wake

In fluid dynamics, a wake may either be:

the region of recirculating flow immediately behind a moving or stationary blunt body, caused by viscosity, which may be accompanied by flow separation and turbulence, or
the wave pattern on the water surface downstream of an object in a flow, or produced by a moving object (e.g. a ship), caused by density differences of the fluids above and below the free surface and gravity (or surface tension).

View More On Wikipedia.org
  1. Eti Mbowe alitoa laki 6 kufadhili ugaidi. Seriously?

    Kabla ya Mbowe kusomewa mashtaka, watu waliipa Jamhuri "benefit of doubt" kwamba huenda ina ushahidi wa maana. Watu wakahisi labda Mbowe ana uhusiano na makundi ya kigaidi kama Al Shabab, Al Queda, Boko Haram etc na pengine anapeleka vijana huko kwa ajili ya mafunzo. Hayo ndio yalikua matarajio...
  2. Safari ya Bulicheka na mke wake katika nchi ya Wagagagigikoko.

    Unaweza kusoma bure hadithi hii na nyingine nyingi ndani ya maktaba app(by pictuss). unaweza tembelea hii thread kwa habari zaidi...
  3. D

    Kama barakoa yenye mikanda wengi hatujui kuvaa ipasavyo; Ni wazi kabisa hata condom uvaaji wake ni changamoto

    Kuna mambo mepesi machoni lakini ukiyatafakari kwa kina huwa na ujumbe mwingine kabisa! Mfano! Ukimuona kichaa anamimba huwa inafikirisha sana ingawa haitishi machoni! Yote tisa! kumi ni hili la uvaaji wa barakoa! Ukitazama watu mbalimbali wanavyoshindwa kuvaa barakoa ipasavyo, Inatafakarisha...
  4. J

    Sheikh Ponda: Maimamu wamekutana kujadili tamko la IGP, tutakaa na Maaskofu tutoe tamko la pamoja

    Sheikh Issa Ponda amesema Maimamu wa Dar es salaam wamekutana kujadili tamko la IGP Sirro kwamba polisi watakagua mafundisho yanayofundishwa kwenye nyumba za ibada ikiwa ni Madrasa na Sunday svhools. Tutaomba kukutana na wenzetu maaskofu ili tutoke na tamko la pamoja, anaandika Ponda katika...
  5. SoC01 Mitandao ya simu itumie Mifumo ya Tozo kwa hiari kwa wateja wake kuwainua kimaisha

    Nawasalimu kwa jina la JMT Nimekaa nikawaza, kumbe kupitia mitandao ya simu Kama vile Vodacom, Airtel, Tigo, Halotel, nk inaweza ikachochea maendeleo ya moja kwa moja kwa wateja wake bila shuruti, hii inawezekana kupitia mfumo TOZO Kama ilivyoanzishwa na serikali. Tunajua kwamba, vijana wengi...
  6. Wananchi bado tunaomba uchunguzi mkali mradi wa stiglers/SGR, huko ndiko kuna vikampuni vya mzee na vifaranga wake waliopeana tenda

    Hii miradi ndio kichaka ambacho mzee alikitumia kupiga mamilioni ya mabilioni, bado tunaomba uchunguzi ufanyike! Kimkakati, katika hizi wizara aliweka watu wa "nyumbani" watunze siri japo na wao wana vikampuni vyao ndani ya miradi Waliacha bomba la gesi wakaanzisha miradi ya dili Mh. Samia...
  7. Bee Venom: Zao la Sumu ya Nyuki na uvunaji wake

    Nchini Tanzania ni kama maeneo mbalimbali barani Afrika, kumekuwa na ufugaji wa nyuki kwa ajili ya uvunaji wa mazao yake ili kujipatia fedha lakini bahati mbaya kumekuwa na uvunaji wa mazao machache huku mazao mengine yakiwa hayajulikani. Kwa ufugaji wa kisasa Nyuki huvunwa mazao sita ambayo ni...
  8. Wema Sepetu azua mjadala, adai anapenda kupigwa na mwenza wake

    Miss Tanzania 2006 na muigizaji wa muda mrefu nchini, @wemasepetu amedai aliwahi ahidiwa kutopigwa kwenye mahusiano kipindi anaanza mapenzi na mwanaume fulani ila hali ikabadilika na kiapo kikayeyuka akaanza kuchezea vitasa vya uhali gani mahabuba.👇 “Nakumbuka zamani wakati naanza mapenzi na...
  9. Usimshtaki mtumishi wa umma kwa bosi wake, utaaibika

    Nilienda ofisi Moja ya umma kwaajili ya kupata huduma flani. Sikuridhishwa na huduma, niliona dalili zote kwamba muhudumu hayuko serious. Nikajaribu kuongea naye kwa upole lakini hakuonyesha dalili ya kuvaa uhusika wa mtoa huduma hiyo. Sasa kwa kuwa issue ilikuwa urgent na sioni ushirikiano wa...
  10. SoC01 Suala la machinga Serikali iache kujifungia na kuwaamini tu Watumishi/Wataalamu wake, iwashirikishe Wataalamu wenye elimu ya mtaani

    Nadhani inafahamika namna ambavyo kipaumbele cha kuajiri serikalini huwa ni vyeti bila kujali uwezo wa Watu hao kiutendaji. Labda ndio maana mpaka sasa bado imebaki ni mtihani mkubwa kwa Watendaji wetu hawa kuja na ufumbuzi wa nini wafanye kuhusu suala hili la Wamachinga zaidi ya kutamani tu...
  11. Anatumiwa video za girlfriend wake WhatsApp. Je, afanye maamuzi gani?

    Kuna mambo mengine ya ajabu sana aisee, kuna muhuni anamtumia rafiki yangu videos nyingi 50 kidogo, akiblokiwa anatuma kwa namba nyingine, namba za Whatsapp anazotumia ni za china , india, urusi, n.j binafsi nlicheki video mbili tu kwa lengo la uchunguzi Ili nitoe wazo au msaada ila nilitoka...
  12. ATCL waanzisha kibubu kwa abiria wanaotaka kulipia nauli kidogo kidogo, Wahamasishaji kupewa zawadi

    Dar es Salaam Kampuni ya Ndege Tanzania (ATCL) imeanzisha mpango wa "kibubu" utakaowawezesha wananchi kulipia kidogo kidogo mpaka atakapo kamilisha malipo ya tiketi yake ya ndege. Katika mpango huo, mwananchi atatakiwa kuweka Sh50,000 kwa mara ya kwanza na kiasi kinachobakia atatakiwa kulipa...
  13. U

    Sijaelewa Naibu Spika Tulia Ackson alimaanisha nini kwa alichopostí kwenye ukurasa wake wa Facebook

    Wadau wenye macho ya rohoni Tafadhali tazama na utafsiri alichopostí Mheshimiwa Dkt Tulia Ackson
  14. U

    Mzee Zahiri Ally Zoro Akiwa Na Watoto Wake

    Ni kitambo sana kimepita Zahiri Ally Akiwa Na wanae Banana & Maunda Great memories
  15. Danny De Vito na watoto wake

    Wakongwe mtakua mnamkumbuka Danny De Vito katika sinema mashuhuri alizocheza ilikuwa The Twins ambapo pacha wake alikuwa Arnold Schwarzenegger. Danny ni mtundu na mchekeshaji sana akiwa kwenye sinema. Lucy, Grace na Jake ni watoto wa Danny De Vito mwenye tabasamu la kupendeza. Mana yao Hawa...
  16. Kwa mara ya kwanza mwaka huu nimeingia Ikulu ya Magogoni

    Habari wadau..! Mwaka huu nimepata bahati ya kutinga moja kwa moja white house mjengoni pale Magogoni, asikwambie mtu ikulu patamu. Wapo wanaosema 2025 mama hatagombea mimi nawaambia ni uongo, yaani hata ningekuwa mimi nisingekubali kuondoka kirahisi mjengoni kuna raha. Mama atagombea na...
  17. Baada ya Israel kuchanja 70% ya watu wake dhidi ya Covid 19, maambukizi yarudi kwa kasi kubwa

    Nchi ya Israel hadi kufikia mwezi April 2021 ilikua imechanja zaidi ya 70% ya raia wote kuanzia miaka 12 na kuendelea. Lakini ghafla kuanzia mwezi June hadi August 2021 maambukizi ya covid 19 yamerudi upya na kwa kasi kubwa. Wataalamu wa Israel wanasema hii inatokana na kupungua kwa ufanisi...
  18. Bulendu: Rais ana-brand utalii kimataifa, wasaidizi wake wanasema kuna ugaidi

    Anaandika Dotto Bulendu Rais Samia yupo bize anarekodi "documentary"ya kuitangaza Tanzania kimataifa huku wasaidizi wake wapo bize kuuambia Ulimwengu Kuwa Tanzania kuna Magaidi. Branding or Debranding?Jadili.
  19. Uongo mwingine wa Spika Ndugai kuhusu Yesu kwenda Yerusalemu

    Nimesikia bwana Ndugai ameomba radhi kwa kusema Yesu ana mke, lakini hajaomba msamaha kwa kudanganya kuwa alikwenda Yerusalemu kuhesabiwa. Hata kama alimaanisha Yusufu, bado alidanganya kuwa eti alikwenda Yerusalemu. Biblia haisemi Yusufu alikwenda Yerusalemu, Biblia inasema Yusufu alikwenda...
  20. Ndugai aonesha ubabe wake. Yeyote anayetaka kumtunishia misuli lazima afikirie mara mbili

    Leo Spika wa bunge, Mh. Job Ndugai amenifanya nikumbuke mhimili wa bunge una nguvu kiasi gani. Baada ya kutoa adhabu kwa Mh. Jerry Slaa na Gwajima, Mh. Ndugai alikwenda mbali zaidi na kuhoji watendaji wa serikali kama waziri wa mambo ya ndani. Alishangazwa ni kwanini vyombo vilivyo chini ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…