wakristo

  1. John Sin

    JamiiForums Tanzania Wakristo muwe na heshima aisee

    Habari za asubuhi Yani mtu unaenda kwa mtu tena leo Eid unanikutaka nimetulia naangalia vitasa marudio unachukua rimoti unaweka vipindi vya kikristo wachungaji na manabii feki toka saa 2 asubuhi hadi muda huu na hakuna dalili ya kuvibadilisha. Mimi mwenyew ni kobaz na hujanikuta nimeweka...
  2. KakaKiiza

    JamiiForums Tanzania Kwanini Israel haiwapendi wakristo wakati wenyewe wanaipenda Israel?

    Nimeshindwa kuelewa Wakristu wengi hata baadhi ya madhehebu wamekuwa wakinasibisha Israel kama njia yakwenda kwa Mungu hadi wengine Wameweka Bendera za Israel katika makanisa yao wengine wanatembe na bendera katika magari yao! Swali nini kinawafanya waipende Israel wakati wayahudi walimtesa...
  3. Wazolee

    JamiiForums Tanzania Wakristo wanawaita wayahudu makafiri na wayahudu wanawaita wakristo ni makafiri

    Kwa mujibu wa wakristo wayahudu ni makafiri Kwa sababu wamemkana Mungu wao Yesu Wayahudu Yesu hawafuati Maneno yake Wala hawamuamini tena wanamuita mtoto wa zinaa hivyo basi Myahudi yoyote mbele ya mkiristo ni kafiri kinyume na hapo basi wakristo hawajui wanachokifuata Wala wanacho kiamini Wala...
  4. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Wakristo na watu wa dini ya MNYAAZ tunaabudu mizimu.

    Tunakataa kufanya matambiko na kuabudu mizimu yetu ila tuko bize kuabudu mizimu ya kizungu na kiarabu. Hii sio sawa. Tujisahihishe.
  5. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    JamiiForums Tanzania Wakristo wenzangu, kwahiyo pamoja na kuwa na elimu zetu Bado tunaamini Nabii Yona alimezwa na nyangumi na akatapikwa akiwa Yu hai?

    Hapa sasa nakubaliana na Mzee Kikwete hasa aliposema Akili za kuambiwa changanya na zako. Inawezekana vipi mtu amezwe siku3 nzima mchana na usiku Kisha akatapikwe akiwa Yu hai? Haihitaji maelezo mengi sana naishia hapa ila Mimi pamoja na ukristo wangu nakiri wazi tulipigwa chumvi iliongezwa...
  6. P

    JamiiForums Tanzania Kwanini wakristo wakatoliki wanaungama dhambi kwa padri? AKA kuhani?

    Kwa miongo kadhaa, tumekubali uwongo eti kwamba kuomba msamaha wa kibinafsi na wa kimoyomoyo ndio kitu pekee ambacho Mungu anahitaji ili kufuta dhambi kubwa. Lakini Mungu wa Biblia hakuweka kamwe mfumo wa upatanisho usioonekana kabisa. Zaidi ya miaka elfu moja kabla ya Kristo, Mungu aliwaamuru...
  7. H

    JamiiForums Tanzania Wakristo Tumeonywa, Tusifunge Kwa Kujionesha kwa Watu, Wala Tusirarue Mavazi Yetu Bali Turarue Mioyo Yetu Iliyo na Dhambi.

    Kwa bahati mbaya, kumekuwa na mijadala mingi kuhusiana na kufunga, na hasa kwa sababu mwaka huu Kwaresma ya Wakristo imeangukia kipindi sawa na Ramadhani ya waislam. Mbaya zaidi mijadala imekuwa ya kejeli, kujionesha nani yupo sahihi, na nani hayupo sahihi. Siongelei funga ya waislam kwa sababu...
  8. comrade_kipepe

    JamiiForums Tanzania Kwenye hili wakristo mna la kujifunza

    Kuna jamaa muislamu kaoa ndoa moja simple sana yani, no mc, no mbwembwe! Wakati wa saa moja kasoro ile kufuturu jamaa kaoa hapohapo, watu wametulia kwenye mkeka na vikombe vya uji wanajitafunia zao maandazi, shekhe aliefungisha ndoa kapigwa buku 5 tu ya maji. Yani ndoa mpaka inakamilika...
  9. Beira Boy

    JamiiForums Tanzania Tuendelee kuuombea amani ulimwengu hasa wakristo na mashariki ya kati

    Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU Dunia kwa sasa si mahala salama kwa kuishi wakristo hili kila mtu anajuwa , basi tuwaombee sana wakristo wote hasa wa Nigeria, Lebanon, iran, mali, bukinafaso, na kwingine kote wanakowindwa na magaid ya kiislamu Lakini pia tuwaombee watu...
  10. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Wakristo na waislamu katika hili nani ni mkweli kati yenu?

    Wakristo wanasema Yesu alisulubiwa akafa akazikwa akafufuka akapaa mbinguni. Lakini Waislamu wanasema Yesu hakusulubiwa hakufa hivyo hakufufuka. Wakati waislamu wanasema Yesu si Mungu wala mwana wa Mungu wakristo wanaamini vinginevyo. Ukisikiliza stori zao kuhusu Ibrahimu Bado zinapishana...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Wayahudi ndio watu wanaoongoza kwa ukaidi hapa duniani licha ya kuwa Mungu alishawabainishia hoja zilizo wazi kabisa. Walimdai Musa awaoneshe Mungu

    Mayahudi ni moja ya jamii ya watu waliofadhiliwa sana na Mungu huko zamani kwasababu walipelekewa mitume mingi sana ila wengi wao waliwakanusha na hata kufikia kuwaua. Wakati Mtume Muhammad (sala na amani ziwe juu yake) alipohamia katika mji wa Madinah kutoka makkah alikuta jamii kubwa sana ya...
  12. Castle_Lite

    JamiiForums Tanzania Kibra ya Kwanza ni Yerusalem kwa Wayahudi na Wakristo - Quran

    Neno Hijra maana yake ni Kuhama au kuondoka sehemu moja na kwenda nyingine. Hijra ya Mtume Muhammad ya kutoka Makka kwenda Madina Ilitokea mwaka 622 BK. Mtume Muhammad alianza Uislamu Mwaka 610 BK. Akiwa na umri wa miaka 40 Huu ndio mwaka Wahyi wa kwanza ulimshukia Tukio lilitokea pangoni...
  13. Mafia Island Boy

    JamiiForums Tanzania Bwege: Wanachofanyiwa wakristo wangefanyiwa Waislam pasingekalika

    Mbunge wa zamani wa Kilwa Kusini, Suleman Bungara, 'Bwege' amesema kuwa kitendo cha kufunga makanisa au kushambuliwa kwa viongozi wa dini hiyo kitendo hicho wangefanyiwa dini ya Kiislam kusingekalika Bwege akizungumza na MwanaHALISI Digital alisema kuwa kitendo cha kufungia kingefanywa kwa...
  14. Pakome

    JamiiForums Tanzania Sielewi na wala sijui wanachogombania Wakristo na Waislamu

    Nadhani ni ukosefu wa uelewa Sielewi wanachogombania Wakristo na Waislamu ni kitu gani Kila siku kelele za Waislamu wamefanya hivi mara Wakristo wamefanya vile Tofauti ya hizi Dini ni Lugha na Utamaduni Zote zipo ndani ya dunia moja sijaona dunia mbili Mwenye hii dunia ni mmoja Dini hizi...
  15. H

    JamiiForums Tanzania Mbinu Chafu za Udini Dhidi ya Kanisa Katoliki, Kunazidisha Umoja wa Wakristo

    Tuna utawala duni na wa ajabu nyakati hizi kuliko wakati wowote. Watawala wamenyimwa hekima, ufahamu na maono, kwani wanajitengenezea kaburi lao wenyewe. Wajinga wanaamini kuwa kulishambulia Kanisa Katoliki la Roma, kutalidhoofisha, bila ya kufahamu kuwa Wakristo wote ni Wakatoliki. Katoliki ni...
  16. ngara23

    JamiiForums Tanzania Babu Trump ashaonya kuhusu ukandamizaji, unyanyasaji na mauaji ya wakristo. Sasa endeleeni kuwachokoza TEC

    Wahenga walisema sikio la kufa halisikii dawa Babu Trump hana hata mwezi ameonya juu ya matukio ya ukandamizaji, unyanyasaji na mauaji ya wakristo. Marekani ni watu wana intelenjinsia Kali duniani, Kuna mambo wanawajua hata kabla ya sisi kujua. Ukiona Marekani amesema jambo ujue intelenjinsia...
  17. C

    JamiiForums Tanzania Baada ya mbinu ya kutumia waislam koko kulisema kanisa kugonga mwamba, sasa mmeamua kutafuta njia ya kutumia wakristo koko

    Njia sahihi na salama kabisa ya kurejesha utulivu nchini ni kutafuta mlipo jikwaa nakuondoa hicho kizingiti kilicho fanya mjikwae , Kuendelea kudhani kwamba amani na upendo wa taifa vitarejea kwa kuendelea kutafuta vilaza wa kuendelea kulisema na kulishambulia kanisa ni kujidanganya na...
  18. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Wakristo ndio watu pekee wanaoweza kuwavumilia Waislamu?

    Hivi karibuni kumekuwa na matamko mengi kutoka kwa Viongozi na watu wanaoaminika kuwa Waislamu wakirusha video clip zao zenye kutoa maneno yenye viashiria vya ubaguzi na vijembe vya kudhihaki kwenda kwa wakristo. Nimefanya Tafiti (Observetional) yangu duniani kote, nikagundua wakristo ndio...
  19. H

    JamiiForums Tanzania Enyi Wakristo Uishini Ukristo. Wavuteni Wasiomjua Kristo Kwa Kuuishi Ukristo, Siyo Kupalilia Chuki

    Injili iliyoletwa na Kristo, ndiyo neno pekee la Mungu lililoleta ukamilifu wa maagizo yote yaliyotangulia yaliyokuwa na mapungufu mengi. Yesu Kristo alisema kuwa hakuja kuitangua torati ya Musa bali kuikamilisha, kwa sababu ilikuwa na mapungufu. Kwa hiyo utimilifu na ukamilifu wa unabii wote...
  20. Ileje

    JamiiForums Tanzania Sheikh aliyesema Waislam wasile chakula cha Wakristo pia awashauri wasitumie Kalenda ya Wakristo

    Yule sheikh aliyevimbiwa ubwabwa na kuwataka waislam wasile chakula kilichoandaliwa kwa ajili ya sikukuu ya Christmas pia awashauri wasitumie kalenda ya wakristo. Nchi nyingi duniani zikiwemo nchi za kiislam zinatumia kalenda ya Gregory na wala hawajawahi kusema ni haramu, inakuwaje chakula kwa...
Back
Top Bottom