wakuu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi halali nipo Mbeya

    Habari za wakati huu wakuu..? Mimi ni binti wa 20's..nimemaliza chuo Mwaka huu Bsc with Education(Biology and Chemistry) Nimekuja kwenu wana jamvi kuomba kazi ama sehemu ya kufanya kwa kazi hususani kufundisha masomo taja hapo juu... kwa mtu yeyote aliye na connection ya shule inayohitaji...
  2. JamiiForums Tanzania Msaada kwa wanaojua fukwe nzuri zinazopatikana ukanda wa kunduchi kuwe na misosi na vinywaji ila ziwe ni za free

    Wakuu naomba msaada kwa wanaojua fukwe nzuri zinazopatikana ukanda wa kunduchi kuwe na misosi na vinywaji ila ziwe ni za free. Weekend yangu leo nataka nikaimalizie huko. Maskani hakukaliki tanesco washafanya yao. Ahsanteni
  3. JamiiForums Tanzania Kama Makatibu Wakuu wa Wizara ni wale wenye Professions za Wizara husika kwanini Gerson Msigwa hajawekwa katika yake ya Media?

    Leo GENTAMYCINE a.k.a Kiboko Yao na Mfalme wa Uwasilishaji wa Mada ( Threads ) Mtambuka JamiiForums nitakuwa Msomaji zaidi wa Comments / Responses zenu juu ya Mada hii Kuntu na Husika.
  4. JamiiForums Tanzania Msaada: Nimepata fangasi kwenye ulimi

    E bwana kwema wakuu? Nna week ya pili inaenda hii nimepata fangasi /weupe kwenye ulimi sasa nilienda pharmacy nikaambiwa nI fangas ila hakuna maumivu yyte wakuu nkapewa dawa ya Miconazole Oromucosal gel BP ambayo nliambiwa nitumie kwa week lkn bado akupata mabadiliko yaan ilipungua kidg sana...
  5. JamiiForums Tanzania Naibu Waziri Kigahe awataka Wakuu wa Mikoa kufanya maonesho ya Utalii

    Naibu Waziri Kigahe Awataka Wakuu wa Mikoa Kufanya Maonesho ya Utalii Naibu waziri wa Viwanda na Biashara Mhe Exaud Kigahe (Mb.) amewataka Wakuu wa Mikoa yote ya Tanzania kuhakikisha wanafanya Maonesho ya Utalii ili kukuza utalii na kuongeza mapato ya nchi kwa kuwa sekta hiyo inachangia kwa...
  6. JamiiForums Tanzania Video: Mziki wa HIMARS, wakuu jeshi la Urusi walipuliwa wakiwa kwenye kikao

    Kama muvi vile, jamaa wamelipuliwa kizembe sana Ukraine’s Defence Forces targeted the temporary command post of the Russians in Kherson Oblast, following a tip-off from the Security Service of Ukraine. Source: Ukrainska Pravda source in the Security Service of Ukraine (SSU) Details: The video...
  7. JamiiForums Tanzania Naombeni kazi wakuu hali ni mbaya

    Habari zenu wakuu, Hope ni wazima otherwise Allah awafanyie wepesi. Lengo la uzi huu ni kuomba kazi, kibarua au shughuli yoyote halali itayoniingizia kipato. Nina umri wa miaka 27, nina elimu ya Diploma ya Information Technology ila sijabahatika kupata hata kazi ya kujitolea (mimi ni kati ya...
  8. JamiiForums Tanzania Kilimanjaro: Naomba tumsaidie Mwanafunzi Sifika Daniely Ruben apate haki yake na arudi shule

    Mh Waziri wa Elimu Prof Adolf Mkenda okoa mstakabali wa maisha ya binti huyu. "Kaka Yericko pole na Majukumu, Naomba kaka nisaidie, mtoto huyu kwenye picha anaitwa SIFIKA DANIELY RUBEN, naomba apate Haki zake, Ipo hivi kaka, Nilikuwa natafuta binti wa kazi za ndani, Nikapata binti kutoka...
  9. JamiiForums Tanzania Zanzibar: Freeman Mbowe ashiriki Kikao cha Faragha cha Wakuu wa Vyama vya siasa

    Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba; Mwamba wa Siasa za Tanzania, ambaye anatajwa kuushikilia Mustakabhali wa Tanzania kwenye kiganja cha mkono wake wa kushoto, Freeman Mbowe, amehudhuria mkutano wa Faragha wa Wakuu wa Vyama vya Siasa unaofanyika Nchini Zanzibar. Taarifa zinaonyesha kwamba...
  10. JamiiForums Tanzania Tuhudhurieni ibada wakuu

    Huyu ni pastor wa kike kule Nairobi Kenya akiendelea na huduma za uinjilisti.
  11. JamiiForums Tanzania Mbeya: Walimu Wakuu Watano wasimamishwa kazi

    Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Juma Homera amewasimamisha kazi watumishi nane katika Halmashauri ya Wilaya ya Kyela wakiwepo walimu wakuu watano, wahandisi wawili na ofisa manunuzi na kuagiza Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) kufanya uchunguzi. Homera amefikia uamuzi huo jana...
  12. JamiiForums Tanzania Nimegombana na waifu kwasababu ya Mudi: Naombeni ushauri wakuu

    ...... ......... ............ Hiyo nafasi nilio acha hapo juu ni kwaajili ya salam. Ipo hivi..... Jana wakati tunatoka shambani kidogo niliona mabadiliko kutoka kwa mamaenu (waifu). Alikua mtu mwenye hasira sana, basi nikamuuliza kipenzi changu kulukoni...?? Akanijibu kwamba hawezi akawa na...
  13. JamiiForums Tanzania Msaada katika ku-confirm kozi kati ya programu hizi

    Habari zenu wakuu, Nahitaji msaada niconfirm kozi ipi kati ya hizi ambazo nimechaguliwa katika second selection. Kozi zenyewe ni Bsc in Environmental health science-RUCU, Bsc in Agriculture in general-SUA na Bsc in Laboratory Science and Technology-MUST. Naomba ushauri uangalie zaidi kuhusu...
  14. JamiiForums Tanzania Wakuu ipi dawa nzuri ya kupunguza Asidi tumboni?

    Maana tumbo linauma sana nateseka
  15. Z

    JamiiForums Tanzania Msaada: Anayefahamu Taasisi ya British Contact limited lipo Sinza, linajihusisha na nini?

    Wakuu naomba kuuliza anaefahamu fika hili shirika/taasisi ya British contact limited lipo sinza. Je, linajihusisha na nini haswa? Na je mishahara kwao ni uhakika?
  16. K

    JamiiForums Tanzania UFISADI: Angela Kizigha, Abdluhalim Hafidh na Hamad Masauni katika kashfa nzito

    WADAIWA KUSHIRIKIANA NA KAMPUNI YA DAISY GENERAL TRADERS KUKWAPUA MABILIONI FEDHA TOKA BANK KUU (BoT) 4/9/2023: 21:30 HRS Western Indiana. Taarifa za ndani zinatujuza kama ifuatavyo. Genge la walafi na wakwapuaji Fedha za walipa kodi likiongozwa na Angela Kiziga, Abdluhalim Hafidh Ameir na...
  17. JamiiForums Tanzania Wakuu msaada sehemu ya kuwapeleka wageni wangu Moshi

    Habari wadau, Nina wageni wangu (wanawake wanne from Europe) wapo Kwa project Yao Sasa inabidi niende nao Moshi na wao wananitegemea Mimi kuwatembeza kibudget( ni wanafunzi wa chuo). Naomba ushauri kuhusu nightlife ya Moshi,sehemu gani wazungu wangefurahia kutembea usiku,pia na vivutio vya...
  18. JamiiForums Tanzania Chain ni wapi wakuu

    Nimenunua Mouse, imeandikwa Made in Chian, sijui kama wamemaanisha China lakini pia sijui kama ni China imetengeneza China kweli au Kariakoo. Ila inapiga kazi.
  19. A

    JamiiForums Tanzania Naombeni msaada wakuu.

    Habari Wana bodi natumia wote ni wazima wa afya. Wakuu Ilikuwa kama mwezi mmoja nyuma nilianza kupata maumivu chini ya mbavu upande wa kulia, hali hiyo ili endelea ndani ya wiki mbili, baada ya hapo yaka potea. Cha ajabu Toka siku ya juzi maumivu Yale yameanza upya, pamoja na homa. Leo...
  20. L

    JamiiForums Tanzania Wakuu, naomba akili ya biashara, pesa ninayo na sijui Cha kuifanyia

    Wakuu, naomba akili ya biashara,pesa ninayo na sijui Cha kuifanyia.(nimebet nimepiga mpunga) Location: Lindi In cash: Mil 3
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…