walimu

  1. L

    JamiiForums Tanzania GE2020 Wasimamizi wakuu wa vituo vingi vya kupigia kura ni walimu. Je, mwalimu ndiye atakayemnyima fomu ya matokeo ya uchaguzi wakala wa upinzani?

    Kweli Mungu anatupenda sana Watanzania. Sisi tunaolipwa mshahara mdogo zaidi ndiyo wasimamizi wa vituo vya kupiga kura, Sisi tunaolazimishwa kuchangia mwenge kwa kukatwa kwenye mishahara yetu ndiyo wasimamizi wa vituo vya kupigia kura. Sisi tunaolazimishwa kuhudhuria mikutano ya kampeni ndiyo...
  2. JamiiForums Tanzania Walimu waijia juu Serikali, wasema Kikokotoo bado kipo kinasubiri kuwaliza watumishi

    Chama cha kutetea haki na maslahi ya walimu Tanzania CHAKAMWATA kimelia kilio cha uchungu mkubwa sana kwamba kuna uonevu mkubwa sana unaofanywa na serikali ya awamu ya 5. Kimedai kwamba serikali iliwadanganya kusitishwa KIKOKOTOO na FAO LA KUJITOA. Kwamba hivi vitu bado vipo na vinasubiri muda...
  3. JamiiForums Tanzania Mkitoa ajira za Waalimu Kabla ya uchaguzi mtampunguzia kura mgombea wa CCM

    Walioomba ajira ni zaidi ya laki. Alafu wachaguliwe hao watu 13000. Mini matokeo yake. 1: Kwanza wakuochaguliwa wote hawatapiga kura maana watakuwa maeneo yao ya KAZI. 2: Waliobaki wote zaidi ya 87,000 hawatampigia mgombea wa CCM kwa hasira ya kukosa ajira wakati enzi za JK wote walikuwa...
  4. JamiiForums Tanzania Sauti ya Haki ya Askofu yafika Njombe na kukemea vitisho dhidi ya walimu nchini

    SAUTI YA HAKI YA ASKOFU YAFIKA NJOMBE NA KUKEMEA VITISHO DHIDI YA WAALIMU NCHINI! Tarehe 8 Oktoba 2020. Nimefika Njombe na kutoa ujumbe wa haki katika Mkutano wa Mgombea Mwenza wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CHADEMA, Mheshimiwa Salum Mwalimu. Pamoja na mambo mengine...
  5. JamiiForums Tanzania GE2020 Walimu na wazazi mnajifanya viziwi? Rungwe hamumsikii?

    Tukiachana na ubora wa Magufuli au mbwembwe za Lissu(almaarufu mwanasheria) kuna huyu mgombea ambaye pamoja na ubora wa pointi anayoishupalia, watu tumeziba masikio yetu na kumpuuza. Huyu bwana dunia nzima hasa nchi za mabeberu zinafuata sera yake lakini kwetu tumeipokea kwa dharau kubwa na...
  6. JamiiForums Tanzania Walimu wanasikitisha sana

    Habari wana Jf Jana katika pitapita zangu nikapita kwenye ofisi mmoja hivi nikakutana na umati wa watu wengi nilipo ulizia Kuna nini hapa nikaambiwa Kuna usaili unafanyika maeneo haya na ni usaili wa kutafuta wasimamizi watakao simamia vituo vya kupiga kura Kama ilivyo zoeleka kuwa wasimamizi...
  7. JamiiForums Tanzania Risala ya walimu katika siku ya Walimu kwa Waziri Mkuu

    RISALA YA CHAMA CHA WALIMU TANZANIA KWA MGENI RASMI MH. MAJALIWA KASIM MAJALIWA (MB), WAZIRI MKUU WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA KWENYE KONGAMANO LA SIKU YA WALIMU DUNIANI - OKTOBA 05, 2020 KATIKA UKUMBI WA LAPF- MAKOLE JIJINI DODOMA Mheshimiwa Majaliwa Kasim Majaliwa (MB), Waziri Mkuu...
  8. JamiiForums Tanzania Dodoma: Rais Magufuli apiga simu mubashara kwenye Kongamano la CWT na kukanusha kufutwa kwa Ualimu Ngazi ya Cheti

    Leo tarehe 5 Oktoba, katika Kongamano la Kuadhimisha Siku ya Walimu Duniani lililoandaliwa na CWT, Dodoma, Rais John Pombe Magufuli alipiga simu 'live' na kuongea na washiriki wa kongamano na pia kukanusha kufutwa kwa ualimu wa ngazi ya cheti. Rais Magufuli amewataka walimu kupuuza taarifa hiyo...
  9. JamiiForums Tanzania GE2020 Profesa Lipumba: Nichagueni niboreshe maslahi ya walimu

    NICHAGUENI OKTOBA 28,NIBORESHE MASLAHI YA WALIMU" PROF.LIPUMBA" SHINYANGA Mgombea Urais CUF, Prof.Ibrahim Lipumba amesema atakapoingia madarakani atarekebisha muundo wa elimu na kuboresha maslahi ya walimu kwa kuwa walimu ndio wanaotengeneza rasilimali watu wenye tija wanaoweza kuiwezesha...
  10. JamiiForums Tanzania Ajira Mwalim Mkuu na Walimu wengine shule ya Waislam

    Tangazo la ajira ya Mwalimu Mkuu. Abrar Primary School is a proposed name for anew Muslim School proposed to built at Vitendo Street, Misugusugu, Kibaha. Pwani, Tanzania. The proposed Abrar Primary School is an upgrade and enhancement of the now existing Madrasatul Abrar. We are seeking a...
  11. E

    JamiiForums Tanzania Walimu bado sijapata majibu ya swali langu, huwa mnafeli wapi?

    Nimekuwa nikihoji swali hili kwa waalimu lakini naambulia matusi au kuambiwa nawadharau waalimu kitu ambacho siyo kweli. Nimekuwa nikihoji nikwanini waalimu ndio wanao ongozwa kutapeliwa au kupigwa katika mikopo umiza lakini nimekuwa nikihoji sababu ya kushuka kwa heshima yao katika jamii. Leo...
  12. T

    JamiiForums Tanzania USHAHIDI: Hii ndio nyongeza ya mshahara kwa walimu 2015-2020

    Hapa naongelea walimu kwa sababu sekta zingine kama Jeshi kwa ujumla wake na TRA mambo yao yako tofauti. Kumekuwa na dhana nyingi za upotoshaji kuhusu nyongeza ya mishahara na kupanda madaraja, nimefatilia nikabahatika kupata hati za mishahara kwa walimu watatu; mmoja wa cheti s/msingi na...
  13. JamiiForums Tanzania Ajira Mpya za Walimu zinaweza kuwaumiza zaidi wasio na kazi kabisa mtaani

    Sio muda mrefu Serikali imetangaza ajira 13000 kwa walimu wa sekondari na shule za Msingi. Jambo hili ni tumaini jipya kwa walimu hasa wale ambao walikuwa hawana 'michongo' tangu wamehitimu elimu zao Nawaza wale ambao wamejichimbia kijijini jinsi watakavyopata 'Bundle cost' (The newest form of...
  14. JamiiForums Tanzania Je, Tanzania ya Viwanda imeshakamilika?

    Ni muda sasa Rais akihutubia bila kusikia neno "viwanda" kama ilivyokua kawaida yake Na pia hakuna update yoyote ya viwanda vinavyojengwa Labda niwaambie kitu tu nchi kuwa ya kiviwanda mnatakiwa muwe na viwanda kama utitiri yaani vya kutosha mfano kwa ukubwa wa Tanzania na watu wake ili...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Asante Lissu amesababisha ajira za walimu kutangazwa, hotuba ya bajeti ya Waziri hapakuwa na hilo

    Ni mtu mpuuzi tu anayeweza kumdharau mtu kama Tundu Lissu. Lissu kasema Serikali haijaaijiri walimu tangu 2014, hapo hapo serikali inaitupa bajeti ya Ndalichako na kaika hali ya kupaniki inatangaza kufungua dirisha la kuajiri walimu kwa maelfu. Katika hotuba ya waziri wa elimu, yeye aliahidi...
  16. JamiiForums Tanzania Takwimu: idadi ya wanafunzi ni kubwa kuliko walimu. Elimu ya bure haiwaandai watoto kuelewa bali kumaliza shule

  17. J

    JamiiForums Tanzania Waziri Jafo: Dirisha la ajira za walimu 13,000 wa msingi na sekondari kufunguliwa Jumatatu!

    Waziri wa Tamisemi mh Jaffo amesema kufuatia agizo la Rais Magufuli la kuongeza ajira za walimu 13,000 wizara yake itaanza kupokea maombi kuanzia Jumatatu ijayo. Hii ni neema kwa mliosomea ualimu. Maendeleo hayana vyama!
  18. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nafasi za ajira, walimu 5,000 wanahitajika Kenya

    • The teachers recruited will serve on permanent and pensionable terms of service. • Interested and qualified candidates should submit their applications online through the commission’s website not later than September 14, 2020. The Teachers Service Commission has announced a massive...
  19. JamiiForums Tanzania Mkuu wa Mkoa wa Tabora ameagiza kushushwa vyeo kwa Walimu Wakuu wa shule ambazo zimekuwa zikifanya vibaya katika mitihani

    MKUU wa Mkoa wa Tabora, Dkt. Philemon Sengati, ameagiza kushushwa vyeo kwa walimu wakuu wa shule ambazo zimekuwa zikifanya vibaya katika matokeo ya mitihani. Alitoa kauli wilayani Urambo wakati wa mkutano na viongozi na watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Urambo kwenye ziara ya kikazi. Dkt...
  20. JamiiForums Tanzania Wanafunzi wakifaulu wanasifia miundombinu, wakifeli wanalaumu walimu

    Tumeona baada ya matokeo ya form six kutangazwa na shule nyingi za Serikali kuingia kwenye 10 bora, sasa wameibuka wanasiasa, wakijinasibu namna matokeo hayo yalivyopatikana, wengi wanasifia majengo waliyojenga, madawati waliyonunua, na baadhi husifia jitihada za wazazi kusimamia watoto wao...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…