wakristo

  1. Rorscharch

    JamiiForums Tanzania Enyi Wakristo, Enyi Waislamu Kwanini Ushirikiano Mlionao Kujenga Madhabahu Hamuutoi nje ya Viwanja vya Masinagogi Yenu? MNAFELI WAPI?

    Kuna mstari usioonekana unaokatiza maisha yetu—mstari mwembamba sana, lakini wenye nguvu kuliko tunavyodhani. Ndani yake, sisi ni kitu kimoja. Nje yake, tunasambaratika bila kelele. Ndani ya kanisa, ndani ya msikiti—tunajenga pamoja. Wito ukitolewa, watu wanaitikia. Michango inapangwa, kila...
  2. Loading failed

    JamiiForums Tanzania Wakristo tujengeni hoja hapa: Mchungaji akikutongoza ukamkataa ni laana? Alisikika mtu mmoja akisema

    Kuna mtu mmoja alisikika huko mitandaoni akisema kwenye video mjongeo maneno hayo aliyosasema kama inavyoonekana hapo chini... Mama kauliza hapo wakuu.. tusaidiane kupata majibu mpaka imfikie mama Cc. Mhe. Dkt Dorothy Gwajima . waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Walowezi wa Kiyahudi wazidisha chuki dhidi ya Wakristo Mashariki ya Kati!!!!

    Nyani akimaliza miti huingia mwilini. Kumekuwepo na ongezeko kubwa la vitendo vya chuki dhidi ya wakristo na ukristo hususan Lebanon na Palestina. Baada ya kulivunja sanamu la yesu Kristo, juzi myahudi mmoja alionekana akimshambulia mtawa wa kikristo katika jiji la Jerusalem, bila ya kua na...
  4. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu wa Israeli Benjamin Netanyahu alikutana na Wanajeshi na Makamanda Wakristo

    Waziri Mkuu wa Israeli Benjamin Netanyahu alikutana na wanajeshi Wakristo na makamanda kutoka kwa vitengo mbal8mbali vya IDF. Maelezo muhimu kutoka kwa kauli yake: Hili ni kinyume kabisa na kile kinachoenezwa huko nje. Sio tu kwamba Israeli inapigania haki za Wakristo kote Mashariki ya Kati...
  5. Last_Born

    JamiiForums Tanzania Mtu aniprove wrong kwamba waislamu hawaabudu mwezi na wakristo hawaabudu msalaba

    Kumekuwa na mjadala kuwa waumini wa dini zote hizo mbili wanaabudu mungu mmoja, lakini kuna namna ukitazama unaona kama ni ibada za sanam.......
  6. Setfree

    JamiiForums Tanzania Wakristo mnaoishangilia Israeli inapoipiga Iran, mnakosea sana

    Wakristo wengi wamekuwa wakishangilia maumivu, vita na vifo vinavyosababishwa na majeshi ya Israeli, kwa kisingizio cha kuiunga mkono au kulibariki taifa la Israeli. Je, msimamo huo unaendana na mafundisho ya Yesu Kristo? Karibu tudadavue jibu la swali hilo kwa pamoja. Kwanza kabisa, Yesu...
  7. L

    JamiiForums Tanzania Rais Wetu Mpendwa Mama Samia Anawatakia Heri ya Sikukuu Ya Pasaka Wakristo na Watanzania Wote. Awaomba kuendelea Kudumisha Amani na Mshikamano

    Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka, chuma cha reli, shujaa wa Afrika, komandoo Wa Vita, jasiri muongoza njia, Nyota ya matumaini na nuru ya Wanyonge. Anawatakia Heri ya Sikukuu Ya Pasaka...
  8. Castle_Lite

    JamiiForums Tanzania PASSOVER (Wayahudi) VS PASAKA (Wakristo) VS Kutokula Nyama

    Mungu akubariki katika tafakari ya mateso ya Bwana wetu Yesu Kristo siku ya Leo. - Yesu Kristo aliikuta Pasaka. Tunaona kwenye Biblia kuwa Mipango ya kumkamata na Kumuua ilipangwa kipind cha majirio ya Passover. Marko 14:1-2 "1 Baada ya siku mbili ilikuwa sikukuu ya Pasaka, na mikate...
  9. Davidmmarista

    JamiiForums Tanzania Hivi wakristo mnaamini vipi hiki kitu? Embu tazama hii video

    https://www.instagram.com/reel/DWNBYQVD6iK/?igsh=cTY2aWVyZjc1aGNx
  10. John Sin

    JamiiForums Tanzania Wakristo muwe na heshima aisee

    Habari za asubuhi Yani mtu unaenda kwa mtu tena leo Eid unanikutaka nimetulia naangalia vitasa marudio unachukua rimoti unaweka vipindi vya kikristo wachungaji na manabii feki toka saa 2 asubuhi hadi muda huu na hakuna dalili ya kuvibadilisha. Mimi mwenyew ni kobaz na hujanikuta nimeweka...
  11. KakaKiiza

    JamiiForums Tanzania Kwanini Israel haiwapendi wakristo wakati wenyewe wanaipenda Israel?

    Nimeshindwa kuelewa Wakristu wengi hata baadhi ya madhehebu wamekuwa wakinasibisha Israel kama njia yakwenda kwa Mungu hadi wengine Wameweka Bendera za Israel katika makanisa yao wengine wanatembe na bendera katika magari yao! Swali nini kinawafanya waipende Israel wakati wayahudi walimtesa...
  12. Wazolee

    JamiiForums Tanzania Wakristo wanawaita wayahudu makafiri na wayahudu wanawaita wakristo ni makafiri

    Kwa mujibu wa wakristo wayahudu ni makafiri Kwa sababu wamemkana Mungu wao Yesu Wayahudu Yesu hawafuati Maneno yake Wala hawamuamini tena wanamuita mtoto wa zinaa hivyo basi Myahudi yoyote mbele ya mkiristo ni kafiri kinyume na hapo basi wakristo hawajui wanachokifuata Wala wanacho kiamini Wala...
  13. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Wakristo na watu wa dini ya MNYAAZ tunaabudu mizimu.

    Tunakataa kufanya matambiko na kuabudu mizimu yetu ila tuko bize kuabudu mizimu ya kizungu na kiarabu. Hii sio sawa. Tujisahihishe.
  14. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    JamiiForums Tanzania Wakristo wenzangu, kwahiyo pamoja na kuwa na elimu zetu Bado tunaamini Nabii Yona alimezwa na nyangumi na akatapikwa akiwa Yu hai?

    Hapa sasa nakubaliana na Mzee Kikwete hasa aliposema Akili za kuambiwa changanya na zako. Inawezekana vipi mtu amezwe siku3 nzima mchana na usiku Kisha akatapikwe akiwa Yu hai? Haihitaji maelezo mengi sana naishia hapa ila Mimi pamoja na ukristo wangu nakiri wazi tulipigwa chumvi iliongezwa...
  15. P

    JamiiForums Tanzania Kwanini wakristo wakatoliki wanaungama dhambi kwa padri? AKA kuhani?

    Kwa miongo kadhaa, tumekubali uwongo eti kwamba kuomba msamaha wa kibinafsi na wa kimoyomoyo ndio kitu pekee ambacho Mungu anahitaji ili kufuta dhambi kubwa. Lakini Mungu wa Biblia hakuweka kamwe mfumo wa upatanisho usioonekana kabisa. Zaidi ya miaka elfu moja kabla ya Kristo, Mungu aliwaamuru...
  16. H

    JamiiForums Tanzania Wakristo Tumeonywa, Tusifunge Kwa Kujionesha kwa Watu, Wala Tusirarue Mavazi Yetu Bali Turarue Mioyo Yetu Iliyo na Dhambi.

    Kwa bahati mbaya, kumekuwa na mijadala mingi kuhusiana na kufunga, na hasa kwa sababu mwaka huu Kwaresma ya Wakristo imeangukia kipindi sawa na Ramadhani ya waislam. Mbaya zaidi mijadala imekuwa ya kejeli, kujionesha nani yupo sahihi, na nani hayupo sahihi. Siongelei funga ya waislam kwa sababu...
  17. comrade_kipepe

    JamiiForums Tanzania Kwenye hili wakristo mna la kujifunza

    Kuna jamaa muislamu kaoa ndoa moja simple sana yani, no mc, no mbwembwe! Wakati wa saa moja kasoro ile kufuturu jamaa kaoa hapohapo, watu wametulia kwenye mkeka na vikombe vya uji wanajitafunia zao maandazi, shekhe aliefungisha ndoa kapigwa buku 5 tu ya maji. Yani ndoa mpaka inakamilika...
  18. Beira Boy

    JamiiForums Tanzania Tuendelee kuuombea amani ulimwengu hasa wakristo na mashariki ya kati

    Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU Dunia kwa sasa si mahala salama kwa kuishi wakristo hili kila mtu anajuwa , basi tuwaombee sana wakristo wote hasa wa Nigeria, Lebanon, iran, mali, bukinafaso, na kwingine kote wanakowindwa na magaid ya kiislamu Lakini pia tuwaombee watu...
  19. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Wakristo na waislamu katika hili nani ni mkweli kati yenu?

    Wakristo wanasema Yesu alisulubiwa akafa akazikwa akafufuka akapaa mbinguni. Lakini Waislamu wanasema Yesu hakusulubiwa hakufa hivyo hakufufuka. Wakati waislamu wanasema Yesu si Mungu wala mwana wa Mungu wakristo wanaamini vinginevyo. Ukisikiliza stori zao kuhusu Ibrahimu Bado zinapishana...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Wayahudi ndio watu wanaoongoza kwa ukaidi hapa duniani licha ya kuwa Mungu alishawabainishia hoja zilizo wazi kabisa. Walimdai Musa awaoneshe Mungu

    Mayahudi ni moja ya jamii ya watu waliofadhiliwa sana na Mungu huko zamani kwasababu walipelekewa mitume mingi sana ila wengi wao waliwakanusha na hata kufikia kuwaua. Wakati Mtume Muhammad (sala na amani ziwe juu yake) alipohamia katika mji wa Madinah kutoka makkah alikuta jamii kubwa sana ya...
Back
Top Bottom