Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo Zanzibar (CCM), Khamis Mbeto amesema chama hicho kitasimama na mgombea anayekubalika kwa jamii na sio kukubalika na wana CCM tu.
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kinatarajiwa kufanya vikao vyake muhimu vya Kitaifa jijini Dodoma kuanzia Agosti 21, 2025 ambaopo...