mbaazi walipiga 4000 mwaka jana? --- hii 800 mnada wa mkoa gani?Ni kilio kwa wakulima kuporomoka bei ya mbaazi. Mwaka jana kilo moja ilinunuliwa tsh 4000 ila leo 2025 ni tshs 800 .Yaani kutoka efu nne hadi Mia nane. Hii si kawaida kwa miaka ya uchaguzi. Pengine ni hujuma dhidi ya. CCM.
Ndiyo. Tena sana tuIngawa amekuwa si mzuri kwenye usimamizi, je Samia anahusika vipi na bei ya Mbaazi?
na kama alizipokea sifa -- inabidi apzipokee na lawama , mzani ubalanceHivi bei ya mazao anaamua rais au soko? Wale ambao walimsifu rais mwaka jana na wanao mlilia mwaka huu wote hakuna wanacho jua kuhusu biashara.
Kama walimsifia wakati Bei imepanda akubali na sifa Bei ikishukaIngawa amekuwa si mzuri kwenye usimamizi, je Samia anahusika vipi na bei ya Mbaazi?
Bei ya mazao haina uhusiano na uchaguzi,,,ni hali ya hewa na masoko.Ni kilio kwa wakulima kuporomoka bei ya mbaazi. Mwaka jana kilo moja ilinunuliwa tsh 4000 ila leo 2025 ni tshs 800 .Yaani kutoka efu nne hadi Mia nane. Hii si kawaida kwa miaka ya uchaguzi. Pengine ni hujuma dhidi ya. CCM.
Sijajua mkuuBei ya Mama au mabaya siyo yake?
BasheIngawa amekuwa si mzuri kwenye usimamizi, je Samia anahusika vipi na bei ya Mbaazi?
Amefanyaje?Bashe
Kabisa mkuuKama walimsifia wakati Bei imepanda akubali na sifa Bei ikishuka
Natumanini unafahamu utaratibu wa kununua Mbaazi?Ni kilio kwa wakulima kuporomoka bei ya mbaazi. Mwaka jana kilo moja ilinunuliwa tsh 4000 ila leo 2025 ni tshs 800 .Yaani kutoka efu nne hadi Mia nane. Hii si kawaida kwa miaka ya uchaguzi. Pengine ni hujuma dhidi ya. CCM.
HATUNA DENI NA WEWE ,WEWE NDIO UNATUDAINi kilio kwa wakulima kuporomoka bei ya mbaazi. Mwaka jana kilo moja ilinunuliwa tsh 4000 ila leo 2025 ni tshs 800 .Yaani kutoka efu nne hadi Mia nane. Hii si kawaida kwa miaka ya uchaguzi. Pengine ni hujuma dhidi ya. CCM.
hivi wewe unajua hata maana ya serikali na rais wa nchi? au umejaza viazi huko kichani na si ubongo? stupid[emoji34]Ingawa amekuwa si mzuri kwenye usimamizi, je Samia anahusika vipi na bei ya Mbaazi?
Mwaka jana tuliambiwa Samia ameleta bei kubwa ina maana mwaka huu hayupo?Soko