wakulima

Alliance for Tanzania Farmers Party (AFP) is a political party in Tanzania.

View More On Wikipedia.org
  1. Vivax

    JamiiForums Tanzania Tetesi: UGOMVI WA WAFUGAJI NA WAKULIMA

    Kuna tetesi za Mkulima wa mswiswi Mbarali kuuawa Kikatili na Wafugaji, kisha wakulima nao kuua Ngombe wengi Kikatili kulipiza kisasi.
  2. R

    JamiiForums Tanzania Nauza mbolea ya kukù

    Jamani Wana JM.na wakulima woote. Mm kijana mwenzenu nauza mbolea ya kuku, IPO NYINGI sana Yani NYINGI sana. Ɓei yake ni 1000 lakini ukija na kiroba chako napunguza bei. Napatikana mbezi Luis (Makabe) karibuni sana...
  3. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    JamiiForums Tanzania Hivi wakulima waliikosea nini nchi hii? Ni watu wanaoonekana hawana thamani hata kidogo!

    Mkulima wa Tanzania ni mtu asie thaminiwa kabisa hata kidogo. Hii imefanya kuonekana kilimo hakika tija. Hata umshauri kijana akitoka SUA ajikite kwenye kilimo Bado hata kuelewa. Hapa kitaa kuna jamaa yetu baada ya kutoka SUA Moja kwa Moja, alianza kujifunza kunyoa na baada ya kujua Leo hii ana...
  4. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Haya sasa Wakulima wa Mchele Tanzania Kazi Kwenu kwani Wanyarwanda wanavutiwa na Mchele wenu kuliko wa Kwao kutoka Bugarama

    Na hawajaishia tu Kuupenda bali wameenda mbali zaidi na kusema kuwa pia unapatikana kwa Gharama nafuu mno. Chanzo Taarifa: BBC Dira ya Dunia hivi punde tu. Ngoja nami sasa nipate Elimu ya Kilimo kidogo ili nijaribu hili Zao kwani nasikia Mchele wa Tanzania unapendwa EAC.
  5. N

    JamiiForums Tanzania Wakulima wa miwa kilombero kunufaika na ubunifu kupitia maonesho ya teknolojia wilayani humo

    Wakulima wa miwa wa bonde la Kilombero wanatarajiwa kunufaika na ubunifu sambamba na teknolojia za kisasa za kilimo zitakazooneshwa kupitia maonesho ya siku ya wakulima wa miwa Kilombero, yatakayofanyika kuanzia tarehe 10 hadi 12 Oktoba 2024. Maonesho haya ya siku tatu yanaungwa mkono na...
  6. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania KERO Kijiji cha Luganga, Viboko na Tembo wanaingia mashambani na kuharibu mazao

    Wakulima wa Kijiji cha Luganga Kata ya Ilolo Mpya Halmashauri ya Wilaya ya Iringa wameilalamikia serikali kwa kushindwa kuwaondoa wanyama pori, Viboko na Tembo ambao wanaingia katika eneo la mazao yao na kufanya uharibifu hivyo kusababisha hasara kwa wakulima. Wakulima wamesema kuwa wametoa...
  7. Pfizer

    JamiiForums Tanzania TCB kuendelea kuunga mkono juhudi za serikali kuwawezesha wakulima wadogo na wa kati kupata mikopo

    TCB KUENDELEA KUUNGA MKONO JUHUDI ZA SERIKALI KUWAWEZESHA WAKULIMA WADOGO NA WA KATI KUPATA MIKOPO Benki ya Biashara ya Tanzania (TCB) imesema itaendelea kuunga mkono juhudi za serikali ya awamu ya sita chini ya Mh. Dkt. Rais Samia Suluhu Hassan, kwa kuhakikisha inawawezesha wakulima wadogo na...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Wakulima Wenzangu, hapa ulipo bei ya mahindi na maharage kwa gunia la kilo 100 ni shilingi ngapi?

    Wapambanaj wenzangu wakilimo hapa ulipo bei ya mahindi na maharage kwa gunia la kilo 100 ni shilingi ngap
  9. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Maandalizi ya mkutano wa wafanyabiashara wa mifugo, kilimo wa tanzania na comoro yakamilika

    Maandalizi ya Mkutano wa Wafanyabiashara wa Mifugo, Kilimo wa Tanzania na Comoro yakamilika Balozi wa Tanzania nchini Comoro, Mhe. Saidi Yakubu, amekutana na kufanya mazungumzo na Rais wa Jumuiya ya Wakulima, Wavuvi na Sanaa wa Comoro Mhe. Abdillah M’Saidie ambaye amemueleza kuwa wamekamilisha...
  10. Bushmamy

    JamiiForums Tanzania Wakulima kanda ya kaskazini wahofia njaa baada ya kupata mavuno haba

    Wakulima kanda ya kaskazini wahofia njaa baada ya kupata mavuno hafifu kwa kile wanachodai mvua kukata mapema mwaka huu. Baadhi ya wakulima kutoka katika mikoa ya kilimanjaro ,manyara wamesema ni kweli mvua zilikuwa nyingi sana mwaka huu LakinI pia ziliwahi kukata kabla ya mazao Kufikia stage...
  11. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Ukosefu wa mitambo ya uchakataji Mkonge yatajwa kuwa ni chagamoto kubwa kwa wakulima

    Changamoto ya uhaba wa mashine za kuchakata Mkonge (korona) inayowakabili wakulima katika maeneo yao inatarajiwa kuwa historia hatua itakayochochea ongezeko la uzalishaji wa zao hilo. Hatua hiyo imetokana na ziara ya Wajumbe wa Bodi ya Wakurugenzi wa Bodi ya Mkonge Tanzania (TSB), ambao...
  12. STUKA M1

    JamiiForums Tanzania NFRA wanachelewesha malipo ya mauzo ya mahindi kwa wakulima

    Ndugu Watanzania, ikimbukwe kuwa mwezi July serikali ilitangaza kununua Mahindi kwa wakulima kupitia wakala wa hifadhi ya chakula "NFRA" ila kitu kinachoshangaza na kustaajabisha ni kuwa malipo yanachelewa sana, wakulima wanakaa zaidi ya wiki tatu hali ya kuwa fedha zilishatengwa tayari...
  13. A

    JamiiForums Tanzania KERO Serikali isikie kilio cha wakulima wa zao la Mahindi wa Nyanda za Juu Kusini

    Naomba Serikali isikie kilio chetu sisi wakulima wa zao la Mahindi Nchini hasa nyanda za juu kusini mikoa ya Rukwa, Njombe, Ruvuma. Bei ya mahindi bado ni ya chini mtaani (350-420)ukiacha bei ambayo Serikali wananunua (700) kwa kilo. Hoja ni kwamba serikali inanunua Tsh. 700 kilo lakini...
  14. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ameagiza Wizara ya Kilimo kuisimamia kwa ukaribu Sekta ya Ushirika

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ameagiza Wizara ya Kilimo kuisimamia kwa ukaribu Sekta ya Ushirika ili uwekezaji unaofanywa na Serikali kwenye sekta ya kilimo, mifugo na uvuvi uweze kufanywa na Vyama vya Ushirika. Rais Samia ametoa agizo hilo leo katika kikao na...
  15. Mgeni wa Jiji

    JamiiForums Tanzania TAFAKARI: Sikukuu ya wakulima 8/8 kufunikwa na mechi kati ya Simba na Yanga, je Watanzania wa leo hawahitaji tena kilimo?

    Wasalaam JF Nimejaribu kufuatilia vituo vingi vya habari na hata mazungumzo ya baadhi ya maeneo niliyopo na kushtushwa na kupotea kwa umaarufu ya sikukuu ya wakulima 8/8. Katika fuatiloa yangu nimegundua kuwa mechi ya juzi ya watani wa jadi ni kama nayo imepigilia msumari wamoto kwenye...
  16. N

    JamiiForums Tanzania Kampuni ya sukari kilombero yawataka wakulima kuchangamkia fursa ya upanuzi wa kiwanda cha k4 katika tamasha la nane nane

    Dodoma, Tanzania – Agosti 08, 2024 – Kampuni ya Sukari ya Kilombero imeshiriki katika Tamasha la mwaka huu la Nane Nane, lililofanyika kuanzia Agosti 1 hadi 8 katika mikoa ya Dodoma na Morogoro. Siku ya Nane nane ni fursa kwa Kampuni hiyo kutoa elimu na kushirikiana na wakulima kwa kuonesha...
  17. realMamy

    JamiiForums Tanzania Neema yawashukia wakulima

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania amesema serikali inatambua umuhimu wa wakulima nchini katika kuisaidia nchi kuwa na chakula cha kutosha. Rais Samia ameeleza hayo Jijini Dodoma wakati wa Kilele cha Maonesho ya NaneNane. Amesema ndio maana serikali imeamua kujenga Viwanda ikiwamo cha...
  18. Mfilipi WaTanzania

    JamiiForums Tanzania Hatuwatendei haki wakulima hata kidogo

  19. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Leo ni 8/8 Sikukuu ya Wakulima Tanzania, una ujumbe gani kwa Wakulima?

    Sikukuu ya wakulima inayofahamika kuwa Nanenane ina sherekewa nchini kote tarehe 8 Agosti kila mwaka. Sherehe hiyo inatayarishwa na kuratibiwa na Wizara ya Kilimo kwa kushirikiana na Shirika la Chama cha Kilimo Tanzania (TASO) na kuhusisha Taasisi, Wizara na mtu mmoja mmoja wanaoshughulika na...
  20. Inside10

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wakulima wa korosho kumchangia Rais Samia pesa ya form urais 2025

    Vyama vikuu sita (6) vya wakulima wa mikoa minne (4) inayolima Korosho kwa wingi hapa nchini wamesema wanatarajia kutoa shilingi milioni 11 ili kumchukulia fomu Rais Samia Suluhu Hassan ya kugombea nafasi ya URais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika...
Back
Top Bottom