wakuu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    JamiiForums Tanzania Nikiwa na njaa tumbo linauma na kuwaka moto nakuwa mgonjwa ghafla. Msaada wakuu

    Nahisi hamjambo Shidayangu nataka mniambie nifanyeje ili tatizolangu liishe kabisa nikiwa na njaa tumbo linauma na kuwaka moto nakuwa mgonjwa ghafla.nikila tu kama dakika tano maumivu yote yanapotea kabisa nakuwa na furaha Hii hali imenifanya niwe nakula sana nimekuwa mnene wakati mwili wangu...
  2. JamiiForums Tanzania Wakuu..... Eti hapa nimekosea nimemjibu sahihi huyu mlokole wangu?

    Kaniuliza kwamba..... Kati ya sim na biblia, ilitokea vimeanguka kwa pamoja... nitawahi kudaka nini?? Mie nimemjibu, nitaiwahi sim na kuacha biblia ianguke. Yeye akaniuliza.... kwanini sio niwahi kwanza biblia? Nikamjibu tena kwamba..... biblia hata ikianguka, neno la Mungu haliwezi vunjika....🀭...
  3. JamiiForums Tanzania Nimechoka kujifanya wakishua, napuliza dawa majumbani maofsini nk, pliz tuwasiliane wakuu

    Wakuu maisha ya kuvaa cheni Kali raba Kali wazee wa t-shirt na jeans hapana Kwa kweli umri unaenda, nataka kuoa soon inshaallah, hivo nawaomba sana sana sana, ndugu zangu NAPULIZA DAWA MAJUMBANI ya kuua wadudu watambao na warukao pliz nipeni kazi wakuuπŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸš΄πŸš΄πŸš΄
  4. JamiiForums Tanzania Ushauri wa haraka unahitajika wakuu

    Salamu wakuu na poleni na majukumu Bila kupoteza muda kuna mdau anaomba ushauri Ipo hv kijana alianza maisha DSM akabahatika kuanzisha mahusiano na binti mmoja japo hawakuwahi kuishi wote wawili ila alimpa ujauzito na binti alienda kwao na kuendelea kulea mimba (pekee yake) Na muda ulipita na...
  5. JamiiForums Tanzania Msaada wakuu kuhisu shule ua HIV and AIDS

    Habari wakuu. Poleni kwa kuwashtua. Poleni kwa Kuwapa tension. Kuna Bonge la Uzi niliwahi kusoma Mwaka 2020 miaka Takriban 7 Iliyopita. UZI ULIKUWA UNAELEZEA KWA UNDANI MNO KUHUSU HUU HISTORJA YA UGONJWA, KISAYANSI, KIRUSI CHAKE KILIVYO, NA MTAALAM AKAISHIA KUSEMA HIV SIO UGONJWA NI ...
  6. JamiiForums Tanzania Nina jamaa yangu tangu nimjue hajawahi kuwahi tukikutana. Hii inasababishwa na nini wakuu?

    Always mimi ndo nawahi Nimeshamwambia sana kuhusu ila hanielewi Kama tukisema tunakutana saa 9 mtu anakuja saa kumi na nusu. Kila ukimuuliza anasema kuna foleni Kwani sisi wengine hatuna foleni. Kuna siku nilimwambia nimefika ili awahi, ingawa nilikuwa bado sijatoka. Akasema yuko njiani...
  7. JamiiForums Tanzania Wakuu, nimekuta lugha mbofu mbofu kunako PM yangu, angalia. πŸ‘‡

    Hii ni gani wajameni, mbona hii πŸ‘‡ lugha haisomeki?
  8. B

    JamiiForums Tanzania SAMIA KUHUDHURIA Mkutano wa 46 WA SADC wa Kawaida wa Wakuu wa Nchi na Serikali huko Durban, Afrika Kusini, tarehe 17 Agosti 2026

    Durban, South Africa SAMIA KUHUDHURIA Mkutano wa 46 WA SADC wa Kawaida wa Wakuu wa Nchi na Serikali huko Durban, Afrika Kusini, tarehe 17 Agosti 2026 Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) itaitisha Mkutano wake wa Kawaida wa 46 wa Wakuu wa Nchi na Serikali mnamo tarehe 17 Agosti 2026...
  9. JamiiForums Tanzania Wakuu wa JF, naomba dakika chache za muda wenu

    Wakuu wa JF, naomba dakika chache za muda wenu. Leo naandika kwa unyenyekevu nikitumaini nitapata mtu wa kuniamini na kunipa nafasi ya kuanza upya. Habari zenu wakuu. Kwa kweli nimefikiria sana kabla ya kuandika uzi huu. Najua humu kuna watu waliowahi kusaidia lakini wakaja kukutana na...
  10. JamiiForums Tanzania JE HII KWELI WAKUU?

    Kuna hii kampuni inajiita adsblog unatumia link unajiunga lakn Kuna fee 14,500. Kazi Yako ni kufundisha wageni kiswahili online. Kuna aliyewahi kusikia kuhusu hl au utapeli?
  11. JamiiForums Tanzania Habari za siku nyingi wakuu

    Habari za sku nyingi wakuu
  12. K

    JamiiForums Tanzania Wakuu vyama vilivyoshiriki na kupongeza uchaguzi vina haki ya kushiriki maridhiano?

    Wadau kama heading inavyoeleza, je vyama vilivyoshiriki uchaguzi vina haki ya kushiriki maridhiano?
  13. JamiiForums Tanzania Ni Hatari Wakuu sikiliza hii Video

    Hellow wana JF. Nimeweka video hapo chini.πŸ‘‡πŸ‘‡ Watu wanamaumivu makali, watu wanauchungu mkubwa, watu wamekata tamaa kabisa, watu wamechanganyikiwa, watu wana vidonda vya moyo visivyo kauka, watu wana msongo wa mawazo, watu wameingiwa na ushangingi wakudumu. Ila Ninacho hitaji kusema hapa...
  14. A

    JamiiForums Tanzania Forex inataka niua

    Habari wana jamvi, Mimi ni kijana mwenye miaka (27) nlikua vizuri tangu nmehitimu chuo nlikua natrade forex ,kwa miaka mitatu sasa , ila upepo umejigeuka nmepata hasara kubwa ,na sasa Nina tapatap yaani kiufupi sina mwelekeo isitoshe nlipanga nioe mwaka huu, Naona kama ndoto zangu zimekatika...
  15. JamiiForums Tanzania Wakuu mnaikumbuka hii siku?

  16. JamiiForums Tanzania Wakuu mliofanikiwa naombeni mnipe darasa

    Mimi ni mchuuzi ila ninaeajirika katika sekta zisizo za kielimu na kielimu pia, najiita hustler kwa maana kazi yoyote isiyotweza utu wangu napiga lengo kubwa ni kutoboa katika maisha kwa maana niweze kula vizuri, nisiwe na mawazo ya bill mbalimbali, nijenge bungalow lenye floor mbili na gari...
  17. JamiiForums Tanzania Karibuni Kwa Ushauri wenu wakuu Kwa Kwa kijana huyu.

    Kijana anataka kuwa vet (daktari wa wanyama) anataka kusoma bachelor of agriculture science halafu mwaka wa tatu achague livestock production, je baada ya hapo anaweza kutambuliwa kama daktari wa wanyama?
  18. JamiiForums Tanzania 20m itanifikisha wapi katika ujenzi wakuu?

    Habari marafiki. Mkononi nina kama 20M hivi, kuna kiwanja kama 25Γ—20 nimekipata Morogoro Road, eneo linaitwa Madafu, kwa 3M. Mkononi nitabakiwa na 17M. Je, wakuu, naweza kweli kujenga nyumba ya walau room 3 ikafika usawa wa lenta, au niendelee kusubiri kwanza?
  19. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kuchelewa kwa majibu ya vipimo vya Radiolojia katika Taasisi ya Mifupa Muhimbili (MOI)

    Wakuu, naomba mlifuatilie suala hili, mimi ni mgonjwa ninayepatiwa matibabu katika Taasisi ya Mifupa-MOI. Kuna changamoto kubwa katika idara ya Radiolojia, hasa kuhusu kuchelewa kwa majibu ya vipimo vya MRI na CT Scan. Wagonjwa hufanya vipimo lakini majibu huchukua muda mrefu kutoka, wakati...
  20. JamiiForums Tanzania Toa uthibitisho wowote kuwa wachina wanaroga na uchawi wao una mauza mauza ndio maana wamewashinda wale wachawi wakuu wa Kariakoo

    waafrika tunapenda kujitetea ili kufanya make up upumbavu wetu, kwa sababu unafanya ushirikina sasa unataka uhusishe na wengine ili usionekane fala. Mmezidiwa mamlaka, mmezidiwq akili, mmenunuliwa kwa pesa alafu mnataka kusema mchina ku-survive hapo kariakoo eti kwa sababu anachinja sana mbuzi😁...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…