Walimu watakaojitolea miezi saba Temeke kuajiriwa

Ukugigwa

Member
Jan 23, 2020
15
30
Hakuna nchi duniani inachukulia elimu kitu cha kipuuzi kama Tanzania! Imagine tuna walimu wamehitimu halafu mashule hayana walimu? Tunajenga taifa la namna gani? Halafu tunakuja na rushwa za hovyo kama hizi kwamba fundisha seven month free ndio tukuajiri?

Are we serious?
 
Nchi imeooza hii, viongozi hawajui matatizo ya wananchi wao ni yapi
 
Hakuna nchi duniani inachukulia elimu kitu cha kipuuzi kama tanzania! Imagine tuna walimu wamehitimu afu mashule hayana walimu? Tunajenga taifa la namna gani? Afu tunakuja na rushwa za hovyo kama hizi kwamba fundisha seven month free ndio tukuajiri? Are we serious?
Mkuu, kama kweli serikali yetu nayo inapenda vya bure na kubebwa kutoka kwa raia wake inayowaita wanyonge, tena ikiapa kuwatetea. Basi kuna majanga makubwa ktk siku za mbele ambapo yanalikabili taifa, ambayo kwayo wanyonge hasa watakapo jitambua na kufanya maamuzi magumu ambayo kwa zaidi ya miongo mitano wamechelewa kuyafanya.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom