wake

In fluid dynamics, a wake may either be:

the region of recirculating flow immediately behind a moving or stationary blunt body, caused by viscosity, which may be accompanied by flow separation and turbulence, or
the wave pattern on the water surface downstream of an object in a flow, or produced by a moving object (e.g. a ship), caused by density differences of the fluids above and below the free surface and gravity (or surface tension).

View More On Wikipedia.org
  1. chiembe

    JamiiForums Tanzania Vyombo vya habari vinaweza kuwatumia watu wake wasio na vyeti kwa kuwaita kama analyst/wachambuzi chini ya muongoza kipindi mwenye ithibati

    Ukweli usemwe, watanzania wanapenda umbea na habari nyepesi, kuwa cut off watu wanaokata kiu hiyo ni kujifanya hatuijui jamii yetu, na pia habari hizo nyepesi (umbeya) zimesaidia ku-de-fuse jamii na pia kunyonya negative issues katika jamii kama godoro linavyonyonya maji. Pia sidhani kama jamii...
  2. stakehigh

    JamiiForums Tanzania Ila pastor Nganga ni kama anaenjoy sana kuwachapa vibao washarika wake

    https://www.youtube.com/shorts/bod30mkvHJQ?feature=share
  3. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania Simba SC Kwenye Mizani, Changamoto Zinazoathiri Ufanisi Wake Kwa Sasa

    Wakuu ==== Tujadili sababu zinzoikwamisha Simba kwa Miaka ya hivi karibuni, Mabadiliko ya mara kwa mara ya benchi la ufundi Usajili usio na tija Presha kutoka kwa mashabiki na mashindano ya kimataifa uongozi
  4. mcTobby

    JamiiForums Tanzania Kinachonifanya niipende channel Ya NATGEO WILD ni wale wasimuliaji wake

    Kwa sisi ambao ni wapenzi wa kutazama documentaries hususani za Wanyama na investigation documentaries kwenye hii channel ya natgeo, ni wale wasimuliaji wake wa matukio.. nawakubali sana. Mmojawapo ni huyu mama kwa jina Amanda alexander. Ana sauti ya kipekee sana.
  5. Vamigo

    JamiiForums Tanzania Mke wa rafiki yangu ananitaka ili alipe kisasi Kwa mume wake

    Ndugu zangu Moja Kwa Moja kwenye mada, nina mshikaji tumeshibana ki mtindo Japo mm nina mapungufu na yeye pia anayo ila tumechagua kusonga kama washikaji. Umri wetu ni 28+. Mwamba alianza ku date na rafiki wamke wake ambaye ni jirani yake, kama mjuavyo mapenzi yalivo na nguvu ilikua ni ngumu...
  6. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Hatusemi rais ndio anateka na kuuwa lakini wanao uwawa na kutekwa na kusekwa gerezani ni wapinzani wake pekee

    Hatusemi rais ndio anateka na kuuwa lakini wanao uwawa na kutekwa na kusekwa gerezani ni wapinzani wake pekee. Nyongeza watu walio fanyiwa uhalifu ambao ni viongozi wa dini, watu walio fungiwa makanisa na kuvunjiwa makanisa ni wapinzani wa rais samia pekee. Kwahiyo lazima tujiulize kwanini ni...
  7. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kuna Timu safari hii imekosea (imechemka) sana katika Usajili wake na itakuja kupata Mafanikio kwa nguvu za Wabunge wenye Kuogopwa na TFF

    Sijaitaja sasa Wewe shoboka kuwa unaijua kwa kujifanya upo Akilini mwa GENTAMYCINE ANTIBIOUTIQUE Malaika wa Kizanaki (Mara Tanzania), Kiyao (Mtwara Tanzania) na Kitutsi (Gisenyi Rwanda) sawa?
  8. M

    JamiiForums Tanzania Tume iko wapi kukibana CCM na mgombea wake ili kutengua uteuzi wake? Tume itende haki

    Moja ya mambo ambayo yakija kutokea huko mbeleni pengine kutokea machafuko nchini kwa kisababishi cha upendeleo wa kunyamazia mambo yanayotokea CCM na mambo hayo hayo hayanyamaziwi yanapotokea vyama pinzani Tunapozungumza leo, Chadema imesimamishwa mikutano, luzuku na hata kiongozi yoyote...
  9. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Tofauti na mdodoma ni mti gani mwingine mzuri kwa ajili ya kivuli, haupukutishi matawi lakini pia mzizi wake hausambai ila una penetrate chini?

    Tofauti na mdodoma ni mti gani mwingine mzuri kwa ajili ya kivuli, haupukutishi matawi lakini pia mzizi wake hausambai ila una penetrate chini? Karibu gardeners
  10. E

    JamiiForums Tanzania Reforms hamtaki mnasema twende hivo hivo,,,mbona Samia hamtaki agombe hivohivo na uharamu wake?

    Samia kavunja kanuni mnahaha mchakato urudiwe,,, sasa mbona sheria za uchaguzi hamtaki zirekebishwe ndo uchaguzi ufanyike!? Wanafiki wakubwa kumbe hamna utaifa bali mnapambania maslahi yenu.!!
  11. K

    JamiiForums Tanzania Makosa mawili ya rais Samia yanayotugharimu

    Mara 4R, Mara mardhiano....... haya yote ameshidwa na vigogo ndani ya CCM https://youtu.be/Ku52ZOjs0oQ?si=N3mmmLL4TrSqjbhQ
  12. sammosses

    JamiiForums Tanzania Taifa linaumwa lipo ICU, nani mkombozi wake?

    Upo msemo wa wahenga unasema asiyejua kufa achungulie kaburi. Msemo huu umebeba dhima nzito juu ya uumbaji wa Dunia na mwanadamu. Quran tukufu nayo imesema kila nafsi itaonja mauti,Kwa msingi huo kifo ni sehemu ya uumbaji katika kumkutanisha Mja na Muumbaji. Kama kifo ni wajibu kwanini...
  13. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Amepewa kichapo na kaka wa mke wake baada ya kumpiga mkewe ni sahihi?

    Jamaa moja huko Nigeria amempiga mke wake. Kaka wa mke wake wamefika nyumbani kwake na kumpatia kipigo kitakatifu. Hili suala limekaaje?
  14. McLaren

    JamiiForums Tanzania Hii imekaaje wakuu. Amhudumia mume wake aliyepooza kwa miaka sita, alivyopona akapewa talaka

    Wakuu, Mwanamke mmoja nchini Malaysia ameibua hisia kali baada ya hadithi yake kusambaa mitandaoni, ikionesha alivyomhudumia mume wake kwa miaka sita baada ya kupata ajali ya gari iliyomsababishia kupooza, lakini baadaye akatalikiwa na mwanaume huyo wiki moja tu baada ya kupona na kuoa mke...
  15. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Polepole ana mgombea wake mfukoni?

    POLEPOLE ANA MGOMBEA WAKE MFUKONI? Lilipoulizwa swali la huenda kupitishwa kwa mgombea mmoja kwenye kugombea nafasi ya Urais ikawa ni uoga wa kushindwa kwenye mkutano mkuu, Dkt. Dennis Muchunguzi anasema hakuna uoga wowote kwasababu wajumbe wa mkutano mkuu ambao ndio WAPIGA kura ndio waliamua...
  16. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Bado wanaume mnahukumu tabia za wanawake kwa vigezo vya makabila yao?

    Kuna mdada gani sasa hivi hana kisirani? Kuna mdada gani sasa hivi agombani na mmeo hata kama sio physical mnaenda round saikolojiko? Its 2025, bado kijana anawaza ukabila wa mademu. Mademu wa kileo ni kabila moja🤣🤣
  17. funaku

    JamiiForums Tanzania Ingekuwa John Pombe Magufuli anamaliza muda wake leo hii bado aliyemuamini Rais Samia

    Hakuna mwanasiasa mpya ndani ya CCM Ambaye angeweza kuaminiwa na kukabidhiwa kijiti iwapo hayati Magufuli angekuwa anamalizia muda wake leo hii. Kama yupo basi Magufuli kwa uwazi kabisa angemteua kama mgombea mwenza kipindi kile. Itakumbukwa pia Mtu wa pili aliyetajwa kuaminiwa na Magufuli ni...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Chonde chonde viongozi wa CHADEMA; Tazameni hili kwa upana wake

    Kuna kitu mnakosea sana kukaa kimya na kuacha vijana wadogo kama akina Hilda Newton kumshambulia Mbowe na kumvunjia heshima kwa kiwango kikubwa, hii siyo sawa na haikubaliki hata kidogo na mbegu inayopandwa ni hatari sana. Ukiangalia mambo yanavyoenda inaonekana kazi ya kulinda Legacy ya Mbowe...
  19. The redemeer

    JamiiForums Tanzania Kwanini mwanaume anapofumania mwenza wake anatakiwa kuachana naye?

    (Sababu 7 za msingi zinazomlinda mwanaume kiheshima, kiafya, kiakili na kifedha) Katika dunia ya sasa ambapo maadili yanazidi kuyumba, kuna wanaume wengi wanaojikuta wanasamehe usaliti mkubwa wa wake zao kwa kisingizio cha watoto, familia au dini. Lakini ukweli mchungu ni huu: ukimvumilia mke...
  20. C

    JamiiForums Tanzania Simba inaanguka taratibu na wauaji wake ni hawa hapa

    Kuna utafiti mdogo nimefanya na kugundua kwa sasa waliokuwa wapenzi wa Simba wengi wameanza kutafakari iwapo walikuwa sahihi kuishabikia timu hii. Hata hivyo kuna watu muhimu wanahusika moja kwa moja katika kuishusha Simba taratibu lakini kwa uhakika Wa kwanza ni mwekezaji ambaye bila kupepesa...
Back
Top Bottom