wake

In fluid dynamics, a wake may either be:

the region of recirculating flow immediately behind a moving or stationary blunt body, caused by viscosity, which may be accompanied by flow separation and turbulence, or
the wave pattern on the water surface downstream of an object in a flow, or produced by a moving object (e.g. a ship), caused by density differences of the fluids above and below the free surface and gravity (or surface tension).

View More On Wikipedia.org
  1. A

    JamiiForums Tanzania KERO Jinsi kampuni ya mikopo inavyotunyanyasa wafanyakazi wake

    Naandika waraka huu kwa masikitiko makubwa nikiwakilisha sauti za vijana wengi ambao wanapitia mateso na unyanyasaji ndani ya kampuni ya utoaji mikopo iitwayo Orbit Microfinance Services inayofanya shughuli zake Zanzibar. Kampuni hii imekuwa ikiendesha utaratibu wa kuajiri vijana unaoambatana...
  2. JamiiForums Tanzania Tanzania kwa sasa ni kama haina mwenywe au watu wake wanaishi maisha ya miaka 90?

    Salama Sheikh mwaipopo ni nani? Nani anamtuma kila siku anakuja front na watu waliovaa ninja anasema ana vikosi vya mbwa mwitu vya kuvamia na kuua Sasa kama ni strategy ya kuzuia maandamano ni ya kizamani lakini mtu binafsi anamilikije kikundi cha watu wenye mafunzo na wakimaliza kazi yao hiyo...
  3. JamiiForums Tanzania Shekhe Mwaipopo akitambulisha kikosi cha "tiger", kutembea juu ya madaraja

  4. JamiiForums Tanzania Ni sahihi John Heche kumuacha Dereva wake kwenda kulala Chumba cha Sh. 3,000/=?

    Nimeangalia video ya Guest aliyolala aliyekua dereva wa John Heche kwa kweli inaonekana ni ya bei rahisi, binadamu naye anahitaji utulivu na kupumzika hasa baada ya safari ndefu akina John Heche na Wahuni wenzake walilala Hotel za Maana Dereva akaenda kuchukua Chumba cha sh. 3,000/= the guy kuna...
  5. JamiiForums Tanzania Jamaa aliewadanganya wapalestina waendelee kupambania nchi hewa huku yeye akijikusanyia mabilioni. Mtoto wake yupo france na ndio mrithi wa mabilioni

    Jenzii wengi hawawezi kumuelewa huyu tapeli
  6. JamiiForums Tanzania TANZIA Dereva wa John Heche akutwa amefariki chumbani Kigoma

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kinasikitika kuwatangazia kifo cha, Suez Dani Maradufu ambaye ni dereva wa Makamu wa Mwenyekiti Bara, John Heche. Suez amekutwa amefariki leo asubuhi Jumatano, Julai 01, 2026 chumbani kwenye nyumba ya wageni aliyofikia, mjini Kigoma. Mwili...
  7. JamiiForums Tanzania Lango la Kiroho la July 1 na uhusiano wake katika Ulimwengu wa Giza

    Tarehe 1 Julai inawakilisha lango kuu la kiroho la katikati ya mwaka (Mid-Year Portal) linalogawa kalenda katika pande mbili sawa. Katika mifumo ya kiroho, tarehe hii si siku ya kawaida, bali ni majira ya mpito ambapo milango ya kiroho hufunguka ili kuruhusu mabadiliko ya kiutawala, tathmini...
  8. JamiiForums Tanzania Serikali imkamate Sheikh Mwaipopo, acheni double standards. Haya mambo ndio yanachochea chuki na kuligawa Taifa

    Shekhe Mwaipopo kaongea maneno ya uchochezi wazi wazi kila mtu ameona lakini bado yuko uraiani anadunda tu. Je, haya maongezi angekua ameongea mtu mwingine mlengo mwingine angekua bado yuko uraiani?. Tuseme Mwaipopo ni mwana CCM ni kada wa chama...
  9. JamiiForums Tanzania Hudumieni wake zenu

    Wakuu mliooa hudumieni Hawa wake zenu.Huku nje wanaomba omba mno pesa
  10. JamiiForums Tanzania Rais Samia akiwa na Balozi wa Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE), aliyemaliza muda wake nchini Tanzania

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Balozi wa Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE), aliyemaliza muda wake nchini Tanzania, Khalifa Abdulrahman Almarzouqi, Ikulu Jijini Dar es Salaam, tarehe 26 Juni, 2026.
  11. T

    JamiiForums Tanzania TUACHANE NA HABARI YA KUPIGA MARUFUKU MIKUTANO YA KISIASA. CHA MSINGI TUJADIRI MAANDAMANO YA 7/7 NA KUSISITIZA UMUHIMU WAKE

    Kwa wale wapenda nchi na haki naomba tujadili jinsi ya kufanikisha maandamano ya 7/7. Ishu za kuwaongelea hao viongozi fake ni kupoteza muelekeo kabisa. Na wanataka kututoa katika reli. Tuanze kutumia muda mwingi kujadili matamko yao. Hapa ishu ni moja tu. Je tumesalenda kwa matamko yao ama...
  12. JamiiForums Tanzania Mlinzi wa Heche, kuwa makini na ulinzi wake, uchezi na jukwaa yeye anacheza na jukwaa wewe unasimama Kama mlingoti take care

    Mlinzi wa John Heche,take care,narudia yake care usidhanie unalinda jokeri Yeye jukwaani ananyumba akiwa anaongea wewe umesimama pahala pamoja tu, Take care kiapo chake ni either ufe au afe. Hivi Tundu Lissu wakati wa kupigwa risasi kwa Nini hakuwa na ulinzi ilihali alikuwa mnadhim mkuu wa...
  13. JamiiForums Tanzania Shekhe Mwaipopo acha utawafanya hao vijana waje waozee magerezani, wewe ni mfungwa mtarajiwa

    Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU Nimemuona Mwaipopo akiwa amekusanya vijana watoto wa watu wasio na hatia akiwaita kundi la mbwa mwitu la kutahiri watanzania bila ganzi Hakika nimesikitika sana kwa kweli nimewaonea huruma hao vijana kesho na kesho kutwa akaingia rais...
  14. JamiiForums Tanzania Mwenye kutengeneza kitabu kwa jina :Hofu ya kumiliki madaraka mwisho wake.

    hapa JF tuna wajuzi wazuri.Jina la kitabu kama kichwa cha habari. Tumeona afrika nzima ili ni tatizo kubwa. Jamiiforum mnaweza kuwa ndio wahusika.Ila andiko la kitabu kuwa ilo neno.
  15. JamiiForums Tanzania Mtu sio polisi, hana ushawishi hata kwenye ukoo wake anawezaje kutishia waandamanaji kama sio anachochea na kuleta vurugu na taharuki.

    Hamjambo! Dola ili isimame inahitaji mambo makuu matatu; 1) Mfalme/Rais. Huyu atakuwa kiongozi anayeonekana kwenye utawala. Ambapo atakuwa na mamlaka yanayoonekana lakini haimaanishi mamlaka yanaishi sehemu moja. Huyu kazu yake kupitua vyombo vya serikali kama vyombo vya dola kazi yake ni...
  16. L

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Dkt Mwigulu Nchemba Awa Mshauri wa Kanisa La Anglikana Tanzania Baada ya Kuridhishwa na Uchapakazi wake. Achangisha Zaidi ya Billion Moja.

    Ndugu zangu Watanzania, Waziri Mkuu wetu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Daktari Mwigulu Lameck Nchemba maarufu kama Mr Clean kama ambavyo watanzania wengi hupenda kumwita . Amepata na kupewa heshima ya kipekee kabisa ya kuwa Mshauri wa Kanisa la Anglikana Tanzania Baada ya...
  17. JamiiForums Tanzania Mtoto wa Miaka 13 Adai Kupigwa Kikatili na Mwajiri Wake Kariakoo

    Mtoto anayefahamika kwa jina la Nikson (13), ambaye alikuwa akifanya kazi katika eneo la Kariakoo jijini Dar es Salaam, ameripotiwa kupata majeraha makubwa baada ya kile kinachodaiwa kuwa kipigo kutoka kwa mwajiri wake. Kwa mujibu wa taarifa zilizopatikana, mtoto huyo alikuwa akiomba arejeshwe...
  18. JamiiForums Tanzania Hivi Upweke umri wake mwisho lini ?

    Mtu anatakiwa aolewe akiwa na umri gani?
  19. B

    JamiiForums Tanzania Ulishawahi kukutana na Mpenzi/ Mchumba mwenye Chale nyingi kwenye Mwili wake? Nini kilikushangaza? Ulichukuliaje?

    Binafsi BushDokta naamini ktk tiba ya mizizi na mimea kama ilivyokuwa hapo kale. Kamwe siamini ktk ushirikina au mambo ya mauza uza. Mwaka fulani nilikutana na Msichana Mrembo mzuri anavutia, Mpole, na tabia njema shape kama loote( kwa wale mnaopenda mitulinga). Kilichonishangaza ni wingi wa...
  20. JamiiForums Tanzania Wazanzibar wafahamu , Mzee Karume hakua Mjinga , Mzee Nyerere hakua Mjinga !!.

    Hili ndio Wazanzibar wafahamu , Mzee Karume hakua Mjinga , Mzee Nyerere hakua Mjinga !!. Toka Muungano , Tanganyika imekua inaibeba sana Zanzibar , Kwa Tanganyika kama kupoteza tulishapoteza vitu vingi sana Kiasi kwamba HAMNA NAMNA YOYOTE YA KUIACHA ZANZIBAR IWE NCHI . Zanzibar ni Alama...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…