wako

Wakō (和光市, Wakō-shi) is a city located in Saitama Prefecture, Japan. As of 1 January 2021, the city had an estimated population of 84,161 in 42,434 households and a population density of 7600 persons per km². The total area of the city is 11.04 square kilometres (4.26 sq mi).

View More On Wikipedia.org
  1. K

    JamiiForums Tanzania Mvutano benchi la ufundi Simba: Je, wachambuzi wako sahihi?

    Mara baada ya kumaliza mchezo kati ya Simba v/s Mbeya City, wachambuzi wa Azam Media walubainisha hii nukta, pamoja na mambo mengine ya kitaalamu lakini hili walilibainisha. Kwamba benchi la SSC kuna shida, hasa yanapofanyika mabadiliko ya mchezaji ni kama kuna kutoelewana. Mifano ya kwenye...
  2. JamiiForums Tanzania Sasa kaka, mtanipeleka wapi au ndio basi tena?

    Muhusika: Mdogo wangu kamaliza form four Issue: Kwa matokeo yake alopata, what next? Kaniuliza kama kaka yake. Matokeo yake yakoje: Haya hapa: Civics C ... History D... Geography D ... Kiswahili B ... English C ... Lit. Eng C ... Chemia D ... Biology D ... Mathematics F. Nimesikia ili uendelee...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Urefu wa kamba yako ni mshahara wako na stahiki nyingine kisheria. Msimlishe maneno Rais Samia

    Urefu wa kamba yako ni Mshahara wako na stahiki nyingine kisheria ndio maana Rais akasema kula kulingana na Urefu wa kamba yako wala hakusema uibe mali za Umma!! Wabaya wa Samia kisiasa ndo wanasambaza ujinga huo!!! Hivi ukiamua kukosoa kila kauli ya rais si utafika 2030 ushabaki skeleton...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Tukio hili linaonyesha ni jinsi gani wenzetu wako civilised na kwamba watawala Ulaya sio miungu watu kama huku kwetu na hii Tulia Ackson inamhusu

    Tulia Ackson unaamini Raisi wa nchi yetu hastahili kunyooshwa kidole, ona hii clip ya kilichotokea huko Uingereza kwenye Jumba la Waziri Mkuu uone jinsi dola ilivyojitenga na siasa na wanasiasa hata pale Waziri Mkuu anapopigwa kwa kukejeliwa na wananchi wa kawaida (sio Bunge wala wabunge)...
  5. JamiiForums Tanzania Mpenzi wako anapokwambia "flani ananitongoza" anakua anamaanisha nini?

    Juzi kaniambia mwanasheria wa kampuni yao anamtongoza akanitumia na screenshot ya meseji na hio sio mara ya kwanza kuniambia nadhani ni ya nne wahusika wakiwa tofauti tofauti Sasa najiuliza hiv huyu dem ananambia hivi ili iweje??anataka nikampge huyo anaemtongoza?au ananitambia tu ili kutishana...
  6. JamiiForums Tanzania Kwanini wazazi wengi bado wako 'obsessed' na As na Bs za matokeo ya mitihani?

    Leo Baraza la mitihani limetangaza matokeo ya kidato cha 2,4 na mitihani ya ufahamu kwa wanafunzi wote waliofanya hiyo mitihani mwaka 2021. Mwezi june 2022 itatutangazia matokeo ya form 6 pia kama kawaida ya miaka yote, kila mwaka ni matokeo ya ulinganifu wa nani kafanya vizuri na nani kafanya...
  7. JamiiForums Tanzania Wako wapi mabodigadi na wapambe wa Makonda? Sasa anatembea peke yake vijijini. Je, ni laana ya Warioba? Vijana tuna la kujifunza

    Makonda, almaarufu Bashite, aliongoza Mkoa wa Dar es salaam kwa mkono wa chuma uliojaa damu, ni yeye na sabaya tu waliotembea na mabodigadi wenye silaha za moto, Makonda alithubutu kwenda clouds fm akiwa na askari wanaodaiwa kuwa wa jumba jeupe(makirikiri). Sasa anaonekana mpweke, wale aliowa...
  8. JamiiForums Tanzania Namna ya kumsaidia Mtoto wako kuwa Mtu bora

    1. Mfundishe kufanya kazi kwa Ushirikiano (Teamwork). Mfano unaweza kutenga muda kusaidiana naye kwenye kufanya 'Homework' au majukumu madogo madogo ya Nyumbani akishirikiana na Wenzake 2. Shiriki au Mfundishe kupanga malengo pamoja na maono mliyonayo. Hili linaweza kuwa gumu kwasababu Wazazi...
  9. JamiiForums Tanzania Umeshawahi kukutana na mtu aliyepandisha jini/ mwenye majini? Tupe uzoefu wako

    Nakumbuka miaka ya nyuma kulikiwa na mkuu wa mkoa mwanamke jijini Dar es Salaam. Huyu mama hakuwa mwingine ila Mary Chipungahelo au waweza mama Chips. Huyu mama alikuwa ni mbabe haswa, asiyeyumbishwa wala kuburuzwa wala kupelekeshwa. Ameshawahi kumzingua kichizi Jenerali Ulimwengu. Basi...
  10. JamiiForums Tanzania ''tragedic comedy'' wako watakaocheka wako watakaolia

    ''TRAGIC COMEDY'' WAKO WATAKAOCHEKA WAKO WATAKAOLIA Kwa umri wangu huu baada ya kula chakula cha mchana kitanda kinaniita kujipumzisha kidogo. Lakini kama kawaida kutakuwa na hiki au kile mtu unataka uchungulie katika simu na ikibidi nifungue mtambo ikibidi kwani huko ndiko Maktaba ilipo...
  11. JamiiForums Tanzania Ni kitu gani uliwahi kuona mtu akifanya ukasema Tanzania watu wako na hela?

    Mimi mwaka jana kuna jamaa alimpangia mchepuko wake nyumba kodi milioni mbili na nusu kwa mwaka akalipa kodi ya mwaka mzima na dalali akala milioni mbili Na nusu yake fasta. Mchepuko umezaa na jamaa watoto wawili mapacha. Jamaa ana mke wake. Watu wakawa wanasema kwanini jamaa asimjengee Tu...
  12. JamiiForums Tanzania Kusali pamoja huongeza upendo, kumuombea mpenzi wako huongeza uaminifu

    Unajuwa hawa ma slay queen wanaovaa chupi mara moja kisha huitupa kwasababu hawawezi kufua, mimi huwa Naona wanaishi maisha feki sana kiasi kwamba ukisha gonga hutamani tena kukanyaga. Leo siwaongelei hawa, nawaongelea wale wenye wapenzi genuine. Wapenzi mnapo omba kwa pamoja uwezo wa Nguni za...
  13. B

    JamiiForums Tanzania Sakata la Ndugai: Mashabiki wako mkao wa Kula

    Siasa si ushabiki, wala vita vya kisiasa si lelemama. Haipo shaka aina za kina Lissu, Mbowe na wa namna hiyo ni machampioni kweli kweli. Si haba pia kwa kina Polepole, Kinana, Makamba au kina Membe kwa wakati wao. Kwa hakika nao walijaribu. Wa kuzingatiwa katika vita huwa ni maadui na...
  14. JamiiForums Tanzania Fanya hivi kwa mdogo wako

    Kama una mdogo wako amemaliza chuo miaka ya hivi karibuni jaribu kumtia moyo kwa kumtumia 30,000 au 40,000 bila sababu, yaani mtumie tu, yaani Fanya surprise, ikiwezekana rudia Mara kwa Mara , atakushukuru sana na kipato chako kitaongezeka maradufu
  15. JamiiForums Tanzania Kwanini siku hizi Imekua rahisi sana kufanya tendo na mpenzi wako muda mfupi tu baada ya kuwa wapenzi?

    Habarini! Najiuliza sana hili swali nashindwa kupata Majibu kulikoni sasahivi imekua very easy kufanya Mapenzi na mpenzi wako mpya yaani anaweza akakubali asubuhi, mchana akaja mkafanya yenu. Au akakubali leo kesho akaja, hii imeletwa na nini? Kitambo kidogo ilikuwa hadi mkae muaminiane...
  16. JamiiForums Tanzania Serikali yatoa ufafanuzi wa akiba ya Fedha za Kigeni, makosa yalifanyika

    Ikulu imetoa ufafanuzi ni kuwa akiba iliyopo ni dola za kimarekani milion 6253 na sio dola bilion 6253. Ni vizuri kusahihisha makosa, Ila mjitahidi yasiweze kujirudia tena kwenye hotuba za Raisi na nashauri kabla ya raisi kwenda hewani pitieni hotuba zaidi hata ya mara 5 ili kujiridhisha hakuna...
  17. B

    JamiiForums Tanzania Nimesikiliza hotuba za nyuma kuhusu akiba ya Serikali , zinasoma Bilioni siyo Milioni; Gavana wa BOT na watu wako mnasikilizaga hizi hotuba?

    Kosa la uandishi lililopelekea kosa la matamshi lililotokea kwenye hotuba za Mhe Rais kuhusu akiba ya Taifa limekuwa likifanyika Katika hotuba za nyuma. Hotuba yake ya Juni alisema Tena USD Bilioni 4000+ na siyo Usd Milion 4000+, Juzi Bilioni 6000+ na siyo Milioni. Ukisoma vyombo vya habari...
  18. JamiiForums Tanzania Rais Samia, nimeukubali msimamo wako. Hongera sana

    Asante sana Mama Samia Suluhu Hassan, Rais wetu mpendwa, kwa msimamo wako thabiti ulio tuonyesha tarehe 28 mwezi Desemba mwaka 2021 huko IKULU Magogoni wakati wa kushuhudia kutia saini mkataba wa kuendeleza SGR yetu kipande cha tatu kati ya Makutupora Singinda na Tabora. Kusema kweli, hotuba...
  19. JamiiForums Tanzania Wabunge wameufyata kuhusu bosi wao? Wako upande wa nani?

    Hii ni kali ya mwaka.Yaani wabunge tunaowajua kina Msukuma, Kibajaji, Kingu, Kigwangala na wengine kimyaaa. Huwezi kuniambia kauli ya Spika juzi alivyounanga utendaji wa Mama kuhusu mikopo na serikali yake ungetegemea wabunge hawa waufuate kiasi hiki? Wanaogopa wakimgusa bosi wao wakirudi...
  20. JamiiForums Tanzania Hii ni stori ya maisha yangu. Nini ushauri wako kwangu?

    Wanajamvi naomba nipate ushauri wenu kwa hili. Kwa sasa nipo kweye 35 kasoro sikni nimepata ujuzi katika fani kama tatu hivi hapa namanisha elimu ya diploma ya utawala biashara lengo kuu tangu awali niwe mjasiriamali lakini baada ya masomo nikajiegesha kwenye kampuni fulani ya ulinzi ili nipate...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…