wake

In fluid dynamics, a wake may either be:

the region of recirculating flow immediately behind a moving or stationary blunt body, caused by viscosity, which may be accompanied by flow separation and turbulence, or
the wave pattern on the water surface downstream of an object in a flow, or produced by a moving object (e.g. a ship), caused by density differences of the fluids above and below the free surface and gravity (or surface tension).

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania Elon Musk anaongoza kwa utajiri duniani. Utajiri wake ni wa kutisha

    Mzuka wanajamvi! Elon Musk ni tajiri namba moja sasa hivi duniani baada ya kumpita Jeff Beezos wa Amazon na utajiri wake ni wa kutisha ambao ni zaidi ya utajiri wa Bill Gates (4) na Warren Buffet (9) ukiunganishwa pamoja. Bill Gates ni number 4 na Buffet ni number 9 kwa utajiri duniani. Elon...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Video: Kim Jong Un akiangalia makomandoo wake wakivunja matofali

    Kiongozi wa North Korea pamoja na maafisa wa juu serekalini na jeshini wakiangalia makomandoo wakionesha ukakamavu na mbinu za mapigano ya aina yake. Maonesho hayo ya kipekee ni yalijumuisha uvunjaji wa matofali pamoja na vigae. Ila jeshi la Korea kaskazini ni kakamavu.
  3. Amaizing Mimi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Katuma meseji kwangu badala ya kutuma kwa X wake

    Habari zenu wakuu. Juzi tuligombana na wife na baada ya mabishano ya siku mbili wife aliamua kwenda home kwao. Sasa leo asubuhi nikawa nachat nae kumbe wakati huo huo alikuwa anachat na x wake. Kuna sms ilibidi aitume kwa x wake akatuma kwangu.inaonekana x wake alikuwa anammind kwa kuolewa na...
  4. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Katika nchi moja ya Afrika, hii ni ofisi ya serikali ujenzi wake uligharimu milioni 40

  5. Analogia Malenga

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya: Mtoto wa miaka 14 amuua mtoto aliyekula ugali wake

    Mtoto wa miaka 14 wa Navakholo, Kaunti ya Kakamega amemuua mwanafunzi mwenzake wa miaka 10 kwa kumpiga na kitu kichwani na kuutupa mwili wake Mto Simakina Mtoto huyo aliporudi shule aliambiwa mwenzake (Jirani yao) ameshakula Ugali Kunde aliowekewa, ndipo alipomfuata machungani na kumshambulia...
  6. Fantastic Beast

    JamiiForums Tanzania Hili la kuzuiliwa kwa maiti sababu ya bili kubwa mzizi wake ni huu, Wizara ya afya rudisheni utaratibu wa zamani

    Haka ni katatizo kadogo sana ambako wizara inajua mzizi wake ni nini, kama hawajui basi nawajuza. Kwanza hili tatizo huwezi kulisikia kwenye hospitali zifuatazo, kama lipo basi ni kwa udogo sana: Hospitali za Wilaya, Mikoa, Vituo vya Afya, Hospitali binafsi. Hili tatizo utalikuta hospitali...
  7. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Snoop Dog akiwa na mjukuu wake

  8. othuman dan fodio

    JamiiForums Tanzania Kwa wanaume ambao mlikuwa na kazi lakini sasa hamna na wake zenu ndio wanaoendesha familia mliwezaje kutoboa?

    Kichwa cha habari kinahusika, kama mnavyojua ktk maisha kuna kupanda na kushuka Leo unacho kesho huna ndio kanuni ya maisha ilivyo. Suala la ajira limekuwa Changamoto sn kwa dunia ya leo kwa jinsia zote mbele yaani wake kwa waume lkn inakuwa maradufu kwa upande wa kiume kwakuwa utamaduni wetu...
  9. U

    JamiiForums Tanzania Shaka: Ole wake atakayefuja hata senti moja katika shilingi tirioni 1.3

    Ni zile zilizo katika mkakati wa maendeleo ambao utekelezaji utawanufaisha wananchi CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kimeonya yeyote atakayejaribu kufuja au kuzitumia vibaya yakiwemo matumizi binafsa sh. 1.3 zilizotokwna na mkopo wa masharti nafuu, itakula nae sahani moja. Imesema fedha hizo ni...
  10. love life live life

    JamiiForums Tanzania Ni lugha gani iliyoharibiwa babel na uhusiano wake na Antarctica?

    Hili ni swali nililojiuliza mara kadhaa huko nyuma. Katika pita pita zang kwenye vitabu mbali mbali nimekuta mara kadhaa sio mara moja ikitajwa kuwa haikuwa lugha ya kawaida watu wali wasiliana mind to mind(telepathy) mtu aliweza kutambua fikra za mtu mwingine. Hii haikuwa muujiza bali...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Kudadadeki malipo ni hapa hapa duniani kumbe kuna Mtu Kakimbiwa na Mkewe, ila Watu wa Media na Wadhamini wake wanamfichia Siri

    Kumbe huu Upole wa hizi Wiki Mbili ni za Kuwaza jinsi ulivyooa kwa Mikogo ( japo waliofanikisha Ndoa yako ndiyo hao hao tena Wanakusaidia Kazi ) na sasa Mke Kakukimbia na unahaha Kumrudisha ila mpaka Mightier naandika Uzi huu hujafanikiwa bado. Na ili uone kuwa Watu tunajua Kufukunyua Taarifa...
  12. sanalii

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Usimfanyie wema wa kuzidi mwanamke aliye - single au mbali na mpenzi wake

    Sijui kama ni nature ya wanawake au ni dunia imekua na watu katili kiasi cha kuwa ukimfanyia wema mtu anakuona wewe ni wa ajabu na anatafuta mbinu kurudisha wema wako. Mwanzoni ilikua najua labda ni kwa walio single tu ila sasa hadi mke wa mtu yaani unamsaidia jambo kwa wema then yeye...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Parachichi na uzalishaji wake

    Habari zenu wadau Naamini mpo vizuri Leo tujifunze pamoja kuhusu zao la parachichi Kila mkulima ambaye anafanya kazi ya kulima na kuvuna lengo lake kubwa ni kuhakikisha kwamba anapata mavuno mengi katika kile ambacho anafanya ndio maana kila njia zinatumika kuhakikisha mwishoni kuna kuwa na...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Kama unajiuliza, unashangaa na kusikitika kwanini Simba SC inakamiwa, Wachezaji wake Kuumizwa vibaya na Ahadi nyingi Kutolewa haya ndiyo Majibu

    1. Yanga SC wameamua kuwa kwa Msimu huu iwe Mvua au Jua na kwa Mikakati yoyote ya ndani na nje ya Uwanja wanashinda. 2. Kuumiza kwa Makusudi Wachezaji wa Simba SC ili Timu itetereke na ikose muelekeo katika Ligi. 3. Baada ya Yanga SC Kutolewa Alfajiri tu huko CAF CL huku wakiwa hawataki...
  15. B

    JamiiForums Tanzania Siasa za kikanda: Malori 150 ya Tanzania Madereva wake wazuiwa nchini Zambia

    30 September 2021 Kasumbalesa Mpakani mwa DR Congo na Zambia na Nakonde Zambia Zaidi wa malori 150 ya Tanzania pamoja na madereva wake wazuiwa kuendelea na safari yao baada ya kuvuka mpaka na makontena ya magogo toka nchini DR Congo. Tayari siku thelathini zimepita bila kupatikana ruhusa ya...
  16. P

    JamiiForums Tanzania Mheshimiwa Rais kuongelea mno jinsia yake pengine ni kukosa washauri wa dhati na wa maana

    Mwanzoni nilidhania ni suala la muda tu kwa Rais Samia kuongelea 'uanamke' wake. Nilidhani ni sehemu ya udhaifu wake kuzungumzia wanawake ni kunyanyasika kwao, nikaona ni suala la muda tu atakuja kuachana na udhaifu huu wenye ukakasi masikioni mwa watu haswa wanaume. Ikaja hotuba ya pili, ikaja...
  17. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sababu za uvunjifu wa ndoa na muarubaini wake

    CHANZO CHA UVUNJIFU WA NDOA NA MUARUBAINI WAKE. Katika mambo yanayowadumbua watafiti mpaka leo hii ni suala la kuvunjika kwa ndoa makundi kwa makundi. Kipindi Cha nyuma enzi za mababu zetu ilukuwa jambo la kustaajabisha kumuona mtu kamtaliki mkewe na kuibua maswali mengi bila majibu, lakini...
  18. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Will Smith(53) akiri kumruhusu rapa August Alsina(29) kutembea kimapenzi na mke wake Jada Pinket(50)

    Will Smith(53) akiri kumruhusu rapa August Alsina(29) kutembea kimapenzi na mke wake Jada Pinket(50) Ikumbukwe mwaka jana mjadala uliibuka baada ya rapa huyo kusema alishakuwa kwenye uhusiano na Jada baada ya kupewa ruhusa na mumewe, wengi walimponda Jada kuwa hakuwa mwaminifu kwenye ndoa yake...
  19. Determinantor

    JamiiForums Tanzania Mdude adaiwa kuanika unyama aliofanyiwa na "Watekaji" wake

    Hii MariaSpaces ni moto wa kuotea mbali, nilikua na usingiizi ila alipoanza kuongea Mdude ambaye ni muhanga wa "utekaji" usingizi ulikata. Nitajaribu kuweka Audio kama itakubali... Kwa kifupi ni kwamba 1. Walimpigisha shoti ya umeme kwenye chuchu na sehemu ya haja kubwa Mara kadhaa 2. Kwamba...
  20. nyboma

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kama umeoa jua kabisa mke wako anatoka kimapenzi na Ex- wake, kijana wa mtaa mmoja au mfanyakazi mwenzake)

    Kwako ndugu yangu uliye oa hao ndio maadui zako.
Back
Top Bottom