wake

In fluid dynamics, a wake may either be:

the region of recirculating flow immediately behind a moving or stationary blunt body, caused by viscosity, which may be accompanied by flow separation and turbulence, or
the wave pattern on the water surface downstream of an object in a flow, or produced by a moving object (e.g. a ship), caused by density differences of the fluids above and below the free surface and gravity (or surface tension).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Nchi ambazo rai wake wameuana sana mwaka 2021

    mpaka kufika sasa hizi ndiyo nchi ambazo raia wake wameuana sana. Nigeria vifo 64,201 Brz 57,000 Mex 37000 Sa 21,000 Us 16,000 kwa EA Tz 3500 Ke 2500 Ug 4500
  2. K

    JamiiForums Tanzania Taarifa za shahidi wa 7 wa Jamhuri ndugu Mahita kuondokewa na mtoto siku Moja baada ya kumaliza Ushahidi wake zina ukweli?

    Zipo Taarifa kwamba Mahita Junior amefiwa na mtoto Arusha na watazika Morogoro kesho, je Taarifa hizi Zina ukweli? Nini chanzo? If so,poleni familia
  3. JamiiForums Tanzania Simba kumtambulisha kocha wake saa mbili usiku huu

    Kupitia ukurasa wa klabu ya Simba kwenye mtandao wa Twitter, wametangaza kuwa usiku wa leo saa mbili watamtangaza kocha mpya! Hivyo mashabiki wakae mkao wa kula!! Unahisi kocha wa Simba atatoka nchi gani?
  4. JamiiForums Tanzania Takwa la kikatiba la baada ya kifo cha Rais aliyepo madarakani msaidizi wake awe mkuu wa Nchi litauwa wengi-lipingwe mahakamani

    Kikatiba endapo Rais aliyepo madarakani hapa Tanzania akifa makamu wake ndiye anatakiwa awe mkuu wa Nchi bila uchaguzi wowote kufanyika. Jambo ambalo ni hatari mno na ni risk kwa mkuu wa Nchi awaye endapo tu msaidizi wake watakuwa na kuhitilafiana hali ambayo pengine kibinadamu inaweza kuleta...
  5. JamiiForums Tanzania Philip Mangula afungua mafunzo ya Siku 3 kwa Makatibu wa wa Mikoa na Wilaya wa CCM Jijini Dodoma

    CCM YAJIFUNGIA SIKU TATU KUWAPIGA MSASA WATENDAJI WAKE Makamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara ndugu Philip Japhet Mangula Leo Novemba 03 amefungua Mafunzo ya Makatibu wa Mikoa Na Wilaya Nchi Nzima katika ukumbi wa H/KUU Makao Makuu ya CCM jijini Dodoma. Pamoja na Mambo mengine ya msingi lengo...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Mechi wanazoshiriki Simba na Yanga, zichezeshwa na waamuzi kutoka nje ya nchi

    Ili kutendea haki timu zingine, ni bora mechi wanazoshiriki Simba na Yanga zichezeshwe na waamuzi kutoka nje ya nchi. Najua itakuwa ni changamoto kutekeleza hili wazo, ila huu ndio ukweli. Siamini kama kuna mwaamuzi ambae si shabiki wa either Yanga au Simba katika hii ligi yetu ya NBC...
  7. JamiiForums Tanzania Mkeo akitamaniwa na mwalimu wake wa chuo utafanya nini?

    Tumeoma mara kwa mara kero ya hawa walimu wa vyuoni wakiwa wanatumia silaha ya maksi kulala na wanafunzi. Wanakuwa na nguvu ya kulala na mwanafunzi hata kama mwanafunzi hampendi, wanakuwa ma nguvu ya kulala na wanafunzi bila kulipia chochote zaidi ya kutoa maksi. Sasa ikija kutokea mke wako...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Simba SC ikifanya haya tu Mashabiki wake wataendelea Kunenepa na itarejea katika Soka lake lile la uhakika huku wakiyasahau Machungu yote

    1. Ikubali kuwa Msimu huu Yanga SC imesajili vyema na imedhamiria Kivitendo kufanya vyema na kuwa Mabingwa wa NBC Premier League.. 2. Ikubali kuwa Msimu huu imesajili Kimihemko na vibaya zaidi kama walivyowahi kufanya Wapinzani wao Yanga SC kwa Misimu Miwili mfululizo hivyo wanatakiwa (...
  9. JamiiForums Tanzania Hivi Mwanamke kutopenda Kuomba Omba Hela kwa Mpenzi wake ina Maana gani?

    Nianze kwa kusema OLE OUT! Wanangu wa MAN-U na Leo tunakufa tena. Turudi kwenye Topic. Wakuu hapo nyuma nilikua na Mpenzi Dadek Pisi kali ya kwenda ila ilikua inapenda Pesa sana hela za Shopping ilikua kila week mara kusuka na ukweli alikua hakuna mda hajapendeza hadi Rafiki zangu walikua wana...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Msaada wa Haraka: Rafiki yangu kagundua Mchumba wake ni Msaliti, kachanganyikiwa hajui la kufanya Mpaka sasa

    Habari Wana JF. Kuna Rafiki yangu nimesoma nae chuo, Sasa alikuwa na Mpenzi wake wa karibu na wamekaa takribani Miaka 4,ila Kwa bahati mbaya yeye huyo jamaa na Mchumba wake Wanaishi Mikoa Tofauti,ila mara kadhaa Binti huenda kumtembelea jamaa yake.Na wanapendana Sana tu. Sasa Changamoto kubwa...
  11. JamiiForums Tanzania Gaudensia Kabaka Mwenyekiti wa UWT?

    GAUDENSIA KABAKA MWENYEKITI WA UWT? Mwenyekiti wa UWT Gaudensia Kabaka ndiye aliyehusika kuwafukuza Waislam 11 Chuo Kikuu cha Dodoma na kusimamisha ujenzi wa msikiti hapo chuoni ambao ujenzi wake ulishaidhinishwa. Leo yupo katika sherehe za kumuenzi Bi. Titi Mohamed. Huyu ndiye kiongozi...
  12. JamiiForums Tanzania Hizi ndio hesabu za Ney wa Mitego kwenye wimbo wake mpya uitwao " Baba"

    Kwa maoni yangu wimbo wa " Baba" by Ney wa Mitego ni " commercial" Na sio wimbo wa kisiasa kama watu wengi wanavyo weza kuutafsiri Msanii Ney wa Mitego amemtumia Hayati Magufuli kama " point of contact" kufikisha ujumbe wenye lengo la kupush agenda yake ktk biashara ya muziki wake Lengo Hasa...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Mbowe anisikilize mimi na si yule mzungu, apige magoti chini kwa mama aje tujenge nchi Taifa linahitaji mchango wake

    Sisi kanisa tumefundishwa kuwa sharia haiwezi kumkomba mwanadamu, na mafundisho yetu kupitia bwana Yesu Kristo huwa tunaenda mbali zaidi kwa imani kuwa Taurati/sharia haiwezi kuleta haki kwa jamii, haiwezi kuleta amani kwa jamii isipokuwa kwa jina la Yesu mnakaa chini na kuonyanyana kwa zabiri...
  14. JamiiForums Tanzania Hivi Mwanaume kuzidiwa Umri na Mpenzi/Mwanamke wake ni miaka Mingapi wastani?

    Wakuu Habarini za wakati Huu! Naomba tujadili kidogo hili swala la Tofauti ya Ages kati ya wenza, inafahamika kwa tamaduni za Kiafrika Mara Nyingi Mwanaume ndio huwa na umri Mkubwa kuliko mwanamke. Nowdays mambo yanabadilika inaanza kuwa kinyume kuna wanaume wanazidiwa na wanawake umri sa...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Magori utulize wenge lako, kama mnamtafuta mchawi anza na bosi wako kisha wewe mwenyewe maana ndiyo mshauri wake

    Nimeona bwana Crescentius Magori ametweet kwamba wamesalitiwa kwenye mechi ya leo na inaonekana kuna baadhi ya wachezaji wataangushiwa jumba bovu muda si mrefu kuwa wameisaliti timu. Kitu ambacho bwana Magori na viongozi wenzake awataki kukubali ukweli kwamba timu waliyonayo kwa sasa ni tofauti...
  16. JamiiForums Tanzania Tuache kuuma Uma maneno, Manara kamlilia Mungu wake Na Mungu amemjibu

    Kuna watu Dua zao huwaga Ni kun faya kun hasa hasa pale Haki inapokuwa upande wao. Na bado!!! Kufa hamfi ila cha Moto mtakiona..
  17. JamiiForums Tanzania Tanzania haiwezi kuendelea, watu wake ni wavivu wa mwili na kufikiri

    Nitatumia lugha kali lakini ndio ukweli mchungu. Tanzania haiwezi kuendelea zaidi ya hapa pamoja na kuwa na rasilimali za maana. Nimefikiria kwa haraka haraka kwa kuitazama Tz katika miaka 40 ya uhuru,ikaja miaka 50 ya uhuru na sasa miaka 60 ya uhuru. Hakuna hatua kubwa ya maana tuliyopiga...
  18. JamiiForums Tanzania Trump kuzindua mtandao wa kijamii wa TRUTH Social

    Rais wa zamani wa Marekani Donald Trump ametangaza mipango ya kuzindua mtandao mpya wa kijamii, uitwao TRUTH Social. Amesema jukwaa hilo "litakabiliana na jeuri ya kampuni kubwa za teknolojia ", akizishutumu kwa kunyamazisha sauti za wapinzani huko Marekani. Kampuni ya Trump Media &...
  19. JamiiForums Tanzania Huu ndio msimamo rasmi wa Mbowe dhidi ya Sabaya na washirika wake.

    Hii ni kauli aliyoitoa Mbowe zaidi ya mwaka mmoja uliopita dhidi ya Sabaya na washirika wake. Mbowe aliitoa kauli hii kwa ujasiri mkubwa na hadharani wakati huo Sabaya akiwa mkuu wa wilaya ya Hai chini ya utawala wa Rais Magufuli. "....Siko tayari kumjadili Sabaya, mtoto mpotevu, mhuni, mtu...
  20. JamiiForums Tanzania Gari aina ya Mazda Verisa

    Wanajamvi Mwenye Uzoefu na Gari aina ya Mazda Verisa naomba Msaada wake.Asante
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…