walinzi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. ESCORT 1

    JamiiForums Tanzania Walinzi wa Rais Samia wanajisahau, uko wapi usalama wa Rais hapo?

    Picha inajieleza, makosa ni mengi sana. Walinzi wa Rais Samia ni kama wamejisahau. Hii picha inaonesha ni jinsi gani Rais alikuwa hatarini.
  2. C

    JamiiForums Tanzania Shule ya Serikali kuagiza Kidato cha Tano wachangie fedha za wapishi na walinzi Tsh.30,000 - hii ndiyo elimu bure?

    Wakuuu kwema Hii ndio elimu bure? Kwanini serikali isiajiri wapishi ikawalipa? Inauma sana.
  3. tutafikatu

    JamiiForums Tanzania Walinzi ndani ya vyumba vya mashine za ATM

    Hivi ni kwa nini haya mabenki Tanzania yanaruhusu walinzi wa vyumba vyenye ATM machine wajilaze ndani ya vyumba hivi vidogo? Ukiingia kunakuwa na hewa nzito na jamaa wanakukodolea macho kwa huruma. Hivi hawawezi wajengea vibanda vidogo pembeni?
  4. Kibunango

    JamiiForums Tanzania Leo msafara una magari 25 hadi 30 kwa Kiongozi mmoja!

    Ulinz wa Viongozi kwa kweli unatia kinyaa! Ni kuanzia kwa rais wa Jamhuri ya Muungano hadi kwa rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar. Huu ulinzi wao umezidi mipaka, unatisha na wala haupo sambamba na hali halisi ya nchi yetu! Kumbuka tu tunasema kuwa nchi yetu ni ya amani na utulivu...
  5. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Dkt. Slaa: CHADEMA walimteka mtu wao, wakamtesa, wakamtupa, mimi nikajua watekaji ni Usalama wa Taifa

    Picha: Dkt. Willbrod Slaa Mwanasiasa Willbrod Peter Slaa amefanya mahojiano na kuzungumza mambo mengi kuhusu siasa, mahojiano haya ni mwendelezo ya interview aliyofanya wiki iliyopita. TAARIFA YA CAG INAPOTOSHWA “Kuna upotoshwaji kwenye taarifa ya CAG, nadhani Zito Kabwe angelisaidia sana...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Tafadhali mwenye Picha za Walinzi wa Rais Samia walivyokuwa awali na walivyo sasa anisaidize nazo

    Kuna Wawili kana sijakosea walipokabidhiwa Majukumu walikuwa kama Fidodido tu, ila naambiwa sasa wanakaribia kufanana na Mapipa ya SIMTANK. Na mwenye Picha za waliokuwa Walinzi wa Hayati Rais Dkt. Magufuli kabla hajafariki dunia mwaka Jana na walivyo sasa tafadhali aniwekee kwani nataka kufanya...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Waliokuwa watuhumiwa, warasmishwe kuwa Walinzi Chadema

    Makomando hawa walionyanyasika bila ya kutetereka na Mh. Mbowe, ni wakati wa kuutambua mchango wao usio kifani na kuwalipa ipasavyo. Walinyanyasika na kuhukumiwa wakiwa kwenye harakati zao kujipatia ajira (VIP Protection). Na wapewe ajira hizo sasa. Mohammed Ling'wenya, Adam Kasekwa, Khalfan...
  8. figganigga

    JamiiForums Tanzania Ufaransa: Kwanini walinzi wa Rais Samia wanavaa Barakoa ya Zanzibar kwenye ziara ya Tanzania?

    Salaam Wakuu, Nadhani walinzi walitakiwa kuvaa Barakoa zenye bendera ya Tanzania siyo Zanzibar, kwani hii ni ziara ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Siku wakiambatana na Mwinyi ndio wavae hizi barakoa au ni Utalii wa Uchumi wa Bluu? Picha zimepigwa akiwa Paris, Ufaransa, wakati huo...
  9. John Haramba

    JamiiForums Tanzania Serikali yayafungulia magazeti ya MwanaHALISI, Tanzania Daima na Mseto

    Waziri wa Habari na Mawasiliano ya Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye, leo Alhamisi amesema atatoa leseni za kuanza kuchapishwa kwa magazeti ya MwanaHALISI, Tanzania Daima, Mseto na Mawio “Kifungo kimetosha. Kikubwa kazi iendelee,” amesema Nape. "Agizo la Rais ni Sheria,leo nitatoa leseni kwa...
  10. D

    JamiiForums Tanzania Walinzi wa Suma JKT hawajui wajibu wao

    Aisee jana nimeponea chupuchupu kuzirusha na Walinzi wa SUMA JKT, ipo hivi mimi ni dereva Bajaj sasa kuna abiria wangu huwa nampeleka ofisini na kumfata, jana akaniambia kapata dharura haendi kazini ila akanipa laptop nipeleke ofisini kwao na namba ya muhusika ambaye anatakiwa kupelekewa hiyo...
  11. R

    JamiiForums Tanzania Kumbe Khalfan Bwire na wenzake ndio walikuwa Walinzi wa Tundu Lissu wakati anaingia Tanzania Julai 28, 2020?

    Aisee kumbe usione vyaelea vimeundwa. Hii inatupa picha gani nyie wataalam Mgombea wa Chama kikuu cha Upinzani Mh Tundu Lissu alikuwa akilindwa na hawa ma x commandos yaani Khalfani Bwire, Adamu Kusekwa, Mohamed Ligwenya na wenzake. Baada ya matishio makubwa ya usalama dhidi ya viongozi hawa...
  12. comte

    JamiiForums Tanzania Huu ulinzi wa VIP protection wa Freeman Mbowe unafikirisha walinzi walikuwa pale ambapo Mbowe hakuwepo?

    Kwa maelezo ya Wanachadema wote - Mwamba wao Mh. Mbowe aliona na kurizika kwamba maisha yake yalikuwa hatarini hivyo kujenga mahitaji ya kuwa na VIP PROTECTION tena ya makomandoo. VIP PROTECTOR huwa hawawi mbali na watu wanaowapa VIP PROTECTION. Kwa maelezo ya shahidi Luteni wa JWTZ Urio na...
  13. C

    JamiiForums Tanzania Nadharia yangu: Freeman Mbowe alimuomba Denis Urio amtafutie walinzi, DCI alidukua mawasiliano, akamshawishi Urio ashiriki kumbambikia Mbowe ugaidi

    Wandugu, Baada ya kufuatilia kwa kina kinachoendelea mahakamani naweza kuja na nadharia ifuatayo. Freeman Mbowe alimuomba Denis Urio amtafutie walinzi. Lakini kwa kuwa DCI alikuwa anafuatilia kwa ukaribu mawasiliano ya kila siku ya simu ya Mbowe aliona kuna connection na Denis Urio hivyo...
  14. mwandende

    JamiiForums Tanzania Walinzi wa getini ofisi ya Mkuu wa Mkoa Dar es Salaam punguzeni njaa, msijifiche kwenye kichaka cha barakoa

    Nawasalimia kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Tangu kufunguliwa kwa shule za secondary na msingi inchini mwaka huu 2022,,, Ofisi za afisa elimu mikoa mbali mbali zimekuwa busy Sana ktk kuhudumia wanainchi wanaohitaji uhamisho wa shule kwa watoto wao. Baada ya wingi huo wa wananchi...
  15. B

    JamiiForums Tanzania Walinzi wa Ranchi na maeneo ya ufugaji ya familia ya JPM huko Chato na Biharamulo waondolewa rasmi. Je, ufugaji utaendelezwa na Mama Janeth?

    Mhe JPM aliwekeza kwenye ufugaji wa ng'ombe nakuanzisha Ranchi yake iliyokuwa inasimamiwa Kwa kiasi kikubwa na Dola, Sasa hivi naambiwa walinzi wa umma waliokuwa wanalinda rasilimali hizi wamerejea serikalini na hivyo familia kubaki na jukumu la kusimamia miradi hii. Je, familia ya Mama Janeth...
  16. B

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu: Epukeni Waandishi binafsi na Walinzi Binafsi

    29 October 2021 Dodoma, Tanzania Semina iliyoendeshwa na Taasisi ya Uongozi, Kwenye Ukumbi wa St. Gasper, jijini Dodoma Tanzania Waziri Mkuu amewasisitiza viongozi hao waepuke matumizi ya walinzi binafsi na waandishi wa habari binafsi katika Ofisi za Umma kwani wanaweza kuwa chanzo cha...
  17. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya: Walinzi wamuua Mwanafunzi wa kiume baada ya kumkuta bwenini kwa wanafunzi wa kike

    Walinzi watatu wa Shule ya upili ya Wasichana ya Komothai Nchini Kenya wamekamatwa kwa tuhuma za kumuua Mwanafunzi wa kiume wa Shule nyingine jirani ya Wavulana aliyekutwa kwenye Bweni la Wasichana la Shule hiyo saa kumi alfajiri wiki iliyopita. Taarifa ya leo imesema Walinzi hao Joseph Mutahi...
  18. The Mongolian Savage

    JamiiForums Tanzania Connor McGregor afanya vituko hadharani Rome kwa kuzunguka na walinzi wenye miili mikubwa mmoja akimbebea wine kwenye glass

    Ni yule bondia mixed martial arts.
  19. comte

    JamiiForums Tanzania Asante Mh. Jaji Siyami kwa kuwaumbua CHADEMA; wanampa Mbowe tu maji na kuwanyima walinzi wake huku wakiwa wamejazana mahakamani

    Kibatala: Mh. Jaji ni hayo tu, sina swali lingine. Jaji: Ahsante, kila siku naona mtuhumiwa mmoja tu ndiyo anakunywa maji, mmewapa wengine? Wapeni Maji wanywe, Askari Magereza Myakague ni haya tunayokunywa wote. Jaji: Mawakili wa Serikali kuna lolote kwa ajili ya Re: examination?
  20. comte

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Mbowe: kama hawa ndio walinzi wa Mbowe na wamejaa hivi; wale webamba wale aliwatakia nini?

    Picha ya juu- walinzi wa siku zote picha ya chini walinzi wa KAZI MAALUM
Back
Top Bottom