele. Ni jambo jema sana ila kwenye kuondoa vibanda pia nimeona hakuna fair kabisa. Baada ya mpango huo je wale watakaorudi mtaani serikali itachukua hatua gani kama uhalifu ukiongezeka? Je imejipanga kukabiliana...
  11. FRANCIS DA DON

    Wamachinga wa Msimbazi Kariakoo wanatandika bidhaa chini kwenye njia ya waenda kwa miguu

    Kwamba fujo zooote zile, halafu hakuna kilichobadilika, utaahira wa wapi huu? Mtu unashindwaje kusimamia ulichokianzisha?
  12. Hismastersvoice

    Ni wazi wamachinga wa Mbagala Rangitatu wamegoma kuhama

    Zile dalili na vurugu walizofanya machinga Mbagala Rangitatu, leo siku ya Jumanne wamedhihirisha kuwa hawako tayari kuhama, wamerudi barabarani kwa kishindo.
  13. mitale na midimu

    Suala la wamachinga; Nchi imekomaa au upinzani umepata pigo kwenye mfumo wake wa uzazi?

    Kwa kawaida tulitarajia... 1: Wamachinga waandamane na kufanya fujo. 2: Kuona wapinzani wakiitumia hii kama fursa ya kujijenga kisiasa. UHALISIA 1: Wamachinga wametii haraka tena kwa ustaarabu ambao haujawahi kuwepo. 2: Wapinzani hawana time nao. Wala hakuna anayejishughulisha nao. TATIZO NI...
  14. Elitwege

    Je, huko waliko vyuma vimekaza au vimelegea?

    Habari, Sekeseke la kuwabana wakwepa kodi kwa kutumia task force na kufunga biashara zao lilizua mjadala kila kona kwamba hilo zoezi linawasababishia hao wakwepa kodi ugumu wa maisha na vyuma kukaza hivyo TRA wakaamuliwa kuachana nalo. Sasa TRA wanakusanya kodi kwa kuwabembeleza wakwepa kodi...
  15. jagular

    Arusha imekuwa safi baada ya vibanda kuondolewa barabarani

    Arusha kweli tulikuwa tunateseka vibanda vilikuwa kila kona mpaka wapita miguu tunapata shida lakini sasa hivi jiji limekuwa safi, tunashukuru vibanda vimeondoka vilivyokuwa pembezoni mwa barabara na kuzuia shughuli za kibianadamu na miundo mbinu. Hongera jiji la Arusha kwa kazi nzuri chini ya...
  16. ZINDAGI

    Tupeana updates za kuhama kwa Wamachinga

    Hebu tupeane update za zoezi la kuhama kwa wamachinga eneo ulipo. Mimi nimepita pale UHASIBU kutokea Kigamboni, nimekuta Wamachinga woote wameitikia wito wa kuhama, wapo busy wanabomoa vibanda vyao
  17. S

    Siungi mkono Serikali kuwatafutia maeneo wamachinga. Hawa ni wahalifu walipaswa kuchukuliwa hatua

    Kwanni serikali imeamua kubeba mzigo wa kuwatafutia maeneo wamachinga? Hawa wanaojiita wamachinga ni wahalifu maana wamekiuka Sheria na taratibu mbalimbali za nchi kwa kuamua kujenga mabanda barabarani ama kupanga bidhaa mbele ya maduka ya wafanyabiashara. Nilitegemea watu hawa, mmoja mmoja...
  18. N

    RC Makalla umeyamaliza ya wamachinga, lakini vipi kuhusu Mbuzi wazururaji wa Dar?

    Wote tumeona kwamba mkuu wa mkoa RC Makalla na serikali kwa ujumla wamewakomalia wamachinga waondoke maeneo ambayo hawatakiwi kisheria. Hiyo sawa; lakini kuna suala hili la mbuzi wa Dar ambao wanajichunga wenyewe Magomeni, Mbagala, Mbezi, Shekilango nk ambao nao wanaleta uchafuzi wa...
  19. kavulata

    DC Makala, hakikisha kuwa wamachinga wote hawarejei kwenye maeneo tena

    Waliotii agizo la serikali la kuondoka bila shuruti kwenye maeneo yasioruhusiwa kwa biashara wanavunjika moyo kuona wenzao waliovunjiwa panoja bado wanaendelea na biashara zao kwenye maeneo yaleyale waliyoyahama. Hii itasababisha yafuatayo: 1. Wanunuzi wasiende kwenye maeneo mapya kutafuta na...
  20. T

    Suluhisho la wamachinga halina wala halijawahi kuwa na uhalisia hapa nchini! Tuache kujidanganya

    Kundi la vijana wasio na ajira rasmi linaongezeka kwa kasi kubwa sana, kila kukicha wanakuwa wengi leo kuliko jana. Mzee kikwete alikuja na ufumbuzi eti wa kujenga machinga complex ambayo matokeo yake haijapunguza tatizo hata tone moja. Namuona rais wa sasa anajaribu kupitia njia ileile eti...
Back
Top Bottom