Mara baada ya kumaliza mchezo kati ya Simba v/s Mbeya City, wachambuzi wa Azam Media walubainisha hii nukta, pamoja na mambo mengine ya kitaalamu lakini hili walilibainisha.
Kwamba benchi la SSC kuna shida, hasa yanapofanyika mabadiliko ya mchezaji ni kama kuna kutoelewana. Mifano ya kwenye kombe la Mapinduzi na jana Mbeya
Lengine ni Kocha kuonekana kila wakati akitulizwa na msaidizi wake.
Jambo linaloikosesha utulivu timu.
Je, nyinyi mnaonaje