Wakō (和光市, Wakō-shi) is a city located in Saitama Prefecture, Japan. As of 1 January 2021, the city had an estimated population of 84,161 in 42,434 households and a population density of 7600 persons per km². The total area of the city is 11.04 square kilometres (4.26 sq mi).
Kuna story huwa nasikia kuwa wanaume wanajua kama chakula kimepikwa na wake zao au lah, mfano mwanaume hayupo chakula kikapikwa na mtu mwingine akija kula anajua kabisa aliyepika si mkewe hata kama kitawekwa viungo vilevile ambavyo mke huwa anaweka.
Nini kinawfanya mgundue, au kuna namna...
Kweli anaizungumzia Nchi na kuijali kama familia yake , Afrika tuhubiri kwanza Uzalendo tuko nyuma sana .
https://youtube.com/shorts/7bpZjoxy2Lg?is=zPTHUjErKG4H9MSd
Inahuzunisha sana maelezo aliyotoa gwiji na mhasisi wa bongo fleva Godfrey Tumaini Dudu Baya vipimo alivyofanya Muhimbili kuwa siyo sahihi na uhalisia.
Anasema asingeenda India angepooza milele.
Katumia dollar elfu 20 kufuata matibabu India.
Msikilize zaidi hapo chini kwenye Video.
Soma...
Nimekaa na kuwaza kwa kina pamoja na ukweli kwamba imani yangu haifungamani na upande wowote, ni vizuri ukajiuliza.
Wengi wa wachambuzi wanakimbilia maandiko yamesema kwamba iran itapotea kwenye ramani.
Wengine wanadai Israel itapotea na wengine marekani inaendelea kutafuta shimo la kupotelea...
MAMA YETU GWAJIMA
SHIKAMOO POPOTE ULIPO
KWANZA NIKUTAKIE HERI YA SIKUKUU YA WANAWAKE BORA KTK NCHI HII KUTOKEA UONGOZINI
NISIKUCHOSHE NAJUA UKO KTK SHAMRA SHAMRA BADO TUNAOMBA MSAIDIEN HUYU MDADA MJANE
MUMEWE KAFIA..NDUGU WAMEPORA HELA ZA MCHANGO NA SASA WANAPORA NA MADUKA NA NYUMBA
MBAYA...
Echolima1 a.k.a mwenye majina 30+ kama utitiri Umejificha wapi au kazi za kusafisha vyoo zimekuzidi kule Tela Aviv.
Umewaona Hezbullah au bado
https://youtu.be/_d95LLJvZ7Y?si=KaozdYLUYtd555oI
Afu kuna fununu wametekwa askari wa Israel walijidai eti makamanda kushuka kutoka kwenye Helcopter...
Njia alizokuwa akitumia Mbowe kuongoza CHADEMA zilikuwa za busara
Kawaida binadamu anayetumia busara huonekana kama mjinga lakini mwisho mjinga hujulikana baada ya matokeo
Kwahiyo tusubiri matokeo ndipo wabishi na werevu watajulikana
Mkurugenzi wa Mamlaka ya Maji Arusha halipi malipo ya watumishi kwa wakati.
Watumishi wanalalamika kwa kukaa na madokezo miezi kadhaa bila kulipa na hata akipigiwa simu anajibu 'msinifundishe kazi'.
Kuna kero nyingi na Waziri yupo "busy" na Mamlaka nyingine. Waziri uje Arusha na ukae na...
Anonymous (c723)
Thread
arusha
maji
maji arusha
mamlaka
mkurugenzi
wajibu
wako
Asali wako wa moyo ana maoni gani kwa kinachoendelea? Anaweza chambua kisomi haya mambo ya kimataifa na uchumi kwa ujumla au mapenzi hayaangalii usomi?
Wanabodi, Hii ni makala yangu kwenye gazeti la Nipashe la Jumapili ya leo.Jana tumempumzisha kwenye makao yake ya milele, katika makaburi ya Pugu, Mpendwa wetu, Mwadhama Polycarp, Cardinali Pengo, aliyekuwa Askofu Mkuu mstaafu wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Mwadhama Polycarp, Cardinal Pengo...
Angalia namna walivyomshangilia Kassim Majaliwa muislam na namna walivyoshangiliwa mwigilu na nchimbi wakatoliki. Mtazamo kwanini ilikuwa vile.
1. Mwigilu nchemba ni muovu binafsi toka kitambo.
2. Emmanuel Nchimbi ni mtu mwema ila anafunikwa na kivuli Cha Samia muovu.
Mungu hadhihakiwi!
Wamefubaa/ wamefubazwa mitandaoni
Masanja mkandamizaji.. Sehemu kubwa ya mahubiri yake kwenye kanisa lake la mchongo ilikuwa kumsifia mkewe na wanawake wenye makalio makubwa! Akaishia kupigwa baya na baadae katibu wake akafariki kifo tata! Tangu hapo akageuka kuwa chawa...
Habari wana JF,
Kuna jambo wengi huligundua wakiwa wamechelewa -sio kila mtu wa karibu yako atakuwa tayari kukuona ukipiga hatua kubwa kuliko yeye.
Na hapa nisisemee vibaya:
Watu wengi wa karibu wanaweza wakawa wanakutakia mema kwa dhati. Wanapenda ufanikiwe. Wanakuombea. Wanakutia moyo...
Kwenye siasa kuna mambo hutokea na kuwafanya watu mashujaa ama wasaliti.
Wewe kama mtanzania tangu uhuru wa Tanganyika mwaka 1961 na mapinduzi ya Zanzibar mwaka 1964, nani unadhani kwako ni shujaa ama msaliti kwa Taifa hili?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.