wake

In fluid dynamics, a wake may either be:

the region of recirculating flow immediately behind a moving or stationary blunt body, caused by viscosity, which may be accompanied by flow separation and turbulence, or
the wave pattern on the water surface downstream of an object in a flow, or produced by a moving object (e.g. a ship), caused by density differences of the fluids above and below the free surface and gravity (or surface tension).

View More On Wikipedia.org
  1. Kushangilia kifo cha Ayubu hakumuudhi wala kumkera Belshaza, maana Ayubu hakuwa mtu wake

    Nimeona wananchi wengi wakishangilia kifo Cha Ayubu (Job) Kama njia ya kumkera na kumuudhi Belshaza (Mtawala). Niwakumbushe kuwa hata huyo Ayubu alijiuzuru kwenye nafasi yake baada ya kukosana na Belshaza. Kwahiyo tangu hapo Ayubu na Belshaza hawakupikika chungu kimoja. Kwahiyo kushangilia...
  2. Harmonize kadanganya mashabiki wake kuhusu album?

    Huyu mmakonde alisema tarehe 8 mwezi huu anaachia album kama kawaida yake huwa anaachia usiku wa kuamkia ijumaa Sasa mpaka Sasa hivi yupo kimya hata majina ya nyimbo hajapost je amewafanya mashabiki wake ni wajinga?
  3. Weasel manizo wa uganda yuko hoi mke wake alimgonga na gari maksudi

    Nitarudi nasikia uganda mke wake kamgonga na gari nitakuja asubuhi kuleta taarifa kamli kutoka uganda nasikia anaweza katwa miguu mke wake ni mrwanda Haya 15:08 nimerudi tena kumalizia ufyete kutoka uganda Basi bwana, vyanzo vya kuaminika vya mitaa ya kampala vimepiga kelele...
  4. H

    Kwa nini Yesu haku kataza kuoa wake wengi?

    Nimekuwa najiuliza hilo swali kwa sababu zifuatazo; vizazi vilivyo kuwepo kabla ya Yesu na hata Yesu akiwepo, walikuwa wanaoa wake wengi na Yesu hakuwahi kukemea au kusema kuna ubaya wowote. Sheria ya kuwa taka Wakristo waoe mke mmoja ilitungwa na Papa Paul baada ya Yesu kuwa alisha nyakuliwa...
  5. Kumbe Marehemu Ndugai Alikuwa na Wake Wawili?

    Kuna mama amejitambulisha yeye ndiye mke halali wa marehemu ndugai tena walifunga ndoa ya kanisani. Anaitwa Stella Mmasi ,halafu kuna Dr fatma Mganga Halafu moderators acheni dictatorship ya kuondoaondoa nyuzi zangu ================= Stella Mmasy, mke wa aliyekuwa Spika wa Bunge la Jamhuri ya...
  6. Uzuri wa mwanamke ni Uwembamba wake

    Sifa ya mwanamke mzuri ni wembamba wake. Mwanamke akiwa mwembamba automatic tu anakuwa mzuri. Ki Korean figure fulani hivi
  7. Msanii Zimwi adai mke wake alimkimbia baada ya kuugua

    Muigizaji na mchekeshaji maarufu Zimwi amekuwa akisumbuliwa na maradhi kwa muda mrefu Hivi karibuni amefanya mahojiano na waandishi wa habari na kuwaeleza kuwa yeye ni baba wa mtoto mmoja na amekuwa na mwanamke aliyemkimbia kipindi cha kuugua ingawa alimsaidia sana mke wake pamoja na familia ya...
  8. Soko la mwanamke lipo kwenye umri wake

    Ehh dada wewe!!!! Kama saivi unaona una muda wa ku spend sana. Piga hesabu pia kua umri ukienda utamudu kuendesha maisha kwa ku spend... Umri ukienda Utakupa pressure ya kutaka wanaume sasa wawe wakweli kwako ... Wakati kipindi kile walikuja wakweli kwako uliona hujamaliza ujana ukachagua...
  9. N

    Ina maana huyu jamaa muuza karanga usmart wake unamponza

    Anakuja mara kwa mara bar ila hata za kuonja tumezikataa kwa sasa mwaka wa tatu tumezikataa.Anapita kavaa miwani watu hatumuamini
  10. Bi. Mtumwa Kitete Muuza Uji na Vitumbua Mchango Wake Ndiyo Ulihitimisha Safari ya Nyerere UNO 1955

    BI. MTUMWA KITETE MAMA MUUZA UJI NA VITUMBUA MCHANGO WAKE SAFARI YA NYERERE UNO 1955 Kuna jambo moja nimewahi kuelezwa na Bi. Mwamvua bint Mrisho maarufu kwa jina la Mama Daisy. Wakati huu alikuwa akiishi Ali Hassan Mwinyi Road. Ningependa ulizingatie na ufanye utafiti zaidi. Bi Mwamvua...
  11. SI KWELI PreGE2025 Nape anatuhumiwa kuendesha vikundi vya uhalifu kwa wapinzani wake uchaguzi kura za maoni jimbo la Mtama

  12. Waandishi wa Bibilia wameficha sehemu Yesu alitamka Allah kama ndio Mungu wake

    Ukiisoma Injili zote ni sehemu Moja tu wandisha ndio wameandika Yesu akitaja jina la Mungu wake na Kwa mujibu wao alitaja hilo jina akiwa yupo msalabani Mathayo 27:46 Na kama saa tisa, Yesu akapaza sauti yake kwa nguvu akisema, Eloi, Eloi, lama sabakthani? Yaani, Mungu wangu, Mungu wangu, mbona...
  13. M

    Siri Mpya ya Coder Kupanua Uwezo Wake na Kujenga Future ya Maendeleo ya Tech..

    Zamani, dunia ya software development ilikuwa kama mji usio na ramani. Kila developer alikuwa akijenga daraja lake mwenyewe kuunganisha tools, APIs, na frameworks. Kila API ilikuwa kama mlango wenye funguo tofauti—na kupata kila kitu kifanye kazi pamoja ilihitaji muda, pesa, na nguvu kubwa...
  14. A

    KERO Baadhi ya Taasisi za Serikali hazilipi tena pesa ya likizo kwa watumishi wake

    Heshima yenu wakuu , Rejea kichwa cha habari hapo ,kuna hili jambo limekua sana kwa sasa ,tangu baadhi ya Taasisi kupokea barua ya kufutwa kwa pesa ya likizo maarufu kama mshahara wa 13 kwa mwaka ..Basi na pesa ya nauli ya likizo hawalipi tena . Kulingana na mwongozo wa serikali ni lazima...
  15. Tuongee kifamilia/kitamaduni:-Kwa mwanamke je ni sahihi kufua nguo za baba mkwe wake?

    Kulingana na mila na desturi zetu zinatofautiana kabila hadi kabila na jamii nyingine kwenda jamii nyingine. Ni kawaida kukuta jamii au tamaduni ya watu hawa haziingiliani na tamaduni za jamii/kabila fln. Mfano kuna baadhi ya makabila huoa binamu zao wengine huzaa na dada zao nk. Kule...
  16. Ali Kamwe hongera sana kwa Kuoa ila umehakikisha kuwa Boss wako Mmoja mharibifu hadi kwa Wake za Wachezaji hatopita pia na Mkeo huyu Mrembo?

    Uzuri wetu wengine Wachezaji wako ni Marafiki zetu na hawatufichi jambo. Boss hapendi vitu vizuri vizuri vimpitie mbali.
  17. Arusha; Rasta Auliwa kinyama Kwa kutobolewa Macho Kisha kutundukwa juu ya Mtii Kwa kutumia mkanda wake.

    Kijana Mmoja mwenye umri wa miaka 28 almaarufu Ras Bosco ameuliwa kikatili na watu wasiojulikana na Kisha kuchukua mwili wake na kuutunduka juu ya mti Kwa kutumia mkanda wake. Tukio Hilo limetokea siku ya Jana katika kata ya Sinoni Mtaa wa Olmorkea jijini Arusha. Mwenyekiti wa Mtaa huo Bwana...
  18. K

    Mke wangu hapendi nishike uke wake tukiwa faragha

    Wakubwa, kuna kitu kinaninyima raha sana. Nikiwa faragha na mke wangu, nikimshika uke ili niuchezee huwa anautoa mkono wangu, kwa kweli hii hali inanisononesha sana. Nifanyaje wakuu, au nimuache tu?
  19. Rafiki yangu kampa kadi ya benki mke wake na akipata mshahara wote anampa mkewe. Yuko sawa kweli?

    Wakuu, Hivi hii imekaaje? Nina rafiki yangu ambaye tulisoma nae pamoja na kwa sasa anafanya kazi kwenye moja ya taasisi kubwa sana hapa nchini. Jamaa take home ni around ya 1.5 Million kwa mwezi na ajira yake ni ya uhakika maana hiyo taasisi anayofanyia kazi ina muingiliano na masuala ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…