wakulima

Alliance for Tanzania Farmers Party (AFP) is a political party in Tanzania.

View More On Wikipedia.org
  1. Equitable

    JamiiForums Tanzania Maporomoko bei ya mbaazi Wakulima walia na Samia

    Ni kilio kwa wakulima kuporomoka bei ya mbaazi. Mwaka jana kilo moja ilinunuliwa tsh 4000 ila leo 2025 ni tshs 800 .Yaani kutoka efu nne hadi Mia nane. Hii si kawaida kwa miaka ya uchaguzi. Pengine ni hujuma dhidi ya. CCM.
  2. CHASHA FARMING

    JamiiForums Tanzania Wakulima wa Kitanzania wanaweza shindana na hizi Foreign Stores/Masuper Market Ila Kabla ya hapo lazima tunondoe mentality za ujamaa Vichwani

    Super Market za local products/ ushirika. Kuna idea moja huwa naiwaza sana na inawezeka a ila shida kuu nchi imejaa watu wajinga ambao muda wote tunawaza negative tu, yaani hatuwazi wala kuhofia wageni wanao kuja kuchuma Tanzania, hapana tuna waza na kuhofia Wabongo wenzetu. Nchi hii ina...
  3. ngara23

    JamiiForums Tanzania Serikali imekatisha tamaa wakulima wa kahawa mkoa wa Kagera

    Serikali mmetufanyia dharau wakulima wa kahawa Mwaka Jana tuliuza kahawa bei ya 7000+ Kwa kilo Mwaka huu mmetoa bei elekezi ya kuanzia angalau sh 5500 Ila ajabu bei imeshuka Jana mnada bei imetoka sh 3000 na inasemekana bei utashuka zaidi Wanunuzi wengi wamesusa kununua kahawa, ikisemekana ni...
  4. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ayapaisha Mapato ya Korosho mara nne zaidi kufikia Trilioni 1.6 kutoka Billioni 452.5

    Ndugu zangu Watanzania, Kwa hakika Rais Samia ni Nyota ya Matumaini,ni daraja la matumaini. Ni ngazi ya wanyonge, ni tumaini la watanzania, ni faraja kwa watu. Ni kiongozi ambaye amekuja kuinua maisha ya watu ,kuondoa Umaskini wa watanzania,kuwapa tabasamu safu. Kugusa maisha ya watanzania na...
  5. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Morogoro: Wakulima wa ndizi walia na ugonjwa wa fungashada

    Uzalishaji wa zao la ndizi umeaanza kuathirika katika baadhi ya mashamba ya migomba katika Kata za manispaa ya Morogoro ikiwemo Kata ya Kauzeni na Mzinga kufuatia mashamba yao kuathiriwa na ugonjwa wa fungashada ya migomba kuanzia mwaka jana. Godfrey Yanda na Ally Kondo ni wakulima wa zao la...
  6. N

    JamiiForums Tanzania Hata vikundi vya Amcos watu wanapoelekezwa kuuza kahawa na wenyewe wanaibia wakulima

    Takribani yapata kama wiki 4 zilizopita nikaaamua kuwa mzalendo kupeleka kahawa zangu zilizokauka kwenye Amcos moja wapo wilayani Missenyi . Karani alinipokea vizur akanisajili kwenye mfumo baada ya hapo akapima kilo hamsini kwa kila mfuko nikapata mifuko zaidi ya minne .lakini cha ajabu...
  7. Top Gun

    JamiiForums Tanzania Wakulima wa JF. Nikianza na kuku jike 30 and majogoo 5 na mambo yakaenda vizuri, nitarajie kupata kuku wangapi na mayai kiasi gani kwa mwaka?

    KUKU NI WA KIENYEJI NIKO KANDA YA ZIWA. Sio vibaya pia tukapatiana hints za ufugaji. Karibuni
  8. 1Africa54

    JamiiForums Tanzania Wakulima debe la mpunga hutoa kilo ngapi za mchele?

    Wakulima debe la mpunga hutoa kilo ngapi za mchele? Apa nilipo debe la mpunga ni 15,000 nataka kujua hutoa kilo ngapi ili nijue gharama ipo wapi, mchele dukani kilo ni 2,400-2,600
  9. 1Africa54

    JamiiForums Tanzania Wakulima debe la mpunga hutoa kilo ngapi za mchele?

    Wakulima debe la mpunga hutoa kilo ngapi za mchele? Apa nilipo debe la mpunga ni 15,000 nataka kujua hutoa kilo ngapi ili nijue gharama ipo wapi, mchele dukani kilo ni 2,400-2,600
  10. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wakulima wadogo wa Kenya wakumbatia teknolojia ya kisasa ili kuongeza mavuno yao

    Magharibi mwa Kenya, mkulima wa mahindi Josephat Ouma alipitia kwenye safu za mabua ya kijani akiwa na simu yake janja mkononi. Alisita na kuinama kabla ya kupiga picha ya jani lililokuwa linaonekana kupatwa ugonjwa. "Zamani nilikuwa nikisubiri mtu aje kusaidia. Tena baadhi ya wakati alikuwa...
  11. I

    JamiiForums Tanzania Mnyonge mnyongeeni, haki yake mpeni- kwa mafanikio haya, Rais Samia umetutendea haki wakulima

    Katika zama ambapo kilimo kilionekana kama kazi ya kizamani isiyo na tija, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, amekuja na mtazamo mpya, ambao umegeuza kilimo kuwa fursa muhimu ya kibiashara. Sauti za wakulima ambazo kwa muda mrefu zilisikika kama kilio kisicho...
  12. msuyaeric

    JamiiForums Tanzania Mnyonge mnyongeni - Kwa mafanikio haya, Rais Samia umetutendea haki wakulima

    Na, Kalamu ya Jenerali, Mbalali Katika zama ambapo kilimo kilionekana kama kazi ya kizamani isiyo na tija, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, amekuja na mtazamo mpya, ambao umegeuza kilimo kuwa fursa muhimu ya kibiashara. Sauti za wakulima ambazo kwa muda...
  13. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Edwin Swalle Asema Utekelezaji wa Bajeti ya Kilimo Utakuwa Faraja kwa Wakulima

    MBUNGE EDWIN SWALLE ASEMA UTEKELEZAJI WA BAJETI YA KILIMO UTAKUWA FARAJA KWA WAKULIMA Mbunge wa jimbo la Lupembe Edwin Swalle amesema kuwa utekelezaji wa bajeti ya kilimo ukienda vyema utakuwa tiba na faraja kwa wakulima ambao kwa kipindi kirefu wamekuwa wakikabiliwa na changamoto mbalimbali...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Wakulima Maswa watakiwa kulima zao la alizeti kwa ubora

    WAKULIMA wa zao la alizeti wametakiwa kuzingatia viwango vya ubora wa uzalishaji ili kuongeza thamani ya mazao yao na kuvutia masoko ya ndani na nje ya nchi. Afisa kilimo wa wilaya ya Maswa,Masalu Lusana amesema hayo Mei 7,2025 wakati wa mafunzo ya kilimo bora kwa wakulima wa alizeti...
  15. Mpepetaji

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Chama cha siasa cha Wakulima (AAFP) chamteua rasmi kada wake, Kunje Ngombale-Mwiru kuwa mgombea wa urais

    Chama cha siasa cha Wakulima (AAFP) leo kimemteua rasmi kada wake, Kunje Ngombale-Mwiru kuwa mgombea wa urais atakayewakilisha chama hicho katika uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba, mwaka huu. Hata hivyo, chama hicho kimeshindwa kumpata mgombea urais upande wa Zanzibar baada ya...
  16. J

    JamiiForums Tanzania Wakulima wa Vitunguu

    Nina swali kutoka dadangu in Kenya, hivi mumeanza kuvuna.
  17. I

    JamiiForums Tanzania Rais Samia na mageuzi ya kilimo, benki mpya kwa wakulima

    Katika uongozi wake, Rais Samia Suluhu Hassan ameweka mkazo mkubwa kwenye kuimarisha sekta ya kilimo (sekta inayoajiri 60% ya watanzania), hatua inayojenga msingi wa maendeleo jumuishi ya taifa. Tathmini ya sera, mikakati na hatua zilizochukuliwa zinaonyesha mwelekeo mzuri wa kulibadilisha...
  18. Imani rubaba

    JamiiForums Tanzania Habari Njema kwa Wakulima, Wafugaji na Wadau wa Kilimo!

    Tatizo la soko sasa limepata suluhisho rahisi na la moja kwa moja! Sasa kupitia Blog yetu ya Tanzania na Kilimo 👉 TANZANIA NA KILIMO Unaweza kUUZA au kUNUNUA bidhaa na zana mbalimbali za kilimo na ufugaji bila kutumia dalali! Faida za kutumia Soko letu: Mteja atakupigia moja kwa moja – hakuna...
  19. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Waziri Bashe aonya Halmashauri kutoziweka tozo kandamizi kwa wakulima wa Parachichi

    Waziri wa Kilimo, Mhe. Hussein Bashe (MB),akizisisitiza Halmashauri kuhakikisha kuwa tozo zinazowekwa kwenya zao la Parachichi haziwakandamizi wakulima. Bashe ameeleza hayo katika Mkutano Mkuu wa Parachichi uliofanyika hivi karibuni wa wadau mbalimbali wa sekta ya kilimo wakiwemo wakulima...
  20. ngara23

    JamiiForums Tanzania Muda wa wakulima kutajirika umewadia

    Hali ya hewa ya ukame inashawishi kuwa kufika mwezi June kutakuwa na upungufu wa chakula Wakulima wenye nafaka tutakula kuku Kwa mrija😄 Vijana mawinga na wengine wanaojifanya wa mjini njaa zitawauma na chakula mtanunua tu, Nilileta Uzi hapa nikitafuta wateja wa mahindi Nina zaidi ya Tani 10...
Back
Top Bottom