walinzi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Askari Polisi 6, Maafisa wa TFS wawili na Walinzi Binafsi 11 watuhumiwa kujeruhi Bodaboda na kusababisha vifo vyao

    Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam linawashikilia na kuwahoji kwa kina askari wa Kampuni ya ulinzi PASCO LTD 11, Maafisa wa Wakala wa Huduma za Misitu (TFS) wawili na askari Polisi 6. Kushikiliwa kwa watu hao kunatokana na tuhuma za kujeruhiwa kwa watu wawili ambao baadae walipoteza...
  2. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Walinzi wa Saudi Arabia washutumiwa kuua mamia ya wahamiaji wa Ethiopia

    Shirika la kutetea haki za binadamu – Human Rights Watch, limewashutumu walinzi wa mpakani wa Saudi Arabia kwa kuua mamia ya wahamiaji wa kiuchumi wa Ethiopia. Wahamiaji hao walikuwa wakijaribu kuvuka mapakani kutoka kwenye taifa lililokumbwa na vita la Yemen. HRW imesema takriban watu 655...
  3. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Polisi: Walinzi wa makampuni binafsi watumike sehemu zenye wageni wengi wakati wa Msimu wa NaneNane

    Maonesho ya wakulima ya Nanenane Kimataifa yanatarajia kufanyika mkoani Mbeya ambapo taasisi, mashirika ya serikali, mashirika binafsi na watu binafsi watashiriki katika maonesho hayo. Mataifa zaidi ya 30 yanatarajia kushiriki maonesho hayo yatakayofanyika katika Uwanja wa John Mwakangale...
  4. BARD AI

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mike Sonko kuchunguzwa kwa kutumia Walinzi 33 na kuwalipa Tsh. Milioni 68 ndani ya siku 22 akiwa Gavana

    Kamati ya Uchunguzi ya Bunge la Seneti Nchini Kenya imeitaka Tume ya Maadili na Kupambana na Ufisadi (EACC) kumchunguza Gavana huyo wa zamani wa Jiji la Nairobi kutokana matumizi mabaya ya Fedha za Umma. Sonko anadaiwa kuwalipa Maafisa 33 waliokuwa wakimlinda wakati akiwa Ziarani Jijini Mombasa...
  5. BARD AI

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Serikali yaondoa Walinzi wa Raila Odinga na viongozi wengine wa Upinzani

    Uamuzi huo unakuja muda mfupi baada ya Odinga kutangazia Wananchi kuwa wajiandae kwa Maandamano ya Kimapinduzi kuanzia Julai 19, 2023, Maandamano ambayo yamepata pia kibali cha Mahakama. Kwa mujibu wa taarifa, Askari 10 wanaomlinda Odinga na wengine wanaolinda Makazi yake jijini Nairoi, Kisumu...
  6. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Meya ashushiwa kipigo kikali kikaoni, aokolewa na walinzi wa Manispaa, akimbizwa hospitalini

    Mstahiki Meya wa Manispaa ya Moshi, Zuber Kidumo amejikuta akichezea kichapo kikali kutoka kwa diwani mwenzake, Abuu Shayo, wakati akiendesha kikao cha Kamati ya Mipango Miji na Ardhi katika manispaa hiyo. Tukio hilo limetokea leo majira ya saa sita mchana mjini Moshi, wakati kamati hiyo...
  7. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Walinzi wa Hayati Magufuli walitisha sana

    Kila kitu alichofanya Magufuli ilikuwa unique aise, check hii miamba.
  8. Mnada wa Mhunze

    JamiiForums Tanzania Poland imewazuia walinzi wa Ramaphosa kwenda Ukraine

    Mzozo wa kidiplomasia umeibuka baina ya nchi ya Poland na Afrika Kusini kwa kile kinachodaiwa ubaguzi wa rangi na mkuu wa kitengo cha ulinzi wa Rais Ramaphosa. Kundi la walinzi zaidi ya 100 wa Rais Ramaphosa wakiwa kwenye ndege ya shirika la SAA wamezuliwa isivyotarajiwa na Mamlaka za Poland...
  9. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Simiyu: Majambazi wavamia maduka Bariadi, Walinzi wakimbia

    Watu kadhaa wanaodaiwa kuwa ni majambazi wakiwa na silaha mbalimbali wamevamia maduka yanayofanya biashara za miamala ya kifedha katikati ya Mji wa Bariadi usiku wa kuamkia Juni 8, 2023. Wahalifu hao wamevunja milango lakini wakashindwa kuvunja boksi za kuhifadhia fedha ambazo ndizo walikuwa...
  10. FIKRA NASAHA

    JamiiForums Tanzania SoC03 Wafungwa kabla ya kutoka gerezani waandaliwe kisaikolojia

    Ni Kupunguza Wimbi la Kurejea Kwenye Uhalifu Kila Mwaka, Tunaposheherekea Sikukuu ya Uhuru wa Tanganyika, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar (Tanzania), Ambaye Pia ni Amiri Jeshi Mkuu, Hutoa Msamaha wa Wafungwa, Kwa Idadi Inayopendekezwa na Magereza, Nchi Nzima Ikiwa Pia...
  11. K

    JamiiForums Tanzania TAKUKURU Simiyu: Walinzi soko kuu Bariadi wanajilipa wao wenyewe

    Taasisi ya kuzuia na kupamba na rushwa Mkoa wa Simiyu (TAKUKURU) imesema kuwa mfumo wa uendeshaji wa soko kuu la Bariadi hauko sahihi kwenye eneo la ulinzi pamoja na mazingira ya ufanyaji Biashara. Kwenye taarifa yake kwa waandishi wa Habari iliyotolewa leo na Naibu mkuu wa taasisi hiyo Aron...
  12. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Janejelly Ntate Awaomba Wananchi Kuwa Walinzi wa Miradi ya Maji Inayoendelea Kuzinduliwa

    MBUNGE JANEJELLY NTATE AWAOMBA WANANCHI KUWA WALINZI WA MIRADI YA MAJI INAYOZINDULIWA KIPINDI HIKI CHA MBIO ZA MWENGE Mbunge wa Viti Maalum anayewakilisha Wafanyakazi Nchini anayetokea Mkoa wa Dar es Salaam Mhe. Janejelly James Ntate katika sherehe za Mbio za Mwenge Temeke, amemshukuru Rais wa...
  13. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Jumatatu tunaanza Maombi kwa wale Viongozi wote majizi/mafisadi

    Tumechoka. Kila mwaka CAG anasoma hasara ambazo taifa linaingizwa kutokana na kodi za wananchi maskini hawa wanaoishi maisha magumu. Viongozi wao wanatumia magari ya gharama kubwa ya kifahari. Wananchi hawana madawa hosp, hawapati matibabu bila kuwa na pesa. Shule hazina madawati, walimu...
  14. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Jamii ya Kitanzania inatuchukulia simple sana sisi walinzi, wengine tuna elimu zetu na fedha tunazo

    Hello! Inachekesha sana. Hivi kweli unanipa buku sijui jero kisa Mimi mlinzi. Mimi sio mlinzi ombaomba, na ni mwiko kwangu kumwomba mteja fedha, awe mteja wa ndani au wa nje ila mteja akinipa fedha siiachi. Nina gari, nyumba nzuri na mshahara laki 7.6 na posho ya chakula, overtime na zingine...
  15. R

    JamiiForums Tanzania Kwanini walinzi wa viongozi wanapokuwa ibadani hawafungi macho?

    Mungu ni zaidi ya kila kitu, lakini walinzi wa viongozi wanapokuwa ibadani wakati wa sala hasa wakristo utagundua awafungi macho. Means pamoja na ibada au sala wao bado wanaamini nguvu na akili zao NI zaidi ya ibada au nikutokana na tafsiri kwamba kwenye ibada kufunga macho NI hiari? Picha...
  16. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania Kwanini Walinzi wa Rais Samia hawabebi mabegi kama wale wa JPM?

    Naombeni mnijuze wakuu
  17. J

    JamiiForums Tanzania Hapa ndipo Area D, Dodoma. Na hili ndilo geti lililoachwa wazi na walinzi kutokomea siku Lissu aliposhambuliwa

    Hapo chini kuna video inayoonyesha makazi ya Area D. Hususan ni hilo geti na nyumba ya walinzi ambao tunaambiwa siku ya tukio hawakuonekana. Hakuna video yoyote nyingine inayoonyesha eneo hilo kama hii hapa chini.
  18. S

    JamiiForums Tanzania Tangu mzee Makamba ahutubie pale Dodoma, walinzi wa legacy wanaweweseka sana

    Habari kwamba Rais Magufuli ni dikteta ilianza kusemwa na Tundu Lissu ingali bado Magufuli akiwa hai. Magufuli akaviteka vyombo vyote vya habari, vyombo vya dola, bunge na mahakama. Nchi ikawa kimya hakuna wa kumkosoa wala kumsema vibaya. Aliyethubutu alikiona cha mtema kuni. Akaeneza...
  19. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Mliooa hamna tofauti na vizimba vya sokoni. Watu wazurulia humo

    Walioa bhana yaani kelele na kutikisa vitambi tu, hawatembei na vivuli vya wake zao. Wakiwa bar wao, mgahawani wao, lodge au gesti wao, ktmota wao, kuku wao, kwenye sebene wao. Jazeni vitu vya maana kwenye mafrifge zero, pigeni shoo za maana zero, kwenye sebene mnaenda na migebuka, mkirudi...
  20. Area 56

    JamiiForums Tanzania Wako wapi waliokuwa walinzi wa hayati Magufuli?

    Je walistaafu? Je walipangiwa majukumu mengine kama inavyotokeaaga kwa wanasiasa? Sio mbaya kujua walipo Watanzania wenzetu
Back
Top Bottom