walimu

  1. JamiiForums Tanzania Nafasi ya kazi kwa walimu kufundisha masomo ya ziada

    Natafuta walimu kwa ajili ya kuwafundisha wanafunzi masomo ya ziada katika kituo (Kinondoni Manyanya) au kwa kuwafuata nyumbani (maeneo mbalimbali Dar es salaam). Vigezo kwa muombaji: - Awe amesomea diploma, cheti, au degree ya ualimu kwa masomo yoyote. (Mwalimu Amudu vizuri lugha ya...
  2. E

    JamiiForums Tanzania Samahani walimu ila naomba majibu toka kwenu

    Wana jf, jana ilikuwa Bukoba Takukuru ilivyobaini mtoto aliyefukuzwa kufauru mthihani kwa Daraja la pili yaani Div2 Baada ya uchunguzi ilibainika mwanafunzi husika alifukuzwa shule lakini akapewa mwanafunzi nwingine nafasi hiyo. Niwazi kuwa nafasi hiyo haikutolewa bule lzm kuna mrungula...
  3. JamiiForums Tanzania Hivi Walimu ni mishahara ndio inawapa hasira?

    Kuna habari nimeona kwa wanafunzi wa form six wamefukuzwa shule siku chache kabla ya mitihani yao ya kuhitimu Chanzo kabisa ni wanafunzi hao kukutwa na simu Nimejiuliza inakuwaje mwalimu unahangaika kukagua wanafunzi amabaye hama hata zaidi ya mwezi kuendelea kuwepo hapo shuleni kama wana simu...
  4. E

    JamiiForums Tanzania Hongera Waziri wa Elimu kusikia malalamiko yangu niliyoyaweka JF japo walimu walinishambulia

    Naipongeza wizara ya elimu kwakusikia malalamiko niliyoyafikisha kwenu kupitia jukwaa letu pendwa la jf. Nilileta uzi nikiwatetea wazazi na kuwatuhumu baadhi ya walimu wa shule za secondary na msingi nilianza na shule ya secondary ya kata wilayani magu kwa kuagiza watoto wapeleke kilo10 za...
  5. T

    JamiiForums Tanzania Nitumie mbinu ganii ili niweze kufanikisha kuwasaidia Wanafunzi wanaosahau haraka?

    Habari za muda huu, Kwa sasa nipo darasani nafundisha shule za awali, hapa darasani kuna wanafunzi kama wawili, yaani nimetumia mbinu zote za ualimu ili hawa watoto waweze kukumbuka masomo darasani, yaani unamfundisha leo, kesho akija amesahau. Kuchapa sio njia mbadala ya yet kuelewa japo...
  6. JamiiForums Tanzania Ripoti Maalum: Shambulio la mishale dhidi ya walimu lazua taharuki

    Walimu katika Kijiji cha Chihwanga, Kata ya Itaragwe wilayani Gairo mkoani Morogoro, wamejikuta katika taharuki kutokana na mfululizo wa matukio ya mashambulizi dhidi yao kwa kutumia mishale yaliyosababisha kifo cha mmoja wao Kijiji hicho kiko umbali wa kilometa 40 kutoka mjini Gairo, na hadi...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Kufunguliwa kwa shule nchini: Wanafunzi wasisitizwe kuwa waonapo dalili hizi toa taarifa kwa walimu au wazazi

    Dalili za ugonjwa wa COVID19 ni homa, kikohozi na mafua, kubanwa mbavu na kupumua kwa shida, kuumwa kichwa, vidonda kooni, koo kukauka, mwili kuchoka na kupoteza uwezo wa kuhisi ladha na harufu Kwa wanafunzi wanaotarajiwa kurudi mashuleni, ni muhimu kunawa mikono kwa maji tiririka na sabuni...
  8. JamiiForums Tanzania Hii nchi haina usawa: Mbunge miaka mitano, mafao zaidi ya Tshs. 200M, mwalimu miaka 32 kazini, mafao Tshs. 70M, miezi sita hajalipwa

    Hii nchi haina usawa. Hii nchi haijapata kiongozi wa kuleta usawa ingalau kwa nusu tu miongoni mwa wananchi.... Tumesikia wimbo huu wa kinafiki kuwa, Rais John Pombe Magufuli ni Rais na kiongozi wa wanyonge, wananchi wa hali ya chini wa nchi hii.... Si kweli, ni uongo mtupu na ni propaganda za...
  9. E

    JamiiForums Tanzania Ualimu ni kazi ya heshima na iliyotukuka ila sisi Waalimu ndiyo tunaidhalilisha wenyewe

    Moja yakazi yenye heshima na iliyotukuka ni kazi ya Ualimu. Kwa sababu zifuatazo: 1. YESU ALIITWA MWALIMU 2. J.K. NYERERE ALIKUWA MWALIMU 3. HUWEZI KUWA NA UJUZI WOWOTE BILA MWALIMU 4. WALIMU NDIO WAMESHIKA NAFASI ZA JUU ZA UONGOZI NCHI HII Lakini sasa fani hii muhimu walimu ndio...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Ratiba za masomo kuongezewa muda wa masaa mawili kutakuwepo na malipo ya ziada kwa walimu?

    Waziri wa Elimu katia waraka na ratiba mpya za mihula ya shule jana. Ndani ya waraka huo kaongeza muda wa masaa mawili kwenye RATIBA za shule yaani zianze SAA 2:00 asubuhi hadi SAA 10:00 jioni badala ya SAA 8:00 mchana. Katika kuongeza huku hakuzungumzia malipo ya ZIADA (overtime) kwa walimu...
  11. JamiiForums Tanzania Serikali ya Tanzania: Hatuajiri walimu wa sanaa

    Serikali ya Tanzania imesema, itawaajiri walimu wa masomo ya sanaa pale idadi ya walimu wa sayansi, hisabati, kilimo, biashara, elimu maalum na mafundi sanifu wa maabara za shule za sekondari itakaporidhisha. Serikali imetoa majibu hayo leo jumatatu tarehe 8 juni 2020 wakati ikijibu swali la...
  12. JamiiForums Tanzania Risala ya Chama cha Walimu Tanzania iliyosomwa kwa rais Magufuli na Katibu Mkuu Mwl. Deus G. Seif - JUNI 05, 2020

    RISALA YA CHAMA CHA WALIMU TANZANIA KWA MGENI RASMI MH. DKT. JOHN POMBE JOSEPH MAGUFULI, RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA KATIKA UFUNGUZI WA MKUTANO MKUU - JUNI 05, 2020 KATIKA UWANJA WA CCM JAMHURI JIJINI DODOMA Mheshimiwa Dkt. John Pombe Joseph Magufuli Rais wa Jamhuri ya Muungano wa...
  13. JamiiForums Tanzania Kabla hamjaanza kumsifia Magufuli kwa kulipa Walimu mishahara miezi 2 lazima mtambue haya

    Nina hakika CCM itashinda chaguzi nyingi zijazo na kuendelea kuiongoza nchi hii ya Tanzania. Sababu kubwa ni ujinga + upumbavu wa Watanzania wengi. Samahani najua nimewakwaza wengi kwa neno upumbavu na ujinga ila haya maneno hayana undugu na matusi. Leo unatoa shukrani kwa Rais kisa amelipa...
  14. JamiiForums Tanzania Rais Magufuli afungua mkutano Mkuu wa Chama cha Waalimu, Corona imeisha, Shule za Msingi kufunguliwa karibuni

    Salaam Wakuu, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, Leo anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika Mkutano Mkuu wa Uchaguzi wa Chama Cha Walimu Tanzania-CWT. Mkutano huo utafanyika katika Uwanja wa Jamhuri Jijini Dodoma, huku watu wote wakitakiwa kuzingatia na kuchukua...
  15. F

    JamiiForums Tanzania Walimu tunaishtaki CWT Mahakamani. Mwisho wa uonevu ni sasa

    MKAKATI WA KUIN'GOA CWT KISHERIA NA KUWARUDISHIA WALIMU PESA ZAO WALIZOIBIWA NA CWT PAMOJA NA FIDIA Nimepitia mijadala mingi na malalamiko mengi ya WALIMU dhidi ya CWT,Hotuba ya Rais Magufuli na Mkuu wa Wilaya wa Hai dhidi ya madudu ya CWT Nashauri,CWT wanamengi ya kutujibu Walimu kwa KUTUMIA...
  16. JamiiForums Tanzania Nagombea Urais wa Chama cha Walimu Tanzania (CWT)

    Mimi naitwa Anania Titus Mbuta Mimi ni Mwalimu mwenye Shahada ya Pili katika Elimu (MAEd, Udsm -2017). Baada ya kumaliza Shahada ya kwanza (BAEd, Stemuco - 2012). Hata hivyo mafunzo ya Ualimu niliyapata Chuo cha Ualimu Ilonga, 2003. Kuhusiana na uzoefu kweny mambo ya utawala mimi ni Afisa...
  17. JamiiForums Tanzania Baada ya corona msiwanyanyase walimu

    Viongozi wa serikali baada ya shule kufunguliwa msije mkawanyanyasa walimu kwa kauli za maudhi. Mnakuwa wavivu mbona mlikaa nyumbani bure huku mnalipwa. Mnaidaidai serikali madeni ya malimbikizo mbona mlikuwa mnalipwa bure. Juzi tu mlikuwa nyumbani Leo mmeanza kuomba omba ruhusa. Wenzenu...
  18. E

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Walimu watakiwa kuripoti na kusaini kazini kila siku wakati huu wa Corona

    Wakati huu ambapo vyuo na shule zimefungwa kwa muda kama sehemu ya tahadhari dhidi ya CORONA kuna Halmashauri zimetoa agizo walimu wote wawe wanaenda kusaini kazini kila siku asubuhi na kurudi nyumbani ambaye hatafanya hivyo atakuwa mtoro kazini ..! Clients wa mwalimu ni wanafunzi na sababu ya...
  19. JamiiForums Tanzania Wizara ya Elimu ishinikize vyuo vya Serikali vilipe madeni ya walimu wa part time katika kipindi hiki kigumu cha janga la COVID-19

    Kama kichwa cha habari kinavyojieleza tunaomba Wizara isaidie Vyuo Vikuu vya Serikali ambavyo vina tabia ya kulimbikiza madeni ya walimu wa part time vilipe mara moja hasa katika kipindi hiki cha janga la Corona ambapo kujikimu imekuw shida kutokana na shughuli nyingi za kiuchumi kuathirika...
  20. JamiiForums Tanzania Walimu waliofunga Shule wakutane Shuleni kwao walau siku moja au mbili kwa Wiki

    Habari Wadau, Kitendo cha Shule za Sekondari na Msingi kufungwa shule kwa ajili ya Corona, kumefanya baadhi ya walimu kuhama maeneo yao ya kazi na kurudi makwao na wengine wako palepale ila wanalewa balaa. Madeni kibao na matukio mengine ya ajabu. Kuna uwezekano mkubwa baada ya shule...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…