wakuu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Wakuu kwema?

    Naombeni experience ya land rover defender puma.. Ipi ni nzuri ambayo haisumbui yenye 2.5l engine au 2.2l engine,, mtandaoni naona 2.2l ikisifiwa sana
  2. JamiiForums Tanzania Wakuu vigae vya kuezekea Zanzibar ni nafuu? Huku bara bei kali sana 40,000?!

    Yaani kigae kimoja 40,000? Kwamba nikihitaji vigae 2,000 nalipa almost 80,000,000?! Nilitaka nimshauri huyu jamaa aagize China ila nikaona kwanini aende mbali. Mwenye kufahamu Zanzibar bei ya kigae cha bati sand coated bei gani.
  3. K

    JamiiForums Tanzania TFSS 1.1

    Ni sawa na sh ngapi kwa mishahara ya tfs kwa sasa? Kwa mwenye uzoefu wakuu.
  4. JamiiForums Tanzania Nina million 1 nifanye mishe Gani mpaka mwezi wa 6 iwe imefik1 5m wakuu naombeni mnisaidie wazo

    Naombeni mnisaidie wazo la biashara yeyote Nina million 1 nataka mpaka mwezi wa 6 iwe imefika 5m ndio Lengo langu Kuna kitu nataka nifanyie
  5. H

    JamiiForums Tanzania Pendekezo la Mfumo wa Action Plan na Uwajibikaji kwa Viongozi Wakuu wa Serikali.

    Katika kuimarisha utawala bora, uwajibikaji wa viongozi, na ufanisi wa utekelezaji wa sera za maendeleo, inapendekezwa kuanzishwa kwa mfumo rasmi wa Action Plan Governance Framework utakaoweka wajibu wa wazi kwa viongozi wanaoingia madarakani, hususan Rais au Mawaziri. Mfumo huu utalenga...
  6. E

    JamiiForums Tanzania Mradi wa Maji

    Wakuu kwema unaweza kufanya taratibu gani kuanzisha mradi wa kuuza maji katka jamii mfano ukauza island ila ukafunga kabisa na mifumo yote na mita utaratibu ukoje mpk ukamilishe kila ktu na faida yake inakuwa vipi msaada wakuu
  7. JamiiForums Tanzania Wakuu nimerejea tena kutoka sayari ya mbali baaya kupotea kwa mda wa miaka miwili

    Kama kichwa Cha habari kinavyo SEMA,pia nimewakumbuka sana ndugu zangu w kina jinuni wanawasalimia sana wakina maimuna na sharifu. Nambie una jambo gani linalo kutatiza nikusaidie mara Moja🙏🏽
  8. JamiiForums Tanzania Tusaidiane VPN ya Halotel wakuu

    Wakuu habari zenu Mwenye nayo Naomba tusaidiane VPN ya halotel kwa ajili ya free Internet
  9. JamiiForums Tanzania Samahani wakuu, hii pisi ya Zanzibar imeolewa?

    Nasikia anaitwa mamaruu Mariam KWA kweli huyu Binti anaukonga MOYO WANGU, nimechunguza nimeambiwa YUPO ch,,,,,,,,,,,, ana duka la ,,,,,,,,,,,. Nataka NIJUE KAMA ASHA olewa au BADO nimpose WAKUU, SAMAHAN KWA usumbufu WOWOTE, KUHUSU kimuweka hapa sioni SHIDA kwani HIZI picha SIO za Siri ZIPO...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Msaada wa sehemu ya kujishikiza wakuu; Hali ni mbaya

    Habari wakuu Week kadhaa nyuma nilileta Uzi wa kumba Akira ya medical lab ila Hadi Leo bado sijafanikiwa kupata Leo nakuja tena kwenu kama kuna MTU ana sehemu hata yakupata nauli Tu kwa siku pia nipate hata Ile sabbu Tu yakunitoa nyumbani Elimu yangu NI diploma, Nina skills kadhaa kama...
  11. JamiiForums Tanzania Wakuu msimamo ni ule ule labda kifo ndio kitatutenganisha samia na gange lake na wakuu wa majeshi lazima wakanyee debe kwa matendo yao

    Wakuu msimamo ni ule ule labda kifo ndio kitatutenganisha samia na gange lake na wakuu wa majeshi lazima wakanyee debe kwa matendo yao. Hatutawaacha wala kukubali upumbavu wowote kwa naman yoyote ile.
  12. G

    JamiiForums Tanzania Historia inaonyesha wananchi wa ulaya waliwahi kuwanyonga watawala wakuu wawili Kwa sababu baadhi nazoziona kwenye taifa letu ikiwemo umaskini

    Historia inaonyesha ufaransa na Uingireza iliwahi kunyonga watawala wawili Kwa sababu mbalimbali Kwa upande wa ufaransa ilimnyonga Louis na Malkia Maria Kwa sababu kuu ni Umaskini na njaa Kodi kubwa Kokosekana Kwa haki na usawa Kuupuuza matatizo ya wananchi Kwa upande wa kiongozi wa...
  13. JamiiForums Tanzania Wakuu nini maana ya hii kitu kwenye DSE

    Naomba tafsiri ya hiyo picha. Kwene DSE Lini unaweza toa hela?? Je kama hisa zinashuka unaweza ziuza ili usipate hasara?? Ukiuza hisa ulizo hold inachukua muda gan kupata hela yako?? Je kuna ufanano kati ya liquid acc ya utt na Hisa za DsE kwene mfumo wa kutoa hela? Maana utt siku tatu za kazi...
  14. JamiiForums Tanzania Hivi wakuu demu ukimuomba namba alisema Hana simu inamaana ndio hakutaki au

    Hivi malegend hapa hua mnachomokaje demu unamuomba namba anasema Hana simu na wakati unamuonaga nayo ukimuuliza hiyo nini eti sio yangu mademu kama Hawa ni kwamba hawakutaki au namba Gani. Vipi aisee mbona mambo yanakua mengi sana
  15. E

    JamiiForums Tanzania wakuu nauza machine excavator mchina kashusha bei kinoma

    kwa mnaoyaka kununua machine kama excavator brand ya sdlg pia na matela ya malori na tipa karibun wakuu bei maelewano
  16. N

    JamiiForums Tanzania Rushwa inanuka na udhaifu wa wakuu wa Wilaya

    Migogoro ya wakulima na wafugaji ipo kwa miaka mingi sana, ilishamiri mno kipindi cha awamu ya nne, pale nchi ilipopata changamoto ya uakame miaka ya 2006 mpaka 2007 wafugaji walihama hama sana kutoka mwanza geita kahama simiyu arusha manyara kuelekea kusini , bonde la usangu, wami , kilombero...
  17. JamiiForums Tanzania 2026 Natafuta kazi bado sijapata wakuu

    Nipo Arusha, Naombeni connection yeyote tafadhali 🙏🏽
  18. JamiiForums Tanzania Wakuu Naomba mchango wa mawazo yenu kwenye hii research title hapa

    Ni matumaini yangu mko salamaa! Mimi niko salamaa sijui ninyi huko, Mnaoumwa poleni, na wenye changamoto za hapa na pale poleni pia. Niende kwenye lengo, nataka niandae research proposal kwa kutumia hii title “A Critical Analysis of Abortion Laws in Tanzania and Their Impact on Women’s...
  19. JamiiForums Tanzania Wakuu Naomba Naomba mchango wa mawazo yenu kwenye hii research title hapa.

    Ni matumaini yangu mko salamaa! Mimi niko salamaa sijui ninyi huko, Mnaoumwa poleni, na wenye changamoto za hapa na pale poleni pia. Niende kwenye lengo, nataka niandae research proposal kwa kutumia hii title “A Critical Analysis of Abortion Laws in Tanzania and Their Impact on Women’s...
  20. JamiiForums Tanzania Msaada: Wakuu hii Application ya X (Twitter) inakula sana nafasi kwenye simu. Nifanyeje?

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…