wakuu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Hakuna pesa rahisi wakuu

    Wakuu habari Zenu Dah wimbi kubwa la vijana tumekuwa tunapenda matokeo ya haraka sanaaa yaan boom baah 💥 Manoti hayooo Hii kitu inapelekea baadhi ya vijana 😂 kutumia fursa hii ya vijana tupendao matokeo overnight kupiga pesa Wanafungua platform wanaipromote mitandaon kwamba ukijiunga...
  2. E

    JamiiForums Tanzania Ndani ya miaka 10, Mawaziri wakuu 6 wa Uingereza wamejiuzulu

    Wakati Waziri Mkuu wa Uingereza, Keir Starmer akijiuzulu leo Juni 22, 2026, historia inaonyesha kwa miaka 10, wameshajiuzulu mawaziri sita. Tatizo ni kwamba mfumo wa kisiasa wa Uingereza unafanya Waziri Mkuu abaki madarakani tu ikiwa anaungwa mkono na chama chake na anaweza kuongoza serikali...
  3. JamiiForums Tanzania Wakuu kuna dawa gani ya kienyeji ya koo linalouma? Hospitalini napewa tu brufen na anti-biotics ila wapi

    Wakuu kuna dawa gani ya kienyeji ya koo linalouma? Hospitalini napewa tu brufen na anti-biotics ila wapi Karibuni
  4. JamiiForums Tanzania Report ya ubakaji nchini UK ilitoka na kuonesha wasichana 250,000 kama wahanga huku watuhumiwa wakuu ni wahamiaji kutoka pakistan na uarabuni

    RAPE GANG INQUIRY:https://t.co/EuKgGWBRhS Uingereza walijifanya sana kuwa na ubinadamu kuzidi watu wengine, wakawapokea wahamiaji kiholela kutoka nchi za kikobazi, kilichofatia ni UK kuwa kitovu cha magenge ya ubakaj na grooming barani ulaya.
  5. A

    JamiiForums Tanzania Mawazo yenu wakuu

    Natumai ni wazima wakuu zangu Ni siku mpya tumeweza kupata zawadi ya uhai na uzima, ni jambo la kumshukuru Mwenyezi Mungu ambaye ndio mpaji wa vyote. Kuna wagonjwa mahospital, wafungwa magereza, vita, majanga ya asili, vifo nk.. ukiona umeamka huna changamoto hizo, inakupasa kushukuru sana...
  6. O

    JamiiForums Tanzania Wakuu msaada tutani kuhusu video downloader

    Wakuu naombeni msaada wa video downloader ambayo isio ya kulipia maana nimejaribu kulipia snapany inakuwa inakataa ...ningefurahi zaidi kupata ya ku copy na ku paste link .... shukrani
  7. N

    JamiiForums Tanzania Wakuu mliofanikiwa tupeni dira madogo zenu

    Kwako wewe uliyefanikiwa labda kupata ndoa bora,kupata maisha mazuri,kufanikiwa kupata kazi nzuri, kufanikiwa kuwa na biashala, kufanikiwa kuwa na gari nzuri na hata namna ya kuishi n.k ebu tunaomba mtupe mawaidha madogo zenu nini tufanye na nini tuache ili tufikie na sisi level zenu, maana...
  8. W

    JamiiForums Tanzania Wakuu kuna tofauti kati ya 'Sphaghetti' na tambi. Mpaka sasa wewe unazifahamu ngapi?

  9. A

    JamiiForums Tanzania KERO Wakuu wa Idara wa Shule za Msingi - Mbulu DC (Manyara) wanatulazimisha kufundisha vipindi vya jioni bila ridhaa yetu

    Kwa niaba ya wenzangu, naomba msaada wenu kuhusu changamoto tunazokutana nazo katika shule za msingi Wilaya ya Mbulu DC. Wakuu wetu wa shule wamekuwa wakitunyanyasa kwa kutulazimisha kufundisha vipindi vya jioni bila ridhaa yetu. Aidha, tunatishiwa kuchukuliwa hatua za kinidhamu na viongozi wa...
  10. JamiiForums Tanzania Computer4Sale Laptop inauzwa, nimepunguza bei wakuu, karibuni sana , nimerudi tena Viongozi

    Imeuzwa
  11. JamiiForums Tanzania Wakuu, ipeni marks hii hadithi.

    Wale mpendao Hadithi za Ujasusi, mnasemaje?
  12. JamiiForums Tanzania Juma Mkomi: Kuzuia barua za uhamisho wa Mtumishi ni uhalifu, Hilo si jukumu la Wakurugenzi na Wakuu wa Taasisi

    Katibu Mkuu wa Ofisi ya Rais – Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Juma Mkomi, amewataka Wakuu wa Taasisi na Wakurugenzi kuacha kuzuia barua za uhamisho wa watumishi wa umma, akieleza kuwa kufanya hivyo ni kosa linalokiuka taratibu za utumishi wa umma, amesungumza hayo Mei 26, 2026...
  13. JamiiForums Tanzania Wakuu naombeni msaada, hii ndoto ina maana gani?

    Wakuu salaam! Naota nakutana sana na huyu rafiki yangu aliyefariki mwaka 2018 ,si mara moja Wala mara mbili ni mara ya nne sasa na yote ni huu mwaka tu. Naota shule imefungua tumekutana tena namuuliza 'mbona ulikua hunitafuti likizo ? na yeye aniuliza mbona na wewe ulikua hunitafuti?' basi...
  14. JamiiForums Tanzania Wakuu wa tawi la kijeshi la Hamas walioangamizwa na Majeshi ya Israel mpaka leo!!

    Wakuu wa tawi la kijeshi la Hamas waliokaa kwa miaka ming na siku chache!!! Orodha hii aione Bumunda zitto junior 1. Salah Shehadeh, mwanzilishi wa tawi la kijeshi la Hamas na kamanda wake wa kwanza kuanzia 1991 hadi kuangamizwa kwake Julai 23, 2002 katika shambulio la Israeli. Alihudumu...
  15. JamiiForums Tanzania Wakuu naombeni kazi Niko mwanza mkoleni.

    Wakuu naombeni kazi yoyote hata saidia fundi. Au kama Kuna mtu anajua kazi za day zinapopatikana naomba anielekeze. Namba yangu ni 0790601629. Asante.
  16. JamiiForums Tanzania Unapopoteza hukumu unafanyaje wakuu

    Habari wote Kuna dogo katoka kuchukua hukumu akapoteza maeneo ya Mbezi. Hukumu hii ilikuwa kumwondoa msimamizi wao wa mirathi. Baada ya kupiga nkamwomba anipe mda nijee jukwaani kwan kuna procedure gani za kufanya. Baada ya kupotexa alimpigia hakimu akamwambia inabidiii arudi tena Mbeya...
  17. JamiiForums Tanzania Wakuu wa taasisi za ulinzi na usalama Wajiuzulu ili Tume jinai iwe huru

    Kama kweli tuna nia ya dhati ya tume kufanya kazi zake, basi tufuate misingi ya haki. Taasisi ya Rais kuunda tume ya kuchunguza Jinai, ina maana ya Wakuu wote wa taasisi za ulinzi, usalama wanatakiwa kujiuzulu kwa hiyari kabla tume haijaanza kazi. Ni kanuni za Utawala bora wala si hiyari. Ndio...
  18. F

    JamiiForums Tanzania Ushauri wenu wakuu

    Habari za asubuhi JF members. Nisiwachoche, niende moja kwa moja kwenye hoja. November mwaka jana (2025), niliomba kazi Ajira Portal kwa mara yangu ya kwanza. Kazi niliyoomba ni REGISTRATION OFFICER II - NIDA. Nilikuwa naisubiria anzia January mwaka huu hola hadi kufikia ijumaa iliyopita ndio...
  19. A

    JamiiForums Tanzania Hii ni kitu gani wakuu?

    Habari wana jamvi, Takribani wiki mbili zilizopita nilikuwa nasumbuliwa na muwasho sehemu za siri; dhakari, maliwato na sehemu katikati ya mapaja na mbupu. Sikuota vipele isipokuwa tu sehemu ya kichwa cha dhakari ndio nilikuwa na vipele viwili tu ambavyo haviwashi wala kutoa uchafu. Nikajaribu...
  20. R

    JamiiForums Tanzania Hapa nifanyaje wakuu

    Mimi ni kijana wa miaka 29, baada ya kumaliza chuo nilipata intern ya kilimo ulaya mwaka 2023_2024 Baada ya kukamilisha nilirudi Tanzania kuendelea na maisha Sasa katika kupambana ninaye jamaa yangu tuliokuwa naye abroad wote akanishirikisha kuna fursa zingine za kwenda nchini canada yakuwa ni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…