wako

Wakō (和光市, Wakō-shi) is a city located in Saitama Prefecture, Japan. As of 1 January 2021, the city had an estimated population of 84,161 in 42,434 households and a population density of 7600 persons per km². The total area of the city is 11.04 square kilometres (4.26 sq mi).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Ukipata mke anayeomba ushauri wako jambo la kushukuru Mungu

    Wanaume huwa tunavimba vichwa sana kuona mke anakuja kuomba ushauri wa mambo yake ni utiifu wa kiwango cha juu , akiwa na jambo utasikia subiri hubby aje niongee naye hafanyi jambo bila kumshirikisha mume . Mke wa aina hii anavutia sana
  2. M

    JamiiForums Tanzania Huyo mpenzi wako wa maisha vipi kwenye changamoto una uhakika atabaki ?

    Biashara ikiyumba hadi kufirisika Ukifukuzwa kazi Kupatwa changamoto kubwa za afya au ulemavu Kufungwa Jela n.k.
  3. JamiiForums Tanzania Mpangilio wako wa pesa ukoje?

    Hey people, Title inajielezea,msinifokee nina mimba changa bado, huu ni muendelezo wa uzi 👇 https://www.jamiiforums.com/threads/kuelekea-mwisho-wa-mwezi-uzi-kwa-wale-wanaopenda-kuweka-akiba-kutoka-kwa-experience-yangu.2343182/ Uzi bado
  4. JamiiForums Tanzania Marafiki zako wa leo, Mustakabali wa Mtoto wako kesho

    Angalia watu unaokaa nao leo. Watoto wako watakaa na watoto wao kesho. Kama marafiki zako wanapenda kazi na maendeleo, mtoto wako atajifunza kufanya bidii. Kama ni kelele na porojo tu, mtoto wako atajifunza kupoteza muda. Usikubali kila mtu maishani mwako. Uliza kwanza huyu mtu ananifundisha...
  5. JamiiForums Tanzania Unajichelewesha mwenye mimi kuwa baba wa watoto wako

    Nakuvizia kwenye nyumba za ibada, hutokei Nakupigia simu, hupokei Nakutumia ujumbe wa simu, hunijibu Nakuandikia barua, hunijibu Nakutumia vocha, hunipigii Nakutumia hela ya matumizi, hushukuru Sasa mimi nifanyeje; endelea kujichelewesha mwenyewe, mimi kuwa baba wa watoto wako.
  6. JamiiForums Tanzania Je, mentor wako ni nani?

    Nani mtu wako wa kwanza kumcheki pale unapotaka kufanya maamuzi ya jambo Fulani mathalani masiala ya kifedha,kazi,mahusiano n.k Yani likitokea Jambo tu lazima umcheki ni nani huyo?
  7. JamiiForums Tanzania Fuata moyo wako lakini usisahau kubeba akili yako

    Moyo pekee (Bila Akili) Huleta maamuzi ya kukurupuka, matatizo ya kifedha, au kubaki kwenye mahusiano mabaya kwa sababu ya hisia tu. Akili pekee (Bila Moyo) Hufanya maisha kuwa ya kuchosha, yasiyo na furaha, na yenye kufuata taratibu tu bila msisimko. *Ruhusu moyo uchague unachokipenda, lakini...
  8. JamiiForums Tanzania Ushauri wako ni hatua kwangu Biashara gani ya kimkakati kwa mtaji wa Milioni 30

    Habari za muda huu waheshimiwa, Salam. Kabla ya yote, nipende kutanguliza shukrani zangu za dhati kwa maoni mtakayokwenda kuandika hapa, nami nitayachakata kwa uhalisia. Asante sana. Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, nina kiasi cha Tsh Milioni 30,000,000 ambacho kiko tayari kwa ajili ya...
  9. JamiiForums Tanzania Kwanini baadhi ya waislamu wako obsessed sana na dini ya kikristo angali wakristo wengi hawana shida na wao?

    Hawa jamaa ni kama manifesto yao inasoma nusu ni mafundisho nusu ni kushambulia wakristo. Yani wanakereketwa sana na amani waliyonayo wakristo, sasa ili kushare nao maumivu yao lazima watafute hoja mavi. Yani ni kama una mke lakini kuanzia asubuhi hadi jioni mara kwa mara unamzungumzia mke wa...
  10. JamiiForums Tanzania Umri wa Kweli na Ufahamu Wako

    Kuna kiwango cha ufahamu ukifika, unashindwa kujibu swali la umri sababu umri unaozungumzwa ni umri wa mwili siyo wako. Wewe mwenyewe umri wako huujui maana hujui kitu kinachoitwa muda. Huwezi tena kusema asili yako ni wapi kwa kuwa unajua kuwa asili yako ni ulimwengu. Wewe na ulimwengu ni kitu...
  11. JamiiForums Tanzania Kanuni ya Kichocheo na Matokeo: Ni Wajibu Wako

    Dunia inaongozwa na kanuni ya kichocheo na matokeo. (Cause and Effect) Hakuna jambo linalotokea tu bila sababu. Kila matokeo unayoyaona leo ni kwasababu ya jambo fulani lililofanyika kabla ya matokeo hayo kuonekana,Hii ndio kanuni ya msingi inayotawala maisha yetu. Katika kitabu chake cha "The...
  12. JamiiForums Tanzania Jifunze kuzitambua hisia za mwenza wako

    Katika safari ya mapenzi ya dhati, kujifunze kuzitambua changamoto, huzuni, furaha, maumivu, na mateso ya mwenza wako bila kukimbilia kumhukumu ni mtihani mkubwa unaovuka mipaka ya kibinadamu na kuingia katika uwanja wa vita kali ya kiroho. Unapochagua kumpenda mtu, huunganishi mwili tu, bali...
  13. JamiiForums Tanzania Hii ni mbaya wazee, haijalishi itikadi wala mlengwa wako ila hii ni mbaya sana!

  14. JamiiForums Tanzania Mpenzi wako anajali usafi au mnavumiliana?

    Ugonile, sijajua ni kwangu tu au namna gani vipi. wanawake naokutana nao sikuiz wananuka midomo ni balaa, yani kila napojiambia hii Pisi ni kali na imenyooka sana siwez kuiacha iviivi nakutana na madudu. Unaopoa bonge la Pisi unasema yes huyu leo naua kunako 5×6, mkifika ukijaribu romance...
  15. A

    JamiiForums Tanzania KERO Mfumo wa PEPMIS umechangia Watumishi 370 wa Halmashauri ya Jiji la Dar tusipandishwe daraja

    Mimi ni mtumishi wa Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam, Idara ya Utawala na Rasilimali Watu. Tuna changamoto kubwa inayohusu mfumo wa PEPMIS, ambapo mwaka 2025 tulitakiwa kupanda daraja lakini haikuwezekana kutokana na supervisors kushindwa kuingia kwenye mfumo huo. Cha kusikitisha ni kwamba...
  16. JamiiForums Tanzania Dini haiendani na uhalisia wa mwandamu, mfano inaweza kukupelekea uwe kukutengana na wasioamini lakini kiuhalisia hao hao ndio waaajiri au wateja wako

    Only fools fall for religion traps.
  17. JamiiForums Tanzania Kwanini Bado una namba ya EX wako?

    Mara nyingi watu wakiachana wanakuwa hawapendi kuwasiliana tena na kila mtu anajaribu kuendelea na maisha yake, kujijenga upya na kuacha yaliyopita yabaki kuwa sehemu ya historia yao na wengine huenda mbali hadi kufuta namba za wapenzi ili kujipoza na maumivu haraka. Sasa tukija upande wako...
  18. JamiiForums Tanzania Baba Levo: Huwezi kumlea Mtoto Miaka 10 halafu mwanawake akuambiwe siyo wako

    "Mhe. Mwenyekiti, huwezi kuwa umeishi na mwanamke ndani, anakusingizia ujauzito unaolea miezi tisa. Una—anazaa mtoto, unamlea mtoto anafikisha miaka kumi, baadaye mnakombana kidogo anakwambia, 'Hata huyo mtoto mwenyewe sio wako!' Ipo namna mwanaume yeyote ipo namna ambayo mwanaume anaweza...
  19. A

    JamiiForums Tanzania Tumia haya maneno Manne kwenye matangazo yako ili kuwashishi wateja wako wachukue hatua fulani

    Kwenye Uzi uliopita niliandikia neno Moja tu la kutumia ili kuwashishi wateja wako wachukue hatua unayoitaka kwenye Matangazo Yako Either iwe kupiga simu, kuboyfa link, kuweka order,kujaza fomu ya Mananuzi,kununua Bidhaa zako nk LAKINI Leo nitamalizia maneno mengine matatu ya kuyatumia...
  20. JamiiForums Tanzania Nauza Taser mashine ya kujilinda inapiga shoti vibaka wezi na watekaji usikose kwa usalama wako

    Nauza kifaa cha kukusaidia kujilinda yaani self defense 🔥 TASER GUN INAKUSAIDIA KUMPIGA SHOTI KIBAKA SHOT KUBWA KAMA YA UMEME WA GRID YA TAIFA 🔥 Unahitaji kujilinda na vibaka, majambazi, wezi na wabakaji? Taser Gun ni mashine ndogo ya kuchajiwa inapiga shoti ya umeme zaid ya gridi kubwa ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…