Hivi Mwanaume kuzidiwa Umri na Mpenzi/Mwanamke wake ni miaka Mingapi wastani?

THE FIRST BORN

JF-Expert Member
Apr 24, 2019
1,727
3,286
Wakuu Habarini za wakati Huu!

Naomba tujadili kidogo hili swala la Tofauti ya Ages kati ya wenza, inafahamika kwa tamaduni za Kiafrika Mara Nyingi Mwanaume ndio huwa na umri Mkubwa kuliko mwanamke.

Nowdays mambo yanabadilika inaanza kuwa kinyume kuna wanaume wanazidiwa na wanawake umri sa naomba kujua kiwastani Mwanaume anatakiwa kuzidiwa miaka mingapi?

#NOTE: This is very serious nikipata mawazo ya kuridhisha namuoa huyu Mumama😂
 
Muulize Rais wa France Emmanuel Macron
Screenshot_20211025-190416_Google.jpg
 
Hahahahahahaha mkipishana kidogo mathalan 5yrs then akianza kuzaa hapa utamkuta mwili hauna ushirikiano kabisa// fikiria yeye atakapokuwa na 40 na me nina 51 kuna shida gani haaaaahaaahaa. Big up sana mkuu
Safi sana, hata mimi mke wangu nimemzidi miaka 10. Mwanamke akikuzidi umri atakuburuza bila mwenyewe kujua
 
Back
Top Bottom