wake

In fluid dynamics, a wake may either be:

the region of recirculating flow immediately behind a moving or stationary blunt body, caused by viscosity, which may be accompanied by flow separation and turbulence, or
the wave pattern on the water surface downstream of an object in a flow, or produced by a moving object (e.g. a ship), caused by density differences of the fluids above and below the free surface and gravity (or surface tension).

View More On Wikipedia.org
  1. Mwijaku acha kushika mikono wake za watu unapoendesha kipindi chako

    Wakuu Kwema! Vijana katika utafutaji ni vizuri kuelekezana ili kufanya kazi zetu zizidi kuwa na manufaa. Katika hilo, nimeona nimshauri na kumuelekeza Ndugu Mwijaku kuwa aache Kushika Mikono wake za watu anapoendesha kipindi chake yeye na Ndugu Soudy. Hii tabia anaweza akaiona ni yakawaida...
  2. Serikali ya Tanzania inaandaa Mpango wa Kuangamiza Wananchi Wake Maskini

    Mchawi si mpaka avae tunguli au hirizi. Utamwona tu ana ku wish nini. Serikali ya Tanzania ina mpango dhabiti wa kuangamiza Wananchi wake kupitia kodi na tozo za kinyama, kinyonyaji na kibaradhuli. 1. Tozo ya Miamala 2. Tozo ya simu ya mshikamano (yaani maskini waendelee kushikamana katika...
  3. Mbezi Beach, Dar: Mwanamke achoma nyumba ya mpenziwe wa zamani

    Mwanamke wa kikurya amechoma nyumba ya aliyekuwa mwanaume wake mkazi wa mbezi Beach kwa komba kwa sababu ya wivu wa kimapenzi. Tukio hili lilitekelezwa wakati mwanaume huyo alipokuwa ameenda kazini. Wananchi alofanikiwa kumkamata mtuhumiwa na hivi ninavyoandika mtuhumiwa huyu amefikishwa...
  4. Haki mojawapo ya Mbunge ni kutetea Wananchi wake na sio Serikali

    Mbunge ni kiongozi anayechaguliwa na wananchi ili akawawakilishe Serikalini badala yao. Moja ya haki yake kuu ni kuwatetea wananchi na sio Serikali. Hivyo basi mbunge anapogeuka na kuanza kuitetea Serikali huku wananchi wake anawasaliti hapo anakuwa amevunja haki zake na kuusahau wajibu wake.
  5. Kwanini 'Mahausiboi' wakitembea na Wake za Watu huwa ni Wasiri, ila kwa 'Mahausigeli' hugundulika mapema na wenye Waume?

    Inakuwaje 'Houseboi' hata akiwa 'anakukanyagia' Mkeo bado atakuwa 'Msiri' Kwako mwenye Mke na tena kazi ataendelea Kuzifanya ila kwa 'Hausigeli' akishaanza tu 'Kutinduliwa' na Mume hawawezi Kujificha na atajulikana tu upesi na Mke wa Mhusika? Nasubiri tu uzoefu wenu nijifunze zaidi.
  6. Ifahamu OSINT - Open Source Intelligence na umuhimu wake kwa sekta binafsi Tanzania

    Kila siku zaidi ya tweets milioni 500 zinaandikwa na watu mtandaoni duniani ambazo ni sawa na tweet bilioni 200 kwa mwaka duniani. Ongeza na picha zinazokadiriwa kufika milioni 350 ambazo huwekwa facebook na watumiaji, jumlisha na zaidi ya masaa 720,000 ya maudhui ya video mpya zinazowekwa...
  7. Tetesi: Ni nini faida za CWT Kwa wanachama wake ambao ni walimu

    Kama Uzi unavyojieleza. Chama Cha walimu Tanzania (CWT), kimeanzishwa zaidi ya miaka 40 iliyopita. Ninaomba wanachama wa CWT waeleze faida za CWT Kwa wanachama wao ambao ni walimu Pili ninaomba kujua asilimia 2% inayokatwa kutoka Kwa mwalimu ambaye ni mwanachama zinamfaidisha nini mwalimu...
  8. SoC01 Kiongozi ni vema kuchunga Ulimi wake

    Utimamu wa kiongozi bora ni kuwa na kichwa chenye ubongo wa hekima, unaowaza, unoainisha, unaochambua, na kuweza kufanya tathimini. Vile vile ukamilifu wa kiongozi ni awe na kinywa chenye ulimi wa ufasaha, unaonena maneno ya staha, unaosema maneno ya uhakika, weledi na wenye kutoa nasaha bora...
  9. S

    SoC01 Changamoto za Waswahili kwenye Kiswahili na utatuzi wake

    Kiswahili ni lugha adhim inayotumika sana katika ukanda wa afrika ya mashaliki, Asili yake ni inchini Tanzania ambako ndiko kuna waswahili wenyewe hasa, Pamoja na juhudi za Kiswahili kama lugha kukua na kuendelea zikiendelea, kiswahili kinapitia changamoto zifuatazo kutoka kwa waswahili wenyewe...
  10. Thread maalum kwa wapenzi wa movie za zamani za Kihindi pamoja na mastaa wake

    Daah aisee movie za kihindi zamani zilijua kutukamata kulikuwa hakuna watafsiri lakini tulizielewa balaa. Miaka ya 80's huko wazazi wetu na wenyewe walikuwa na mastaa ambao waliwakubali Kama Dharmendra, Amitha Bachan, Shratugansina, Mithun chaklaboth, jitendra, huku maqueen wao wakiwa Kama...
  11. Marekani yatahadharisha raia wake kwenda Uingereza

    Kituo cha Kudhibiti na Kuzuia Magonjwa (CDC) kimewatahadharisha raia wa Marekani kuhusu kwenda Uingereza ambapo kumekuwa na ongezeko la maambukizi ya #COVID19. CDC wamesema kama kutakuwa na ulazima sana wa mtu kwenda Uingereza ni vyema kwanza akawa amekamilisha dozi ya chanjo. Uingereza...
  12. S

    Watanzania wenzangu amkeni; adui yetu mkubwa ni Bunge letu na Uongozi wake

    Ndugu zangu naomba tujue mahala pa kuanzia kuelekeza malalamiko yetu. Kwa muda mrefu sasa wale tunaowatuma bungeni kutuwakilisha wameshindwa kabisa kutekeleza wajibu wao badala yake ndio wamekuwa wanatuchongea kwa mamlaka za nchi kuwa tukandamizwe kwa kukatwa makodi kibao. Mfano mdogo ni huyu...
  13. M

    Habari nahitaji kuagiza vitenge Zambia utaratibu kwa anayefahamu naomba msaada wake

    Mimi nahitaji kufanya biashara kutoa vitu zambia kuleta tanzania (vitu kama vitenge). kwa anayefahamu utaratibu naomba msaada nijue cha kufanya.
  14. SoC01 Tatizo la ajira kwa wasomi, madhara na ufumbuzi wake

    SABABU ZA TATIZO LA AJIRA KWA WASOMI, MADHARA NA UFUMBUZI WAKE TANZANIA. Utangulizi Tatizo la ajira kwa wasomi ni janga la dunia mzima lakini limeathiri zaidi katika nchi zilizo kusini mwa jangwa la Sahara. Tatizo hili linahusisha kuwa na idadi kubwa ya watu wenye ujuzi, maarifa na uwezi mzuri...
  15. Dkt. Mpango aagiza kurejeshwa kwa fedha zilizochukuliwa na Wizara ya Fedha wakati akiwa Waziri

    Nimsoma hili agizo la Mh Makamu wa Rais. Inasikitisha halafu inafurahisha kwa kweli. Nadhani lengo liko palepale yaani kila Msala anatupiwa Shujaa. Hili nalo kwa lugha ya picha inaonekana hakukubaliana nalo bali Msuli wake ulikuwa Mdogo. Sasa najiuliza kuwa Bunge la Bajeti limeshapita, Sasa...
  16. SoC01 Sababu za tatizo la ajira kwa wasomi, madhara na ufumbuzi wake Tanzania

    SABABU ZA TATIZO LA AJIRA KWA WASOMI, MADHARA NA UFUMBUZI WAKE TANZANIA. Utangulizi Tatizo la ajira kwa wasomi ni janga la dunia mzima lakini limeathiri zaidi katika nchi zilizo kusini mwa jangwa la Sahara. Tatizo hili linahusisha kuwa na idadi kubwa ya watu wenye ujuzi, maarifa na uwezi mzuri...
  17. Je, kitendo cha nchi ya Burundi kupenda kushirikiana zaidi na nchi moja ya 'EAC' ni Afya kwa 'Usalama' wake wa Taifa?

    Ni kawaida kabisa kuisikia nchi ya Burundi au kupitia Rais wake wakipenda sana 'Kujianika' juu ya Mipango yao ya 'Kiustawi' na 'Rasilimali' zake kwa nchi moja Rafiki ya Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC). Je, Wabobezi wa Mambo ya Kiitifaki na Kiusalama kitendo hiki cha Taifa la Burundi kupenda...
  18. Kiroho zaidi: Rais ajaye baada ya Mama Samia,atakuwa mwanamke pia

    By the time mama Samia ana karibia kumaliza muda wake wa uongozi hiyo mwaka 2030, mamilioni ya Watanzania wata tamani katiba ibadilishwe ili Mama Samia aongezewe muda , lakini halitawezekana tena kwani kwa wakati huo, kwa sababu tayari atakuwa ameshapitisha katiba...
  19. Jifunze kitu hapa: Hii hapa Taarifa ya mwanaume aliechomwa moto na mwanamke wake (mchepuko)

    Jamaa huyo maarufu kwa jina la Zungu ameuliwa kwa kuchomwa moto na mpenzi wake huyo kwa jina la Neema. Tukio limetajwa kutokea huko Mbezi Makabe, Dar jana usiku. Sababu inadaiwa ni jamaa kutokuwa mwaminifu katika mapenzi yao ndipo mdada anadaiwa kumfungia ndani jamaa kisha kumwaga petrol na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…