wako

Wakō (和光市, Wakō-shi) is a city located in Saitama Prefecture, Japan. As of 1 January 2021, the city had an estimated population of 84,161 in 42,434 households and a population density of 7600 persons per km². The total area of the city is 11.04 square kilometres (4.26 sq mi).

View More On Wikipedia.org
  1. Expensive life

    JamiiForums Tanzania Hivi ndivyo marafiki zako watamfariji mkeo, siku ya msiba wako.

    Siku ukitangulia mbele za haki mkeo atapata faraja kutoka kwa marafiki zako.
  2. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Migodini Kuna Trucks zina hadi engine ya cc 90,000 na ni kubwa kiasi kwamba wewe na urefu wako haufiki katikati ya tyre.

    Kuna vitu vinashangaza. Ukipata wasaa wa kuingia migodini, hasa hasa open pit, utakutana na dumpers (dumping trucks) zenyewe zinafanya kazi sana sana ya kubeba udongo kutoka walikoblast kwenda kwenye crushers. Bwana aya madude ni makubwa. Sana. Kwanza kupanda unapanda na kushuka kwa ngazi...
  3. The Palm Beach

    JamiiForums Tanzania Uchambuzi: Utata wa Judicial Procedurajuu ya mashahidi wa Tundu Lissu IGP, CDF na DCI kutotokea mahakamani leo. Wako safari wapi? Nchi gani?

    JE SUMMONS ZA MASHAHIDI IGP, DCI NA CDF ZIMEKUWA SERVED KWA WAHUSIKA DODOMA/DSM? Mrejesho wa Msajili unaonyesha summons zilitumwa Dodoma, lakini hazikuweza kuwasilishwa kwa sababu mashahidi wote wako nje ya nchi. Naweza kusema sasa tatizo sio tena relevance ya mashahidi, ila ni service na...
  4. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Uwezo Wako: Baraka au Laana?

    Dunia ina idadi kubwa ya watu wasio na shida na wewe, na wala hawana mpango wa kugombana na wewe, ikiwa utawahakikishia kuwa wewe ni wa kawaida, mnyonge, huna mbele wala nyuma na mwenendo wa mambo unaonesha kuwa utaendelea kuwa chini. Katika biblia, kwa mfano, tunasoma habari za Yusufu mwana wa...
  5. the ostrich eggs

    JamiiForums Tanzania Upi ni ushiriki wako kwenye neno "Kabadili gia Agani?"

    Sema neno moja tu mwana JF na roho zetu zitapona
  6. Gunner11

    JamiiForums Tanzania Hivi unajiskiaje age mates wako wote kuona wanaoa?

    Binafsi huu mwaka nimeona takriban watu 7 nilosoma nao na age mates wame uta majiko.. Mimi ndo hata hilo wazo sina.. Ila nahitaji kuwa a dad to my kids, then why the heck sichukui hatua? Bado sijajiweka in the position kupata mtu sahihi na ninao a fresh tu Wakuu this is insane mpaka unaogopa...
  7. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Kiswahili Kigumu!: Kitu Kikiwa Chako Peke Yako, Ndio Chako, Kikiwa Chako na Wengine, Sio Chako, ni Chenu, ana Akiwa Mtu Sio Wake ni Wao!.

    Wanabodi, Lugha ya Kiswahili japo ni lugha rahisi na Kiswahili fahasa ni kigumu, na moja ya masomo magumu kupata alama ya A enzi zetu, lilikuwa ni somo la Kiswahili. Matokeo yangu ya form 4, nimepata A 2, ya somo la Siasa na somo la Kiswahili, hivyo mara moja moja, ikitokea kuna makosa madogo...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Mliopo ndani ya ndoa watoto ndio chaguo la kwanza(wapende hao)

    Wakuu kwa wazoefu wanajua Hii code Kwa waliowahi kutoka na wake za Watu amini nakwambia,hao watoto uliobahatika kuzaa hao ndio ndugu zako,faraja yako wekeza nguvu hapo,ila huyo kiumbe wa pembeni amini nakwambia huyo ndio adui yako wa kwanza,sio jana sio leo sio kesho ipo hivyo, Kwa waliowahi...
  9. Expensive life

    JamiiForums Tanzania Msipotubu yaliyotokea October 29 huko mbele huenda yakatukuta ya Nepal

    Elininyo elininyo tubuni damu za wale watoto hazitawaacha salama. Nyie mnajiona wajanja ila nawaambia zile damu ni mbaya sana kwa hili taifa. Viongozi wa dini mnasisitiza tuliombee taifa wakati kuna damu zinalia zipo ardhini? Huu ni mtego mbaya sana kwa hili taifa. Bila toba hatutoboi .
  10. K

    JamiiForums Tanzania Kwa uelewa wako nini maana ya kutumia mantiki (logic) vs mihemko (emotions)?

    Tumesikia mara nyingi kauli kama 1.Anafanya maamzi kwa mihemko 2.Kukurupuka 3.Kwa kufuata hisia 4.Kwa logic(mantiki) 5.Kwa kufuata upepo(fallacy) Kwa uelewa wako unatofautishaje kati ya kuamua kwa mantiki na mihemko? ShesRise_1 Mshana Jr win-one de Gunner Infropreneur et al
  11. Ben-adam

    JamiiForums Tanzania Vaa vizuri, jipende, pendeza. Mwonekano wako wa nje unawakilisha wewe wa ndani.

    Kuna msemo kwamba "don't judge book by its cover" Sawa na usimhukumu mtu kwa mwonekano wake; Kisaikolojia sivyo wanadamu wanacyofanya kazi. Kama mtu humjui na hujapata nafasi ya kuongea naye (hajajitambusha kwako), utamhukumu kwa namna utakavyokuwa ukimuona. Na mchakato huo hufanyika ndani...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Watumishi wa TRA Wanaoomba Rushwa—Uzoefu Wako Ukoje? Tuwafichue hapa

    Wadau, naomba uzoefu wenu kuhusu TRA. Nimeona niwashirikishe jambo ambalo nimekuwa nikikutana nalo katika shughuli zangu za biashara. Kuna baadhi ya watumishi wa TRA ambao, wakati wa kushughulikia masuala ya kikodi au ukaguzi, wamekuwa wakinipa hisia kwamba bila kutoa "Rushwa" au “kitu kidogo”...
  13. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Raia wema wote wako salama Tanzania, isipokuwa wahalifu na wakiuka sheria

    Ni muhimu kwa wananchi na waTanzania wote kujitenga na matukio au magenge ya kihalifu, lakini pia kujiepusha kabisa katika kukiuka sheria za nchi na vitendo vya uvunjifu wa amani. Ni vizuri kutii sheria bila shuruti na kuishi na watu vizuri na kwa upendo na amani. Hii itasaidia sana kila moja...
  14. instinct desire

    JamiiForums Tanzania Tunatumia muda mwingi kujadili maisha ya watu badala tujikite kwenye uzalishaji: makosa ya wazazi wako yasiathiri wengine.

    Tunajikita kushangaa watu wenye mafanikio kwasababu ya makosa ya wazazi wetu.... Wazazi wetu walizaliwa kipindi cha fursa wao badala wasome shule wakawa wanashinda wanawinda vindege maporini matokeo yake wakazaa watoto hawana hata mtu wa kuwa-inspire Wapo Wapo tu, Leo hii ndo hao wakiona mtu...
  15. T

    JamiiForums Tanzania Kama CCM imeweka kwenye ilani yake kipengele cha mabadiliko ya katiba ni cha nini kama kutwa kucha makada wao wako bize kuipigia debe katiba iliyopo!?

    Nchi Ina vichekesho vingi sana hivi inawezekanaje chama kimeweka ajenda ya mabadiliko ya katiba kwenye ilani yake ya uchaguzi alafu wakati huohuo makada wake wako bize kuipigia debe katiba iliyopo!? Kwa nini wasifute tu kwenye ilani ili lijulikane Moja? Ni nani aliwalazimisha kuweka hicho...
  16. TAJIRI MKUU WA MATAJIRI

    JamiiForums Tanzania Ukiwa kama mwajiriwa ambaye Mhasibu amekosea malipo, mjibu boss wako kwa sentensi moja 😂😂😂

  17. 1995_No_Ku_Fake

    JamiiForums Tanzania ID yangu ni mpya, lakini usinichukulie kama mgeni—nimekuwa humu kabla hata ya wewe kufungua uzi wako!

    Wakuu, kuna tabia moja nimekuwa nikiiona humu ambayo inachekesha kidogo, lakini pia inanifanya nijiulize. Unafungua ID mpya, halafu ghafla watu wanakuangalia kama umetua leo kutoka sayari nyingine! 😂 Ukiandika hoja yenye kueleweka wanaanza: «“Wewe ID mpya, unajua nini kuhusu JF?”» Sasa ngoja...
  18. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Kete za Mapenzi: Hakikisha Mkeo au mwanamke wako anawekeza kiuchumi kwenye mahusiano yenu. Hii ni mbinu ya uhakika.

    KETE ZA MAPENZI: HAKIKISHA MKEO AU MWANAMKE WAKO ANAWEKEZA KIUCHUMI KWENYE MAHUSIANO YENU. HII NI MBINU YA UHAKIKA. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Unajua Pesa inauma kuliko mapenzi? Hili wengi hawalijui. Hasa wale watoto wadogo au wenye upeo mdogo. Sehemu yoyote ambayo hukuweka pesa...
  19. papag

    JamiiForums Tanzania Mkoa wako upo?

    CCM hoyeee!
  20. A

    JamiiForums Tanzania Mh. Rais makamu wako asiwe mtu anayewaza kuja kuwa Rais

    Cheo cha makamu wa Rais ni cha pili kwa ukubwa nchi hii, si vizuri kumweka kijana anayewaza kuwa Rais kwa maana hakuna tena cheo chini ya hapo. Ukiangalia Prof. Mark Mwandosya, Dr. Harrison Mwakyembe wanafaa sana, shida arrogance ya wanyakyusa! Ukienda ukanda wa Rukwa kuna mzee anaitwa Kimathi...
Back
Top Bottom