wake

In fluid dynamics, a wake may either be:

the region of recirculating flow immediately behind a moving or stationary blunt body, caused by viscosity, which may be accompanied by flow separation and turbulence, or
the wave pattern on the water surface downstream of an object in a flow, or produced by a moving object (e.g. a ship), caused by density differences of the fluids above and below the free surface and gravity (or surface tension).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania SoC01 Kiongozi ni vema kuchunga Ulimi wake

    Utimamu wa kiongozi bora ni kuwa na kichwa chenye ubongo wa hekima, unaowaza, unoainisha, unaochambua, na kuweza kufanya tathimini. Vile vile ukamilifu wa kiongozi ni awe na kinywa chenye ulimi wa ufasaha, unaonena maneno ya staha, unaosema maneno ya uhakika, weledi na wenye kutoa nasaha bora...
  2. S

    JamiiForums Tanzania SoC01 Changamoto za Waswahili kwenye Kiswahili na utatuzi wake

    Kiswahili ni lugha adhim inayotumika sana katika ukanda wa afrika ya mashaliki, Asili yake ni inchini Tanzania ambako ndiko kuna waswahili wenyewe hasa, Pamoja na juhudi za Kiswahili kama lugha kukua na kuendelea zikiendelea, kiswahili kinapitia changamoto zifuatazo kutoka kwa waswahili wenyewe...
  3. JamiiForums Tanzania Thread maalum kwa wapenzi wa movie za zamani za Kihindi pamoja na mastaa wake

    Daah aisee movie za kihindi zamani zilijua kutukamata kulikuwa hakuna watafsiri lakini tulizielewa balaa. Miaka ya 80's huko wazazi wetu na wenyewe walikuwa na mastaa ambao waliwakubali Kama Dharmendra, Amitha Bachan, Shratugansina, Mithun chaklaboth, jitendra, huku maqueen wao wakiwa Kama...
  4. JamiiForums Tanzania Marekani yatahadharisha raia wake kwenda Uingereza

    Kituo cha Kudhibiti na Kuzuia Magonjwa (CDC) kimewatahadharisha raia wa Marekani kuhusu kwenda Uingereza ambapo kumekuwa na ongezeko la maambukizi ya #COVID19. CDC wamesema kama kutakuwa na ulazima sana wa mtu kwenda Uingereza ni vyema kwanza akawa amekamilisha dozi ya chanjo. Uingereza...
  5. JamiiForums Tanzania WHO: ni nchi 10 tu duniani zilizofanikiwa kuwapatia chanjo wananchi wake kwa idadi kubwa

  6. S

    JamiiForums Tanzania Watanzania wenzangu amkeni; adui yetu mkubwa ni Bunge letu na Uongozi wake

    Ndugu zangu naomba tujue mahala pa kuanzia kuelekeza malalamiko yetu. Kwa muda mrefu sasa wale tunaowatuma bungeni kutuwakilisha wameshindwa kabisa kutekeleza wajibu wao badala yake ndio wamekuwa wanatuchongea kwa mamlaka za nchi kuwa tukandamizwe kwa kukatwa makodi kibao. Mfano mdogo ni huyu...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Habari nahitaji kuagiza vitenge Zambia utaratibu kwa anayefahamu naomba msaada wake

    Mimi nahitaji kufanya biashara kutoa vitu zambia kuleta tanzania (vitu kama vitenge). kwa anayefahamu utaratibu naomba msaada nijue cha kufanya.
  8. JamiiForums Tanzania SoC01 Tatizo la ajira kwa wasomi, madhara na ufumbuzi wake

    SABABU ZA TATIZO LA AJIRA KWA WASOMI, MADHARA NA UFUMBUZI WAKE TANZANIA. Utangulizi Tatizo la ajira kwa wasomi ni janga la dunia mzima lakini limeathiri zaidi katika nchi zilizo kusini mwa jangwa la Sahara. Tatizo hili linahusisha kuwa na idadi kubwa ya watu wenye ujuzi, maarifa na uwezi mzuri...
  9. JamiiForums Tanzania Dkt. Mpango aagiza kurejeshwa kwa fedha zilizochukuliwa na Wizara ya Fedha wakati akiwa Waziri

    Nimsoma hili agizo la Mh Makamu wa Rais. Inasikitisha halafu inafurahisha kwa kweli. Nadhani lengo liko palepale yaani kila Msala anatupiwa Shujaa. Hili nalo kwa lugha ya picha inaonekana hakukubaliana nalo bali Msuli wake ulikuwa Mdogo. Sasa najiuliza kuwa Bunge la Bajeti limeshapita, Sasa...
  10. JamiiForums Tanzania SoC01 Sababu za tatizo la ajira kwa wasomi, madhara na ufumbuzi wake Tanzania

    SABABU ZA TATIZO LA AJIRA KWA WASOMI, MADHARA NA UFUMBUZI WAKE TANZANIA. Utangulizi Tatizo la ajira kwa wasomi ni janga la dunia mzima lakini limeathiri zaidi katika nchi zilizo kusini mwa jangwa la Sahara. Tatizo hili linahusisha kuwa na idadi kubwa ya watu wenye ujuzi, maarifa na uwezi mzuri...
  11. JamiiForums Tanzania Je, kitendo cha nchi ya Burundi kupenda kushirikiana zaidi na nchi moja ya 'EAC' ni Afya kwa 'Usalama' wake wa Taifa?

    Ni kawaida kabisa kuisikia nchi ya Burundi au kupitia Rais wake wakipenda sana 'Kujianika' juu ya Mipango yao ya 'Kiustawi' na 'Rasilimali' zake kwa nchi moja Rafiki ya Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC). Je, Wabobezi wa Mambo ya Kiitifaki na Kiusalama kitendo hiki cha Taifa la Burundi kupenda...
  12. JamiiForums Tanzania Kiroho zaidi: Rais ajaye baada ya Mama Samia,atakuwa mwanamke pia

    By the time mama Samia ana karibia kumaliza muda wake wa uongozi hiyo mwaka 2030, mamilioni ya Watanzania wata tamani katiba ibadilishwe ili Mama Samia aongezewe muda , lakini halitawezekana tena kwani kwa wakati huo, kwa sababu tayari atakuwa ameshapitisha katiba...
  13. JamiiForums Tanzania Jifunze kitu hapa: Hii hapa Taarifa ya mwanaume aliechomwa moto na mwanamke wake (mchepuko)

    Jamaa huyo maarufu kwa jina la Zungu ameuliwa kwa kuchomwa moto na mpenzi wake huyo kwa jina la Neema. Tukio limetajwa kutokea huko Mbezi Makabe, Dar jana usiku. Sababu inadaiwa ni jamaa kutokuwa mwaminifu katika mapenzi yao ndipo mdada anadaiwa kumfungia ndani jamaa kisha kumwaga petrol na...
  14. JamiiForums Tanzania Simujanja zimeharibu wake za watu. Wanashinda wanapakuwa picha za ngono na kujifunza uchafu kupitia wassapu

    Teknolojia imekuja na mambo mengi. Sasa hivi kila mwanamama anataka amiliki simujanja. Na akishamiliki simujanja basi anajiona ana kila kitu. Siku hizi wamebakiza kupakua picha za ngono na kutupana wassapu huku wakijifunza uchafu. Wameharibia kabisa.
  15. JamiiForums Tanzania Waziri Mwigulu Nchemba, nani kakutuma umchonganishe Rais na wananchi wake? Hautafanikiwa...

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, pamoja na mambo mengine, ni mkuu wa nchi na mkuu wa Serikali. Kuongoza nchi na Serikali ni kuongoza watanzania wote: furaha na karaha zao huelekezwa kwa Rais. Mazuri yao na mabaya kwao wananchi husemwa kuwa yametokana na uongozi wa Rais aliye madarakani...
  16. B

    JamiiForums Tanzania Kodi ya Uzalendo na Kisa cha nguruwe kula watoto wake

    Kuna Kipindi nilifuga nguruwe, yule nguruwe akapata watoto 7. Sasa cha kushangaza siku ya pili yake jioni nakuta vitoto 4, nikauliza ni nini kimetokea, kijana akasema na yeye anashangaa. Nikampigia simu rafiki yangu kuuliza akasema huenda hakupewa chakula cha kushiba hivyo sababu ya njaa kala...
  17. JamiiForums Tanzania Kwa haya yaliyotokea Florentino Perez ndiyo mwisho wake?

    Jamaa aliejulikana kama "The greatest seducer of Men". Rais wa Real Madrid sasa naona ana bonge la kashfa. Audio leaks za mazungumzo yake na mtu aliemrekodi zinaachiwa. Hadi sasa kawatukana wachezaji walioiletea timu yake sifa zote. Raul na Cassilas kawaita 'fraud'. Cristiano Ronaldo .. idiot...
  18. JamiiForums Tanzania Serikali imepandisha sana gharama za kutuma na kupokea hela kwa simu, ole wake mtu aniambie tuma na ya kutolea

    Pongezi kwa bunge la kijani la Mwendazake kwa kuyafanya maisha ya Mtanzania yawe magumu kila kukicha.
  19. JamiiForums Tanzania Tazama hapa makato ya kutuma na kutoa pesa kwa Vodacom (M-Pesa) kuanzia Julai 15, 2021

    KUMBUKA • Hakuna makato yoyote unapoweka pesa kwenye akaunti yako kupitia wakala wa M-Pesa • Hakikisha taarifa zako za M-Pesa ni sahihi vinginevyo fika katika duka la Vodacom lililopo karibu nawe kuhakiki taarifa zako • Unaweza kutuma hadi Tshs 5m kwa siku au kuwa na hadi Tshs 10m kwenye...
  20. JamiiForums Tanzania Inawezekana Rais wa Haiti aliuawa na walinzi wake mwenyewe

    Maswali mengi yameibuka juu ya madai ya serikali ya Haiti kuhusu waliotekelezwa mauaji ya raisi Moise, ambaye aliuawa kwa kupigwa risasi katika hekalu lake liliko Port-au-Prince, Halhamis iliyopita. Jeshi la polisi na wanasiasa wa Haiti ambao wameingilia ombweila uongozi wa kiasiasa kutokana na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…