wako

Wakō (和光市, Wakō-shi) is a city located in Saitama Prefecture, Japan. As of 1 January 2021, the city had an estimated population of 84,161 in 42,434 households and a population density of 7600 persons per km². The total area of the city is 11.04 square kilometres (4.26 sq mi).

View More On Wikipedia.org
  1. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Makatibu wapya CCM: Waislam wako 21, Wakristo 11. Hali inatisha sanaaaaa!

    Hali ni mbayaaaa kwelikweli !!.
  2. Design Your Idea

    JamiiForums Tanzania Ni ngumu kushinda ushoga kama unaedhania ndio atakaye kuwa msaada wako ni mtumiaji wa mashoga hao.

    Kwa hii hali ambayo mashoga wana tamba mitandaoni hadi wanaji rekodi live video, kuna kitu nyuma yake
  3. iron finger

    JamiiForums Tanzania Kwanini kelele za "Linda Mgongo" wanapigiwa wa kiume tu? Kwani mabinti wako salama?

    Wakuu, inakuwaje!Kuna swali moja la kijamii linalonikosesha amani sana mtaani kwa sasa na nimeona tulilete hapa jukwaani tulichambue kiume: Kwanini nguvu zote, kampeni, na kelele za "linda mgongo wako" zimehamia kwa watoto wa kiume tu? Kwani mgongo wa mtoto wa kike haupigiwi kelele ulindwe...
  4. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Kuna picha unaitazama kwa sekunde chache tu, lakini moyo wako unaendelea kuizungumza kwa muda mrefu

    Hii ni picha yangu bora zaidi kwa miaka yote, si kwa sababu ya uzuri wake bali kwa sababu ya somo kubwa lililofichwa ndani yake. Sisi binaadamu mara nyingi tunaamini kwamba mtu mwenye hali ya chini ndiye anayepaswa kupewa na yule mwenye nacho. Lakini watoto hawa wametufundisha somo tofauti...
  5. haszu

    JamiiForums Tanzania Mfano wewe mume ndio ungekua mke, ungekua mke bora kwa mume wako kama wewe unavyotarajia?

    Yani Akikufokea unakaa kimya humjibu kwa jazba na unamuomba msamaha hata kama kosa. Akikucheat humlipizii unapiga goti kumuombea kwa Mungu ambadilishe. Hata kama umechoka au huna hisia, akitaka penzi unampa na unatoa ushirikiano. Akichelewa kurudi unamsubiri na hukasiriki wala humuulizi huulizi...
  6. Red black

    JamiiForums Tanzania Mh.Tundu Antipas Lisu akihukumiwa kunyongwa hadi kufa hadharani lazima vita itatokea Tanganyika.

    Lisu ni Icon ikitokea tu court imesema Lisu anyongwe hadi kufa vita lazima itokee wananchi wengi wanahasira sana na yanayoendelea kwenye serikali dhalimu ,isiyo na haki ya ccm
  7. M

    JamiiForums Tanzania Tuliowahi kufika kipindi ambacho uchumi ulishuka ghafla, ulikubali vipi kubadilisha maisha uliyozoea na presha ya watu kukushangaa au kukucheka ?

    Kupoteza kipato ni jambo moja. Kukubali kubadili maisha uliyoyazoea ni jambo lingine. Aibu ya kushusha maisha ni ya muda. Lakini kulazimisha kuonekana bado una maisha yale yale kunaweza kukugharimu maisha yako yote. Niliwahi kuwa na maisha mazuri kiasi, angalau kwa kijana wa mjini mwenye...
  8. Red black

    JamiiForums Tanzania Hata kama umeachana na mkeo, bado kuna nafasi yake kwenye moyo wako

    Mapenzi hayaishi bhana na wala mtalaka hatongozwi....hata kama umeachana na mke wako Bado kuna nafasi yake kwenye moyo wako hata uoe mwanamke mwingine mzuri zaidi yake. Lazima utakuwa na Griefing haiwezi kuisha kamwe.
  9. F

    JamiiForums Tanzania Wako na wameishia wapi akina Polepole, Nchimbi, Rachael Dangwa, Kabil Habil etc??!!

    Kweli dunia ni uwanja wa fujo, Kila mmoja anapiga zake zikipasuka anatoweka. Wapo waliovuma mitandanoni na kwenye siasa. Wako wapi akina Humphrey Polepole Mdude,, Nchimbi na wengine waliovuma kwenye uringo wa siasa? Wako wapi akina Rachael Dangwa na mitusi na vimbwanga vyake? Wako wapi akina...
  10. Pre International School

    JamiiForums Tanzania Elite home tuition_Mafunzo bora kwa mtoto wako

    Je, mtoto wako anahitaji mwalimu wa kumfuatilia kwa karibu akiwa nyumbani? Elite Home Tuition tunakuletea walimu wenye uwezo na uzoefu kulingana na mahitaji ya mwanafunzi. 👨‍🏫👩‍🏫 📖 TUNAFUNDISHA MITAALA MBALIMBALI: 🇹🇿 Tanzania Curriculum 🇬🇧 British Curriculum 🌍 Cambridge Curriculum 🇺🇸 American...
  11. Kingsmann

    JamiiForums Tanzania Linda Mgongo Wako na wa Jamii Yako: Msimamo wa Dudubaya ndiyo msimamo wa Watanzania wote.

  12. Boss la DP World

    JamiiForums Tanzania Hongera sana Samia : Ulionesha utu wako kwa vitendo October 29, 2025

    Mama wa 4R, mama wa Kazi na UTU alutuonesha namna alivyo na utu kwa raia wake. Mataifa yote yalishuhudia upendo wa mamayetu kipenzi chetu Samia Suluhu Hassan. Nawapa pole wale wote wanaomchukia mama yetu, kama kuna ndugu yako alipoteza maisha atakuwa alileta vurugu huyo. Hata hivyo kifo ni...
  13. Gunner11

    JamiiForums Tanzania Simu inanipotezea muda, Wewe Umewezaje kudhibiti matumizi?

    Ndugu zangu leo naomba mawazo yenu maana imekuwa almost impossible kwangu kuweka simu chini hasa nipatapo free time. Huwa na panga kitu fulani lakini unakuta nasema ngoja nichukue labda dk10 ni cheki yanayo jiri mitandaoni ila hizo dk 10 zina geuka kuwa hadi lisaa, na hiyo huwa ni baada ya...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Una mshikaji wako ambaye nusura aingizwe chaka na 'fursa' za mtandaoni?

    Wakuu Kuna huyo jamaa yangu yeye huwa anapenda kitonga '😂kuna siku akatumiwa link na mtu huko Whatsapp akiambiwa akitaka kupata bando abovye hiyo link kilichofuata hapo ni huzuni akaunti zake zikadukuliwa. Kwa sasa zile akaunti zake za mitandao ya kijamii ikiwemo facebook zinanitumia text...
  15. Zerock

    JamiiForums Tanzania Ushuhuda: Ulijuaje kuwa demu wako ni "Msungo"?

    Hii ni stori ya kweli: Nakumbuka ni miaka kadhaa imepita,kipindi niko form 4,Kuna binti mzuri wa kwenda.tumpe jina Irene. Irene alikuwa ni rafiki mkubwa wa mtoto wa dada yangu,walisoma skul moja ya msingi, lakin sekondari walisoma walisoma shule tofaut lakn zote za mji mmoja, Mimi form 4,wao...
  16. Jaji Mfawidhi

    JamiiForums Tanzania Wanawake wa Jux: Walipo Sasa

    Juma Msambilia , Jux tangu abalehe amekuwa na wanawake wengi kingono kabla ya kuja kuoa Priscilla. Wanawake hao , wengi wameolewa ila Jux anajua miili yao maana alikuwa analala nao, anaoga nao, anakula nao , na kuwafanyia masaji. Mbali na hayo yote, jux kwa sasa anatamba na mke wake aitwaye...
  17. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Kama hutaki mtoto wako aitwe mtoto Haramu, zaa kwa utaratibu halali. Nje ya hapo haramu itaitwa haramu

    KAMA HUTAKI MTOTO WAKO AITWE MTOTO HARAMU, ZAA KWA UTARATIBU HALALI. NJE YA HAPO HARAMU ITAITWA HARAMU TUU. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Oooh! Mtoto hana makosa yoyote. Oooh! Mtoto hahusiki. Bla blah blah! Haramu ni haramu tuu. Unapofanya tendo haramu, matokeo yake ni haramu pia. Haramu...
  18. Wizara ya Ardhi

    JamiiForums Tanzania Wataalamu wa ardhi Mtwara waupokea vyema mfumo wa e-Ardhi, wako tayari kuwahudumia wananchi

    📱 Huduma za ardhi sasa kiganjani!,Kupitia e-Ardhi, Serikali inaendelea kusogeza huduma karibu zaidi na wananchi, Wataalamu wa sekta ya ardhi wameupokea vyema Mfumo wa kidijiti wa e-Ardhi na kuonesha utayari wa kuutumia katika kutoa huduma kwa wananchi kwa ufanisi, haraka na kwa urahisi zaidi...
  19. J

    JamiiForums Tanzania Msaada Mwema Uliokaribia Kuniponza

    Eehe bhana eeh, kabla weekend haijaisha na kuingia kwenye hekaheka za wiki nyingine kusaka ugali, acha niwaachie kisa hiki. Majuzi nilipata mchongo mkoa A. Ni mkoa ambao nilikuwa sijawahi kuishi hapo kabla. Mitaa niliyopata nyumba ya kuishi (getto) kuna uki-sure (mijengo mikali) fulani hivi. Ni...
Back
Top Bottom