walimu

  1. F

    JamiiForums Tanzania SLO Iramba na walimu wakuu kadhaa watiwa mbaroni kwa matumizi mabaya ya Tsh milion 170

    Habari wadau wa JF. Habari kutoka wilayani Iramba ni kuwa Afisa takwimu wa idara ya elimu msingi, na walimu wakuu kadhaa wanashikiliwa kwa maelekezo ya TAKUKURU wilaya. Chanzo cha kushikiliwa kwa SLO huyo Bwana Mgimba ni matumimizi mabaya ya hela za ujenzi wa vyoo saba ktk shule saba wilayani...
  2. JamiiForums Tanzania Baada ya Walimu wa Shule za Umma kuchekwa na kudharauliwa kwa muda mrefu na Walimu wa Shule Binafsi sasa nao kibao kimewageukia

    WALIMU SHULE BINAFSI WALALAMIKA KUKOSA MISHAHARA KISA CORONA Chama cha Walimu wa shule binafsii nchini TPTU kimeiomba serikali kuingilia kati suala la madai ya wamiliki wa baadhi ya shule binafsi kusitisha mikataba na mishahara ya walimu kwa kigezo cha kuathiriwa na ugonjwa wa COVID 19...
  3. JamiiForums Tanzania Serikali iwalipe walimu wa shule za binafsi mishahara kwa RIBA ndogo kipindi hiki cha Corona

    Serikali iwakopeshe mishahara walimu wa shule binafsi kipindi hiki Cha Corona kwa RIBA ndogo sana. Ikumbukwe kwamba Hawa ni WATANZANIA wenzetu japo Kuna wachache sio WATANZANIA. Serikali ione huruma kwa maelfu ya WATANZANIA watakaoathirika kutokana na janga hili. Binafsi nimetoa machozi...
  4. L

    JamiiForums Tanzania Walimu wa shule ya msingi Lusisi wilayani Wanting'ombe wamenikera

    Wadau corona ipo tuwe makini kwa kufuata maelekezo ya watalamu wa afya. Nije kwenye Mada. Shule zimefunga tarehe 17 Machi kutokana na hali halisi kwamba watoto watulie home, nmeamua kuwapiga vipindi mwenyewe. Kabla ya hapo niliwataka wajisomee wenyewe. Nilipowataka walete daftari zao...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Je, ni sahihi walimu kupewa likizo zisizo na malipo?

    Habari za muda huu wadau wa JF. Naomba niende moja kwa moja katika hoja. Wote tunajua kuwa sasa hivi nchi inapatwa na janga kubwa sana la corona ambalo limepelekea uchumi wa sekta mbalimbali kuyumba. Leo nimeshtushwa sana baada ya kuona kuna shule flani ya private inalazimisha wafanyakazi...
  6. F

    JamiiForums Tanzania Chondechonde Serikali: Msiwaonee walimu haswa walimu wakuu, wakuu wa shule na waratibu elimu kata

    Halo wadau wa JF. Kuna tetesi nimezinasa kuwa serikali ina mpango wa kuwanyima posho walimu wakuu, wakuu wa shule na waratibu elimu kata. Madai ya serikali ni kuwa hawa watu hawapo kazini ktk kipindi cha likizo isiyo rasimi au likizo ya corona. Lengo ni kuwa posho zao zielekezwe kuikabili eti...
  7. JamiiForums Tanzania Wajibu wa Walimu kwa jamii na kwa Taifa katika kipindi hiki cha msambao wa ugonjwa wa COVID-19

    Ualimu ni taaluma yenye mawanda na matao mapana sana huenda kuliko taaluma nyingine nyingi zilizopo. Mwalimu licha ya kuwajibika kwa taaluma yake, wateja wake (wanafunzi), mwajiri wake, bado anao wajibu pia kwa jamii inayomzunguka na kwa Taifa lake kwa ujumla. Mwalimu anapaswa kuwa mtoa...
  8. JamiiForums Tanzania Kutokana na kipindi hiki cha mpito cha Corona, Walimu changamkieni hii fursa

    Wengi tunatambua kuwa kwa sasa Dunia inapitia kipindi kigumu sana kutokana na hili janga la Corona virus. Hii kitu imegusa sehemu nyingi sana. Naomba niweke wazo langu huenda likasaidia wachache nataka niguse sekta ya elimu kuanzia shule za awali mpaka sekondari. Nimetafakari kwa kipindi hiki...
  9. JamiiForums Tanzania Madudu ya Chama cha Walimu (CWT)

    CWT inavuna pesa za walimu isivyohalali kila mwezi kutokana na ukweli kuwa kwa mujibu wa sheria zilizopo hawana mamlaka ya kuchukua ada ya uanachama kwa asilimia ya mshahara wa mtumishi. Nasema hayo kwakuwa hakuna sheria yoyote nchini Tanzania inayowaruhusu kufanya hivyo; Kuna sheria ya mwaka...
  10. N

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Serikali; Walimu wa kike waajiriwe kuanzia miaka 35

    habarini!! wazo hili linakuja baada ya utafiti wa muda mrefu wa shule kadhaa ZA SEKONDARI! hawa walimu wa kike walio katika umri wa makumi na ishirini wana tabu sana huko mashuleni....... 1. Hawatulii vituoni kwani wengi wao wanakuwa kwenye kuhangaika na maisha ya kutafuta wenza na kula...
  11. JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi, walimu Agha Khan Mzizima Secondary School

    Aga Khan Education Service, Tanzania (AKES.T), is a private, not for profit, service company registered under the Companies Act and operates three schools in Tanzania offering the International Baccalaureate PYP / Diploma Programme, Pre IGCSE at grades 7 -9, IGCSE at Grades 10 and 11 and the...
  12. JamiiForums Tanzania Hivi unaweza kutumia playstore kwenye PC kama kwenye android?

    Hivi unaweza kutumia playstore kwenye PC kama kwenye android? Na je kama ndiyo unawezaje kuinstall hiyo playstore. mim nilijaribu kutumia blueStacks lakini sielewielewi naona kwenye kusign in email inaload tu.
  13. JamiiForums Tanzania DC ataka walimu watesaji kukamatwa

    MKUU wa Wilaya ya Njombe, Ruth Msafiri, ameagiza kukamatwa kwa walimu watakaobainika kuwafanyia vitendo vya kikatili wanafunzi ikiwa hatua ya kukomesha vitendo hivyo vinavyoendelea nchini. Msafiri alisema hayo jana mjini hapa wakati msafara wa kijinsia wa kutokomeza ukatili ulipofika mkoani...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Wilaya ya Musoma Dr Vincent Naano awashikilia walimu watatu na wafanyakazi watatu wa Idara ya Maji masaa 48 kwa kosa la kupakia mshikaki

    Wanajamvi nawasalimu kwa jina la bwana. Kwa muda toka mheshimiwa Kangi Lugola akutane na madhila ya kuvuliliwa uwaziri wa Mambo ya Ndani, wote tunajua kuwa Kangi alikuwa mtetezi wa waendesha pikipiki maarufu kama bodaboda. Makosa madogo madogo kama ya abiria kutovaa helmet na kupakia mshikaki...
  15. JamiiForums Tanzania Shinyanga: Nyumba za Walimu zageuzwa danguro

    Majengo mawili ya nyumba za walimu ambayo ujenzi wake haujakamilika katika Shule ya Sekondari Mwasele, Kata ya Kambarage, Manispaa ya Shinyanga, yamedaiwa kugeuzwa danguro na kusababisha baadhi ya wanafunzi kupewa ujauzito na kuacha masomo. Diwani wa Kambarage, Hassani Mwendapole, alipaza...
  16. JamiiForums Tanzania Kipi kiwe kipaumbele kwenye elimu kati ya majengo na maslahi bora kwa walimu?

    WB wamesitisha mkopo kwa Tanzania. Lakini baadaye nimemsikiliza ZZK anasema mkopo huo ulilenga kujenga mashule ikiwemo kukarabati shule zilizopo. Lakini tathmini ya mazingira ya walimu kuanzia nyumba, mishahara na mafunzo ya kujiendeleza vyote vipo ovyo kabisa!! Swali ni: Je, tuendelee kupaka...
  17. U

    JamiiForums Tanzania Walimu watakaojitolea miezi saba Temeke kuajiriwa

    Hakuna nchi duniani inachukulia elimu kitu cha kipuuzi kama Tanzania! Imagine tuna walimu wamehitimu halafu mashule hayana walimu? Tunajenga taifa la namna gani? Halafu tunakuja na rushwa za hovyo kama hizi kwamba fundisha seven month free ndio tukuajiri? Are we serious?
  18. JamiiForums Tanzania Ndugu Karugutu (Afisa Elimu msingi Wilaya ya Uyui) jirekebishe, acha kuwatesa walimu kwa kuwafokea badala ya kuwaeleza kwa adabu na utu!

    Wanabodi za asubuhi! Leo nakuja na malalamiko ya walimu wa shule za msingi katika Wilaya ya Uyui kumhusu huyu Karugutu. Wanaanza kwa kueleza kuwa kwenye zoezi la kuboresha daftari la wapiga kura mwaka jana Karugutu aliwalazimisha walimu wa saini hela ya chakula 15,000/= kwa maana ya kifungua...
  19. JamiiForums Tanzania Walimu kama mmepata mshahara tulipeni madeni yetu.

    Walimu kama mshalipwa mtulipe bana hii gvt yenu si inawajali? It pays you on time and a lot of money na mmeongezwa mishahara sijui madaraja nk. So plz lipeni madeni yetu huku mtaani. Wiki hii ikiisha naanza kuwafukuza kwenye nyumba yangu.
  20. JamiiForums Tanzania Walimu wana wakati mgumu! Darasa limejaa wanafunzi zaidi ya mia moja hana hata pa kukanyaga!

    Katika pitapita zangu nimekutana na hii video ikionesha wanafunzi walivyorundikana kwenye chumba cha darasa kama ng'ombe tena wakiwa wamekaa chini, na bado tukiendelea kupiga makofi kuhusu ununuaji wa madege ya dreamliner. Kama Taifa tunapaswa kupaza sauti zetu kama wananchi wa Taifa Tanzania...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…